KWA NINI MWANANCHI ANALAZIMIKA KULIPA KODI YA MIEZI 3 AU 6 KWA WAKATI MMOJA WAKATI ANALIPWA MSHAHARA WA MWEZI MMOJA?
Hili ni swali ambalo linahitaji majibu kutoka kwa mamlaka husika.
Kwa nini mfumo wa upangishaji wa nyumba unaruhusu au kuendeleza utaratibu wa wapangaji kutakiwa kulipa kodi ya...
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kibamba, Ernest Stanley Mgawe, amesimulia namna alivyokamatwa na Polisi mara mbili mwaka 2025, akidai kuwa katika tukio la pili alichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwake, akapigwa wakati wa mahojiano na kusababisha ashindwe kutembea kwa wiki mbili.
Mgawe, ambaye pia...
Sisi ni wakazi wa Kata ya Nyamhongolo, katika mitaa ya Nyamadoke, Ibinza na Iwelyashenga, Wilaya ya Ilemela, Jiji la Mwanza. Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, hatujapata kabisa huduma ya maji kutoka MWAUWASA.
Hapo awali, tulikuwa tukipata maji mara moja kwa wiki, tena kwa muda wa saa chache. Hata...
Anonymous
Thread
ilemela
karibu
maeneo
mitaa
mmoja
mwanza
mwezimwezimmoja
ukosefu
wakazi
wilaya
WanaJF Habari
Naomba msaada wa kuunganishwa na kozi fupi ya mapishi, Maana nimegundua Furaha yangu Kubwa ipo kwenye Chakula kizuri
Muda Wangu ni mchache Kwa hiyo Zile za veta miezi Sita Sito ziweza
NB
Kama Ipo basi Naomba Taarifa Kama Haipo basi ambao Wapo Tayari waje PM Tuungane Tuweke...
Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli.
Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
Enzi za JK watu walikimbilia kuweka mahoteli ya kifahari Mtwara bila kuwa na mikakati ya muda mrefu wakaishia kutoa milio baada ishu ya gesi kutokwenda sawa. Kwa sasa naona watu huko Arusha wanawekeza mahoteli wakiitaja sana AFCON kama lengo lao.
Ikumbukwe AFCON ni mashindano ya mwezi mmoja tu...
Mwili wa Mercy Maina Wachinga, 32, ulipatikana katika nyumba yake eneo la Lavington, Nairobi, ukiwa umeharibika baada ya kukaa ndani kwa takribani mwezi mmoja bila kugundulika.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, Mercy anadaiwa kujitoa uhai, huku polisi wakipata ujumbe ulioandikwa kwa mkono ambao...
Ni takribani mwezi na nusu sasa kumetokea changamoto ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma.
Mwanzoni tuliambiwa tatizo lilisababishwa na upungufu wa umeme kwenye pampu za kusukuma maji. Hata hivyo, TANESCO Mkoa ilikanusha taarifa hiyo, ikisema hakuna upungufu wowote wa umeme katika...
Anonymous
Thread
maji
manispaa
mmoja
musoma
mwezimwezimmoja
shida
shida ya maji
zaidi ya
Baada ya Mdau kuanzisha hoja hii - MWAUWASA imekuwa jipu lisilotumbulika, Nyamagana - Mwanza ni mwezi sasa hatuna maji ufafanuzi umetolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuhusu hoja hiyo:
MAJIBU YA MWAUWASA...
Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza...
Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa!
Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka leo hii hakuna maji au yanatoka kwa pressure ndogo sana tena usiku wa manane.
Cha ajabu ni kwamba...
Anonymous
Thread
arusha
hatuna
idara
idara ya maji
maji
maji arusha
mmoja
mtaa
mtaani
mwezimwezimmoja
mzima
shida
shida ya maji
taarifa
tuna
yapata
Wakazi wa Matosa - Goba DSM, hususan eneo la Shule ya Msingi More Light, tumekumbwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa.
Kila tunapouliza, tunaelezwa kuwa bomba linaloleta maji kutoka Uzalamoni limeharibika, hata hivyo, inashangaza kuona kuwa bomba hilohilo...
Anonymous
Thread
dar
eneo
eneo la shule
goba
maji
mmoja
msingi
mwezimwezimmoja
shule
shule ya msingi
Watu wa nje wanaotaka kupata vibali vya kazi siku hizi wanapata changamoto kubwa.
Zaidi ya mwezi mmoja sasa mfumo wa vibali vya kazi (OWAIS) haufanyi kazi. Hii ina maana kwamba maelfu ya watu wa nje wanasubiri mpaka watakapoweza tena kuanza au kuendelea na kazi kihalali.
Hii ishu sio kero tu...
Anonymous (8b17)
Thread
kazi
mfumo
mmojamwezimwezimmoja
shida
vibali
zaidi ya
Huyu hata wiki tatu hana ofisini.
Anajifanya kuwamiss majirani zake, michezo hii.
Kuna muda anajaribu kujifanya kama Banza Stone lakini hafit kwenye maigizo yake.
Mwambieni abadili script bhana, anachuja mapema
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika, CCM imeonyesha umwamba wake. Imeonyesha namna ilivyo na watu, namna inavyopendwa, namna inavyokubalika, kuungwa mkono na kukaa mioyoni mwa watu. Ikumbukwe ya kuwa chama cha siasa ni watu.
Na ili upate watu, ni lazima watu wawe na imani na chama kutokana na...
hii sofa ni balaa
inanesa nesa tu ina spring
yaan bado ina hata karatasi kwenye hizo gold
ni full white lether afu ngumu
ni L shaped na ina sehemu za kuchajia simu
bei yake mpya kabisa ni 650000 au 700000
mimi hii nimeitumia karibia mwezi mmoja tu
utaipata kwa 500,000
mahari
Dar es...
Wakuu , ukimtoa super black pia hata yule jamaa katibu Mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja . hakupewa fomu pale Bukoba.
Yote haya mtayapata kesho
Bila kubeza ubora wa idara za ki usalama za Rusia toka kipindi cha Coldwar, ikasemekana KGB ndo shirika tishio kwa intelengnce kwa kipindi icho ikafatiwa na wana wa malkia MI6 , CIA walikua wanapata taarifa kutoka kwao,
na japo kwa ishikiano wote ila bado walikua wana salimu amri kwa ubora wa...
Kuna dalili za kwamba nguvu iliyopo kuwa danganya toto zao za uchaguzi ni za haki watafanya kuzima kabisa.
Sababu za kuzima ili kuzimisha mijadala na yote zaidi mtapewa kisingizio mkongo wa taifa umekatika.
Hakutakuwa na internet mpaka watakapomaliza watakalo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.