mwenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (mke)

    Habari, Natafuta mke wa kumpenda na kuishi naye maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani. Mimi ni mkristo, miaka 35, nafanya biashara (machinga), naishi Dar es Salaam. Natafuta mwanamke miaka 28 hadi 32 awe mkristo, pia awe mpambanaji ili tushirikiane kwenye maisha. Asiwe na mtoto zaidi ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwenye fumanizi, pambana/ pigana na mwenza wako. Achana na aliyezawadiwa penzi

    Ni uzwazwa kupambana/kupigana na aliyezawadiwa penzi wakati wa fumanizi. Kwasabb mumeo/mkeo kafanya maamuzi mwenyewe pasipo kushurutishwa na huku akijua ana mke/mume. Mkeo au mumeo hajabakwa, sasa inakuwaje unaacha kumpiga yeye unampiga mtu aliyekusaidia kumstarehesha?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    Nimepigwa mno na single mothers ambao niliamini baada ya 'kupigika' tungeyajenga vizuri sana kwa maana wameshayajua maisha, lakini wapi! Wa kwanza kanipiga, visa havieleweki tu kila siku. Mwishowe tukaamua yaishe. Wa pili kanipiga, mtoto akikohoa kidogo tu zinaanza safari za 'kwenda kumtibu'...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    Kwema Wakuu! Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru. Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna. Mimi ndoto yangu...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Angalia hapa jinsi Single Mother anavyosumbuliwa na mzazi mwenza

    Single Mother wanachangamoto sana, angalia hapa jinsi mzazi mwenzake anavyomuharibia mahusiano yake (Vitimbi).
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SSP. Selestino Sylvester: Kupekuwa simu ya Mwenza wako ni kosa la jinai

    Upo msemo unaosema kuwa ili ndoa iweze kudumu kwa muda mrefu, mke usishike simu ya mme wako, na Mme usishike simu ya Mke wako. Lakini kwa watu wengine Mke au Mme hushika na kuperuzi simu za wenza wao. Mkuu wa Polisi Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu SSP. Selestino Sylvester kwa wenza, amefafanua...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Mume HIV+ uko wapi mwenza wangu?

    Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia??? Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza

    Wadau hope mko poa, Kama mada inavyosema, natafuta mwenza wa kuanza nae mahusiono then badae tuje kuwa wamoja. Sifa zangu: Mrefu wa wastani, maji ya kunde. Nimeajiriwa Sekta Binafsi( Finacial Institution) Nina umri wa miaka 32. Dini ni mkristo. Kabila Mmasai. Sifa za ninae muhiji: Awe...
  9. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

    Leo asubuhi nememsikia mtangazaji mmoja wa East Africa Radio (kwenye kipindi cha 12:00- 04:00) akisema Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa awamu ya sita. Yawezekana wengi wakawa na mtazamo huo, au wengi wakafuata mtazamo huo baada ya kumsikia mtangazaji huyo. Je, kwa mujibu wa katiba...
  10. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Kuvunjika kwa ndoa siyo sawa, Jamii inapaswa kubadilika

    Ukweli usiopingika....! Kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa miaka hii imekuwa kama kitu cha kawaida sana kwa watu, imekuwa kama fasheni watu hawaoni shida kuoana ndani ya kipindi kifupi wanakuwa washa achana. lakini jambo hili siyo sawa hata kidogo ningependa kuona jamii ikibadilika. Pamoja na...
  11. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Natoa Siri kwa wanaume: ukitaka kumjua mume mwenza, nenda kazini kwa mkeo angalia wanaofanana na wanao

    Wakuu, hii kitu nawaambia ni kweli kabisa. Nimegundua baada ya kautafiti, kutokana na kukosekana kwa uaminifu hasa kwa wadada walivyo wepesi kutumiwa hasa makazini, kama kazaa na MTU utagundua kwa ufanano wa sura, tembeleeni maofic ya wake zenu au jengeni ushkaj na wanaofanya kaz nao...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kimapenzi Mwenza wako

    Swala la kimapenzi ni jambo mtambuka na pana sana, sio kila jambo kwenye mapenzi linamfahaa kila mtu. Zifuatazo ni tips tu kuhusu kumfahamu mwenza wako; 1. Kuna wanawake wanaofika kileleni mara moja tu katika faragha za kufanya mapenzi, yani akishafika hawezi kufika tena hata ukiendelea...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumsahihisha mwenzi wako

    1. Usimsahihishe mwenzi wako hadharani mbele ya umma au kundi la watu, Inamfanya aone aibu. 2. Usimfokee au kumkaripia mwenzi wako unaporekebisha. 3. Usitumie maneno kama "Hautawai...", au "Wewe kila mara...". Kufanya hivyo ni kuchochea visa. Tumia maneno kama "Sidhani kama ilikuwa sawa...
  14. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Mwenza wangu anasumbuliwa na kutoka damu kipindi cha ujauzito

    Habari wakuu, Tupo tunalea mimba ina week 8 now, but tangu week ya 4 mwenza amekuwa akipata shida ya kutokwa vitone vya damu ukeni. Inaweza chukua siku mbili isitoke lakini siku ya 3 ikatoka kitone kidogo sana kama mtu aliyegusisha pamba ya masikioni kwenye nguo ya ndani. Tatizo lilipoanza...
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Tunafuta Bima kwa mtoto tunaenda kumlipa Mafao mwenza wa kiongozi!

    TUNAFUTA BIMA KWA MTOTO TUNAENDA KUMLIPA MAFAO MWENZA WA KIONGOZI. Na Thadei Ole Mushi 1. Hili la kulipa mafao wenza wa Viongozi linatafakarisha. Cha muhimu sana wasiwasahau wenza wa wanajeshi wetu ambao hulala mipikani kulilinda taifa, madaktari na wauguzi wanaolala mahospitalini kuokoa roho...
  16. Visionor

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa maisha

    Habari wana JF, Natafuta mwenza wamaisha umri kuanzia miaka 30, awe mwelewa, mcheshi, hofu ya Mungu, Upendo wa kweli, mahali popote, kabila lolote anakaribishwa. Mimi ni mwanaume mwenye umri miaka 38. Kazi nimejiajiri mwenyewe, dini ni mkristu. NB: Awe tayari kupima HIV.
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza HIV+

    Natafuta mwanaume mwenye hiv +, mwenye uelewa na afya yake na anatumia ARV. Aliyeserious tafadhali mengine tutajuana PM.
  18. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

    Habari wana JF. Kuna Ndoa imevunjika hapa ndoa ya miaka 15. Mke alizaa kabla ya ndoa, sasa mama huyu alimficha mtoto, Huyu mtoto alikuwa anaishi na Baba yake. Mume alijua kwa mawasiliano ya simu Mama alipokuwa anaongea na mwanae. Na mtoto ana umri wa miaka 20. Mume wa ndoa kazaa naye...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM inataka Dotto Biteko awe Mgombea Mwenza kwa Samia 2025

    Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo. CCM bwana!!!
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Wanu Hafidh Ameir akifurahia jambo na Mwenza wake

    Wanu Hafidh Ameir akifurahia jambo na mwenza wake Mh. Mohamed Mchengerwa katika moja ya mitoko yao.
Back
Top Bottom