mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Yamungu Kayandabila ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDG)

    ‪Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC)‬ ‪ ‪Dkt. Naomi Katunzi ameteuliwa kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kwa miaka mingine...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM kuita gazeti la chama "vigazeti" ni kosa kubwa

    Nanukuu "Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema." Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru linalomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. Kuliita gazeti hili kigazeti ni kosa kubwa sana. Ila kama ndiyo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waliona mbali kumpa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti, kichwa kipo imara sana

    Muundo wa uongozi wa CHADEMA unapata nguvu kutokana na aina ya watu waliokaa juu, mfumo wao una watu wenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi mmoja Wapo Mwenyekiti na una watu wenye akili nyingi na maarifa mmoja Wapo Tundu Lisu. Serikali ilipoaanza kupambana na Mwenye akili walidhani Mwenye fedha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Shinyanga Dr. Sengati Unahujumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU (1984)

    Mh. Mkuu wa Mkoa Shinyanga Dr. Sengati juhudi zako zakuinusulu shule ya BULUBA SEKONDARY zinahujumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya SHIRECU (1984) Bwana KWIYOLECHA NKILIJIWA Tarehe 19.08. 2021 Mh. Mkuu wa Mkoa ulifika Shuleni BULUBA SEKONDARY ukawasikiliza wafanyakazi wote na wakakueleza matatizo yao...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatetea ajabu hata wao hawachanji

    Chadema kimekuwa kimejinasibu kuwa ni chama chenye wafuasi wengi. Na wakati mwingine kimekuwa kikijitangaza kuwa kina wafuasi kuliko chama kongwe nchini na barani Afrika ukitoa ANC cha Afrika Kusini na MPLA cha Angola mnaweza mkanirekebisha wajuvi wa historia. Hivi karibuni viongozi wa Chadema...
  6. JamiiForums Tanzania Katiba ya CHADEMA inasemaje chama kutokuwa na Mwenyekiti wala Makamu?

    Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio Guantanamo, makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee, Je, katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu? Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia awapa pole CCM kwa kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza

    Nashangaa kwa @ccm_tanzania kumkana kada wao Hamza aliyefanya mauwaji dhidi ya Polisi, sisi kama Chama tunawapa Pole Chama Cha Mapinduzi kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza, wasione aibu" James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI.
  8. JamiiForums Tanzania CCM imegawanyika; CHADEMA wajifunze kutoka Zambia. Mbowe ampishe Tundu Lissu Uenyekiti

    Mgombea wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya kura za awali katika uchaguzi mkuu. Hakainde alionyesha kuongoza siku ya jana huku chama chake cha UPND kikikusanya kura katika majimbo mengi nchini humo. Raisi alieko madarakani Edgar Lungu mwenye umri wa miaka...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama atatoa Siri za nchi kwa maadui, Sabaya katufungua macho

    Mkuu wa Wilaya Ni mwenyekiti wa ulinzi na Usalama, unapokuwa na DC anayeweza kumchafua au kutoa Siri za Rais na viongozi wa juu kwa public kisa tu amebanwa kwa makosa aliyoyatenda ipo siku au yawezekana hata Sasa baadhi ya Taarifa za nchi hazipo salama. Most of DC na RC wamepewa hiyo kazi kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA fanyeni haya ili Kesi ya Mwenyekiti wenu Taifa, Mbowe iwe rahisi kumalizika naye pia akapumzike

    1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama 2. Punguzeni Vitisho 3. Punguzeni Matusi 4. Punguzeni Mikakati ya Fujo 5. Punguzeni Kuhamasishana 6. Punguzeni Kukamia Kukomoa 7. Punguzeni Propaganda za hovyo 8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno 9. Punguzeni kuwa na Viherehere 10. Punguzeni kulalamika...
  11. JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee ASAS (CEO wa ASAS Group of Companies) Alhaj Faraj Ahmed Abri, afariki dunia

    DEATH ANNOUNCEMENT ‎إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون "Surely we belong to Allah and to Him shall we return". It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Chongolo na Shaka wameonesha kushindwa kabla ya pambano, tunakusihi na kukuomba Mwenyekiti wa CCM uwaondoe

    Tukio la kuchapishwa kwa habari ya Uzushi kwenye ukurasa wa mbele kabla wa gazeti la Uhuru iliyosema"Sina wazo kuwania Urais 2025-Samia" limenifanya nitafakari sana Uwezo na Umakini wa Katibu mkuu wa CCM Ndg Chongolo na Katibu wa Itikadi na Uenezi ndg. Shaka. Naamini CCM ni chama kikubwa sana...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kama issue ya gazeti la Uhuru siyo spinning, basi Mwenyekiti wa CCM Hana watu kabisa

    Kuna matatu watu wameyafikiria kutokana na issue ya gazeti la uhuru jana plus reaction yake: * Kuzima mjadala wa mahojiano ya SSH na Salim Kikeke amabayo kiukweli yalikuwa ni disaster sana sana yaliongeza sympathy kwa mbowe na kufanya Rais aonekane katili na aliyeongea vitu visivyokuwepo kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wito: CHADEMA chagueni Mwenyekiti mwingine, Mbowe kutoka ni ishu ya miaka

    Leo nimemsikiliza mzee mmoja mstaafu kutoka Kitengo cha Kupambana na Ugaidi Tanzania. Nimeshtuka sana pale aliponiambia kuwa ili mtu akamatwe kwa kosa la ugaidi lazima Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi atoe amri baada ya kujiridhisha na ushahidi wa mshukiwa. Amenihakikishia kuwa trials za...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Stop Over kwa Kapinga ni mwizi wa pesa za ulinzi shirikishi

    Huyu mjumbe ni mbadhirifu na mwizi wa fedha za ulinzi shirikishi. Amekuwa na tabia ya kudai hela ya ulinzi na hatoi ristii ya EFD. Ni jukumu la Mwenyekiti wa Kata ya Saranga kumfuatilia huyu mjumbe ambaye rekodi yake inaonyesha alishawahi kufukuzwa kwenye taasisi moja ya Serikali.
  16. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti wa Kitongoji abaka shemeji yake ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la 6

    Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kanami, Kijiji cha Isangijo wilayani Magu Mkoani Mwanza Robert Mfungo anatuhumiwa kumbaka shemeji yake ambae ni mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka kumi na mbili. Inaelezwa Mke ambaye ni Dada wa Mtoto huyo pamoja na majirani waligundua Unyama huo na...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAWACHA Temeke ashikiliwa siku 4 bila kuelezwa kosa

    Jeshi la Polisi linamshikilia Mwenyekiti wa BAWACHA Wilaya ya Temeke, Bi. Neema Mwakipesile kwa zaidi ya siku 4 bila kumueleza kosa lake. Taarifa ya BAWACHA inaeleza kuwa tangu kushikiliwa kwake, Mwenyekiti huyo amezuiwa kuonana na ndugu zake, viongozi wa chama, n ahata kupelekewa chakula.
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kusini Unguja "Mzee Kichupa" afariki Dunia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa) kilichotokea Jumanne 27 Julai, 2021 katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye. ==== UPDATES; =====...
  20. S

    JamiiForums Tanzania CCM: Tunafuatilia mienendo ya viongozi wetu wanaopotosha umma, kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wetu

    Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama. CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…