mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanjala atangaza mpango wa maboresho makubwa Uwanja wa Sokoine baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa MREFA

    Baada ya kufanikiwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mbeya, Elias Mwanjala amewahakikishia wana Mbeya na wapenzi wa soka kiujumla kushirikiana na serikali ili kuufanyia marekebisho makubwa Uwanja wa Sokoine hususani eneo la kuchezea (pitch) kwani Uwanja huo si...
  2. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wajumbe Fake wampitisha Elias Mwanjala kuwa Mwenyekiti MREFA

    Leo ndiyo ile siku ambayo uchaguzi wa chama Cha soka mkoa wa Mbeya ulitakiwa kufanyika. Asubuhi majira ya saa tatu kulitakiwa kuwa na kikao Cha kamati Tendaji lakini baadhi ya wajumbe ambao wako upande wa Elias Mwanjala wakagoma kuingia Kwenye kikao hicho Cha kamati Tendaji. Baadae majira ya...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Tabora akana kuhusishwa na G-55 'sikuwahi kuweka saini kwenye waraka huo'

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora, James Kabepele, amekanusha kuhusika na waraka wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya No Reforms No Election, akisisitiza kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote...
  4. Mi mi

    JamiiForums Tanzania TRUMP ANA VITUKO ANATAKA KUMUENDESHA MWENYEKITI WA FEDERAL RESERVE

    Trump bwana ana vituko kweli kweli anataka kumuendesha bwana Jerome Powell. This would be a PERFECT time for Fed Chairman Jerome Powell to cut Interest Rates. He is always “late,” but he could now change his image, and quickly. Energy prices are down, Interest Rates are down, Inflation is down...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti BAWACHA: Akina mama tuungane kudai mabadiliko ya sheria za uchaguzi 'No Reforms, No Election'

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Sharifa Suleiman, amewasisitiza Wanawake nchini kuungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kudai mabadiliko na kutoshiriki kwenye uchaguzi mpaka pale mabadiliko ya kweli yatakapofanyika. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Klaus Schwab ambaye ni mwazilishi wa World Economic Forum anajiuzulu kama mwenyekiti

    Klaus Schwab, mwanzilishi wa Jukwaa la Uchumi Duniani, amefahamisha wafanyakazi na wadhamini kwamba atajiuzulu wadhifa wake wa uenyekiti. Baada ya kuongoza Jukwaa kwa miongo mitano na kuunda mkusanyiko wa kila mwaka wa wasomi wa kimataifa, Schwab sasa ameanza mabadiliko ya kujiondoa. Soma zaidi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Baraza la Makanisa ya Kipendekoste ataka mshikamano Tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mwenyekiti wa Barazaa la Makanisa ya Kipenteksote Mkoa wa Dar es Salaam, Mchungaji Emmanuel Mwasota amesema tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 lipo kwa ajili ya maombi ya kuombea uchaguzi huo. Mchungaji Mwasota amewataka waumini wa madhehebu yote nchini kuiombea nchi ya Tanzania, viongozi...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Kuhusu Sheria ya kuanza kwa utaratibu wa vitinmaalum CCM 2030

    Swali la Kwanza Kuna wabunge wa viti maalum waliokuwa madarakani kuanzia mwaka 2020 hadi 2025, na sasa wanatarajia kugombea tena. Ikiwa watashinda, watakuwa madarakani hadi mwaka 2030. Swali langu ni: Je, hawa wabunge wakichukua fomu kuomba kugombea mwaka 2030, watakuwa wanakubali sheria mpya...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji na akapata anaweza kugombea udiwani mwaka huo huo?

    Habari wanajf, Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji katika uchaguzi wa serikali za mitaa na akapata anaweza kugombea udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huo huo?
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Jumuiya ya wazazi CCM Ileje adaiwa kuuawa

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Chitete wilayani Ileje, mkoani Songwe, Harison Mwampashi (62) amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na watu wasiojulikana. Mwenyekiti wa kijiji, hicho Joseph Mwashitete amesema tukio hilo lilitokea jana Jumatano Machi 12...
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania Faris Buruhan Mwenyekiti UVCCM Kagera: "Mtaa Hautaki Digrii Unataka Ujuzi".

    https://www.instagram.com/p/DHI1LhfoRuR/?igsh=MTB5bGZnMjRteTR0ag== My take: CCM wametuamulia naona kauli ya waziri mkuu inazidi kusisitizwa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyamavingine

    Ushauri wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyama vingine. Mwenyekiti Lissu alishauri kuwa uongozi katika Vyama viwe na ukomo. Alitoa mfano wa Ubunge wa Viti maalum kuwa wabunge hawa wawe na ukomo ili na wengine waingie baada ya muda fulani. Leo hii CCM katika kikao chao pia...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  14. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
  15. Inside10

    JamiiForums Tanzania Video: Kijana afunguka alivyofanyiwa ukatili wa kutisha na mwenyekiti wa kijiji Uleling'ombe, kilosa

    Tazama video inasikitisha sana... Yapo baadhi ya mambo ukiyasikia unaweza kudhani pengine uko ndotoni! Siku kadhaa zilizopita, liliripotiwa tukio la kushangaza, kustaajabisha, na kuhuzunisha kuhusu vijana wawili wanaodaiwa kufanyiwa ukatili wa kutisha na Mwenyekiti wa Kijiji cha Uleling'ombe...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Singida Umekosea

    Leo nimekutana na clip moja kwny group flani likimuonesha mwenyekiti wa CCM Singida akiwaambia wakina mama wassishie kuzaa mtoto mmoja au wawili kwani mama Samia amewezesha hudum ya afya iko vizuri na uchumi pia uko sawa. Nikakumbuka kauli ya Hayati Magufuli fyatueni tu baadae waziri wa Afya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Taifa Bavicha Adv Mahinyila afafanua mbinu iliyotumika kutekwa kwa Aman Manengero

    Nilisikia hili tukio nikadhni Masihara. Advocte mahinyila anaeleza mbinu iliyotumika https://youtu.be/OOctHcw01rc?si=noJ89nvoDPAn8nJ4
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti BAVICHA, Deogratius Mahinyila anatoa tamko muda huu sakata la Utekaji nchini

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Deogratius Mahinyila anazungumza na Vyombo vya Habari muda huu akizungumzia sakata la utekaji nchini huku akianza kueleza namna ambavyo Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, alivyotekwa na kupotea tangu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ifike time, uitishwe Mdahalo kati ya Mwenyekiti wa CCM vs Mwenyekiti wa CHADEMA.

    Salaam Tanganyika! Issues nyingi zinaibuliwa wakati huu na zinaonekana ni za upande mmoja, Na anayeibua HOJA nyingi ambazo hazipati majibu ni huyu Mwenyekiti mpya wa chama Cha upinzani TUNDU Lissu. Sasa Kwa kuwa anayetakiwa kuzichambua ni mwananchi, ni muhimu wenyeviti Hawa wawili...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

    Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa, Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale! Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya...
Back
Top Bottom