mwanza

  1. Soko la sabasaba Mwanza lawaka moto

    Soko la Mbao la Sabasaba lililopo Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza limewaka moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika, Moto huo ulioonekana usiku wa kuamkia leo Jumanne, Septemba 22, 2026 umefanikiwa kudhibitiwa kwa jitihada za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Polisi na wananchi. Tukio hilo la...
  2. W

    KERO Hizi ni changamoto kubwa zinazohitaji uchunguzi katika Ofisi za Wizara ya Ardhi Mwanza

    Tunaomba mamlaka husika zifanye uchunguzi kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi na watumishi katika Ofisi za Wizara ya Ardhi Mwanza, ili zipatiwe ufumbuzi wa kudumu. Changamoto ya vyoo vya matumizi ya pamoja Jengo hilo lina mlango mmoja wa kuingia kwenye eneo la vyoo, ambavyo vinahusisha...
  3. A

    KERO Kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira jijini Mwanza na hivyo kuharibu uoto wa asili

    Mwanza ni jiji lililokuwa likivutia kwa mandhari yake ya kipekee ya miamba, vilima na uoto wa asili. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira, huku hatua za kudhibiti hali hiyo zikionekana kuwa ndogo. Kutokana na ukuaji wa miji, maeneo ya vilima kama...
  4. Minada ( magulio) imefungwa Mwanza, na bomoa bomoa haina tija

    Mkuu wa mkoa mpya wa Mwanza CP Salum Hamuduni, mbona unawafanyia hivi Watanganyika, wasukuma wa Mwanza? Umefungia minada yote kuanzia Nyakato, Saba Saba, Mkolani, Mkuyuni n. K Hivi unadhani Wana Mwanza wote wana uchumi wa kwenda kununua mahitaji Super market au shopping malls? Hujui minada...
  5. KERO Jiji la Mwanza ni chafu na hakuna utaratibu mzuri wa kudhibiti usambaaji wa taka

    Kama umefika Mwanza, utaona changamoto kubwa ya uchafu, hasa kutokana na wingi wa taka za plastiki na taka nyingine zinazotapakaa katika maeneo mbalimbali ya jiji. Mamlaka ya Jiji imeonekana kushindwa kuweka idadi ya kutosha ya mapipa ya taka katika maeneo muhimu, ikiwemo katikati ya jiji na...
  6. A

    KERO Wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali

    Sisi wananchi wa Igoma, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya usafiri wa daladala kwenda maeneo mbalimbali, ikiwemo katikati ya jiji, Buhongwa, Airport na Ilemela. Kwa sasa, tunategemea daladala zinazotoka Kisesa au Kishili. Hata hivyo, zinapofika Igoma huwa tayari zimejaa, hali inayosababisha...
  7. M

    Mwanza: Apigwa risasi baada ya kujaribu kupora bank

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limesema Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 hadi 35 amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na Polisi, akidaiwa kuingia katika Benki iliyopo Rock City Mall, Mwanza. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, tukio hilo limetokea...
  8. U

    Dodoma inajengwa na Gov+ Businesmen + mafisadi but Mwanza inajengwa na Business Man tu, ni muda tu

    Nawashangaa sana watu wanaoibeza Dodoma , na kujaribu Kuidogosha Kwa mbali Dhidi ya Mwanza. Kwa mlio na ufahamu na Dodoma ,na Mwanza Mtakubaliana na Mimi kuwa Dodoma inakuwa Kwa Kasi na Inaenda kuipiku Mwanza Kwa kuwa Jiji namba Mbili, baada ya Dodoma kuipiku Arusha Tayari. Ndani ya Miaka 5...
  9. Inapotajwa Mwanza, Dodoma, Dar es salaam, Arusha, Tanga, Mbeya nk Zanzibar hakuna jiji?

    Ni ubaguzi ulioje.
  10. Mnaouiba umeme msako umeanza maeneo ya Kimara na mbezi na huko mwanza ..mjiandae na mawakili

    Cha bure gharama Kama VISHOKA WALIWAUNGA WAKAWADANGANYA TANESCO WAMEANZA MSAKO WA NYUMBA KWA NYUMBA MAENEO TAJWA NA SASA HUKO MWANZA NAKO KUMEKUCHA MJIPANGE WANATEMBEA NA MAPOLISI
  11. W

    Yaliyotokea Mwanza ni uzembe, Sasa tumeanza upya

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akiwa katika ziara ya kikazi jijini Mwanza ,Amesema changamoto ya hali ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji hilo iliyotokea siku za nyuma ilisababishwa na uzembe wa baadhi ya watendaji, lakini hivi sasa kazi kubwa ya uboreshaji wa huduma...
  12. A

    KERO Chuo cha Mipango Mwanza hawaja-submit matokeo yangu ya Diploma One

    Mimi ni mwanfunzi wa chuo cha mipango cumpus ya mwanza nimemaliza diploma two mwaka huu nimeshindwa kuendelea na maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa ajili ya kujiunga na degree sababu NACTVET hawaoni matokeo yangu ya diploma one. Hali hiyo imefanya nimekosa AVN na mpka sasa sijui hatma yangu ya...
  13. Mambo ambayo mwanaume akifanya Mwanza/ Usukumani, jamii yote itamshangaa

    Ngoja nikwambie mambo ambayo huko Mwanza ulikuwa ukiyafanya unaonekana wa ajabu...! 1. Mwanaume kula viazi mchana kama chakula... mwanaume kama alikuwa anakula viazi basi viwe vimechomwa 😂 2. Kupika dagaa wana vichwa.. 3. Kwenye msiba watu kula majurijuri... majurijuri ni wale watoto wa...
  14. Utafiti jijini Mwanza umebaini dawa za Asili za Nguvu za kiume uchanganywa na Viagra dawa za hospitalini

    Katika utafiti uliofanyika ndani ya viunga vya Mwanza ambao ulihusisha kuzifanyia uchunguzi dawa za asili za Nguvu za kiume zinazouzwa na watu binafsi, makampuni au watu wa mitishamba na jadi. Dawa hizi za asili zilikutwa na mchanganyiko wa Sildenafil na Tadalafil, Dawa ambazo ni za hospitalini...
  15. A

    KERO Daladala za Mwanza zinatabia ya kukatika route, tunaomba mamlaka zifuatilie kero hii

    Imekuwa ni tabia ya muda mrefu kwa baadhi ya daladala jijini Mwanza kufupisha route nyakati za usiku, hali inayowaacha abiria kwenye maeneo ambayo siyo vituo vyao vya mwisho. Kwa mfano, jana nilipanda daladala kutoka Kiloleli, ambapo konda alieleza kuwa gari hilo linaishia Kona ya Bwiru. Hata...
  16. H

    Mwigulu Nchemba: Ifikapo 2030 wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM waje Dodoma wakiwa SGR kutoka Mwanza

    ▪︎ Aagiza Wizara ya Fedha na Uchukuzi kuharakisha utekelezaji. ▪︎ Aelekeza leseni za madini zisizoendelezwa kufutwa. ▪︎ Asisitiza kupunguzwa kwa matumizi yasiyo ya lazima. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameiagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Uchukuzi, kwa kushirikiana na Shirika la Reli...
  17. W

    Baadhi ya Wanafunzi katika Chuo cha SAUT wapata wasiwasi baada ya matokeo yao kutopandishwa na Wahadhiri

    Kuna wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza ambao wanakabiliwa na changamoto katika upandishaji wa matokeo yao ya Continuous Assessment (CA). Wanafunzi hao wamefanya mitihani yote, majaribio pamoja na kazi mbalimbali walizopewa na wahadhiri katika masomo yao. Hata hivyo...
  18. B

    KERO Baadhi ya Wahitimu wa mwaka 2024 SAUT hatujapata vyeti hadi leo, eti vipo kwenye mchakato

    Kuna suala la wahitimu wa mwaka 2024 katika Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza ambao hadi leo hawajapata vyeti vyao. Kila tunapofika chuoni kuulizia, tunaambiwa bado vipo kwenye mchakato. Tangu mwaka 2024 hadi sasa, mchakato huo umechukua muda mrefu bila maelezo ya kina. Tunaomba mamlaka husika kutoa...
  19. V

    Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

    Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
  20. S

    Kiwanja Kinauzwa Nyamhongoro Mwanza (502 sqm)

    Kiwanja kinauzwa Nyamhongoro Mwanza, ni sehemu nzuri sana, 502 sqmts, block 5, kuelekea kwa mapadri...Bei 26 mil..maongezi yapo..Hati ipo.. Karibu sana mteja mpendwa.. mercybriella@gmail.com
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…