mwanza

  1. C

    Lami imepasuka katikati Mwanza na Kusababisha ajali

    Kumekuwepo na video ambayo inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kutoka jijini Mwanza maeneo ya pasiansi Katika tukio hilo gari aina ya canter inaoneka kuwa ikiwa imetitia kwenye Barabara na kusababisha jali katika maeneo hayo, Tukio hilo linadaiwa lutokea siku ya jumamosi tarehe 14/11/2026
  2. M

    Mwanza imepitwa hadhi na Arusha, ni local city kama Mbeya na Tanga. Uwanja wa Serengeti utaipush Mwanza, tatizo ni kukosa elimu kwa baadhi ya viongozi

    Juzi nilisikiliza podcast moja na walitoa hoja ambazo kwa kweli zilikuwa na mantiki sana kuhusu hadhi ya majiji yetu nchini. Hoja kuu ilikuwa kwamba Mwanza haina utambulisho au hadhi yoyote ya kipekee nje ya kuwa jiji la kikanda, isipokuwa tu ni kubwa kijiografia, majengo na idadi ya watu...
  3. Mr_positive

    wakuu nauza kiwanja Mwanza

    Nimeamua kuuza tena kiwanja changu kipo mwanza Buswelu kahama ukubwa 18 kwa 28....wahituwahi....0756038510
  4. Victor Mlaki

    Muda huu 12: 23 tarehe 5/11/2026 limepita tetemeko kubwa la ardhi eneo la Masumbwe Geita likiwa na uelekeo wa Magharibi lililodumu kwa sekunde kadhaa

    Ukubwa wa tetemeko hili ni mkubwa kuwahi kutokea kutokana na mtetemo wake, kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 15 katika eneo hili hili linaweza kuwa tetemeko lenye mtetemo mkubwa kuwahi kutokea maeneo haya mchana. Kwa upekee limepita muda nilioutaja hapo juu na kujirudia tena saa 1:22pm. Mtetembo...
  5. F

    Siku hizi Mwanza haipendi tena kama zamani, kunani?

    Alipewa Hadi uchifu, Safari za mwanza zilikuwa haziishi, Kilichonishangaza, iweje mwanao anaoa, tena mwanao anayeoa atokea Mwanza, na Hilo halitoshi anaoa Binti wa Mkubwa Fulani wa nchi jirani na hukuudhuria ukaishia kumtuma mjomba maskafu akuwakilishe. Hii ni Nini hasa tafsiri yake, unaoza...
  6. O

    Kizibo Kitamu Cha Upendo: Rais William Ruto Awasili Mwanza Kusherehekea Harusi ya Bintiye

    Hali ya shamrashamra na furaha kuu inatawala jijini Mwanza, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo Rais William Ruto wa Kenya aliwasili jana jioni ili kuungana na familia na marafiki katika kusherehekea harusi ya bintiye inayofanyika rasmi leo. Tukio hili la kifahari linawaleta pamoja viongozi...
  7. Mndengereko

    Ntafuta Garage nzuri Mwanza au Geita

    Wadau kwema? Nina shida ya kupata garage nzuri yenye fundi mahiri wa umeme wa magari pamoja na fundi mzuri wa body. Gari yangu ni Subaru Forester SJ5 (2015). Mara ya mwisho nilikuwa na tatizo la gari kugoma kuwaka linapoingia kwenye maji. Baada ya uchunguzi, nimebaini kuwa maji yanaingia...
  8. A

    DOKEZO Ufanyike uchunguzi wa kina kuhusu uuzaji wa dawa katika Kituo cha Afya Katunguru

    Kuna malalamiko kuhusu mwenendo wa uuzaji wa dawa katika Kituo cha Afya Katunguru, kilichopo Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza. Tunaomba Wizara ya Afya na mamlaka nyingine husika zifuatilie suala hili ili kubaini ukweli na kuchukua hatua stahiki. Baadhi ya wafamasia wanapoingia zamu huleta...
  9. mirindimo

    Tetesi: Mwenyekiti CHASO Mwanza kupewa kesi ya ugaidi na Polisi

    Baada ya Kumjibu Kilina , M/kiti wa Chaso Mwanza anatakiwa ku report Polisi huku Polisi wakipanga kumpa kesi ya Ugaidi. Kwa sasa Jeshi la Polisi limeji dhatiti kudhibiti wote wanaojibu hoja zinazoihusu CCM au zinazomhusu SAMIA isipokua ziwe zinasifia na si kukosoa.
  10. A

    KERO Responded Watu wa Mahina - Mwanza, Waziri akija maji yanatoka, akiondoka nayo yanaondoka

    Watu wa Mwanza bado tunateseka na suala la maji kwa 90% ya wakazi wa huku hatupati maji na ziwa lipo kwetu, waziri akija maji yanatoka, akiondoka maji hayapo hii ni haki kweli? Hadi hivi leo maji hatuna tunateseka sana wengine kazi zimesimama tumefunga ofisi zetu sababu ya maji, nipo maeneo ya...
  11. C

    Brenda Rupia :Tunafuatilia kukamatwa kwa Zakaria Obadi polisi wafuate sheria

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Brenda Rupia Jonas, amesema chama hicho kimeshatuma wawakilishi wake katika vituo vya polisi jijini Mwanza kwa ajili ya kufuatilia hatua za kisheria baada ya kukamatwa kwa Katibu wa CHADEMA Kanda ya...
  12. ChoiceVariable

    Mbeya Yajipanga Kuipiku Dar na Mwanza Kiuchumi,RC Sagini Asimamia Shoo ya Kuboresha Miundombinu ya Usafiri na Biashara.

    My Take Ili hili litokee inatakiwa kufanyika mambo yafuatayo Kwa haraka sana 1.Kujenga Barabara ya Lami kutoka Mbalizi-Makongolosi-Rungwa JCt-Taborq/Singida 2.Kupanua Barabara ya Lami kutoka Tunduma-Igawa kuwa njia 6 sio 4 pamoja na Bypass zake za Mbalizi na Uyole 3.Kujenga Barabara Kwa lami...
  13. M

    KERO Wanaokamata Bodaboda na kuwatoza faini Mkuyuni Mwanza ni kweli Askari Polisi wasio na sare au matapeli?

    Katika Jiji la Mwanza eneo la Mkuyuni karibu na Nyegezi Kona, kuna kundi la Watu wanajitambulisha kuwa ni Askari Polisi wakiwa hawana sare wala vitambulisho wanakamata Pikipiki (bodaboda) zisizokuwa na Namba (plate Number) na kuwapeleka wahusika ofisini kwao. Wanazifunga kwa cheni na kufuli...
  14. A

    KERO Bolt Tanzania iweke njia rahisi na za uhakika za kupata msaada Mwanza, hawana hata ofisi

    Tunaiomba Bolt kuboresha huduma kwa wateja jijini Mwanza kwa kuanzisha ofisi ya huduma kwa wateja au kuweka njia rahisi na za uhakika za kupata msaada. Wateja na madereva wa Bolt tumekuwa tukikabiliwa na changamoto mbalimbali, lakini tunapojaribu kuwasiliana na kampuni hiyo, mara nyingi...
  15. BrightRealtors

    Kiwanja kikubwa kinauzwa Bugarika bendera tatu Mwanza

    KIWANJA KIKUBWA: BUGARIKA- BENDERA 3 UKUBWA: 800 Square meters Kinafaa kwa uwekezaji na makazi pia Kina hati miliki Bei 34,000,000 (34 million) kuona kiwanja hiki na vingine vingi wasiliana nasi kupitia Call/Whatsapp 0744 531 149 Karibu sana Bright Realtors
  16. Mad Max

    Wenyeji wa Mwanza, Nitajieni sehemu za Kutembelea Hapa Mjini, Ndani ya Siku Moja (Asubuhi - Jioni), Usiku Naanza Safari ya Kuondoka.

    Maboss. Nimefika saa 10 jioni. Nimetokea Sengerema, sehemu nilizopita hadi sasa. 1. Daraja la Magufuli/Busisi. 2. Stendi ya Mabasi ya Nyegezi. 3. Nimeona Ujenzi wa SGR sema imepelekea kuziba view ya Ziwa unavoingia Town from Geita Rd. 4. Nimeenda Airport. 5. Nimeenda hadi kule mlimani...
  17. A

    KERO Ukosefu wa maji, Mwanza, Wilaya ya Ilemela, Kata Nyamuhongoro, Mitaa ya Nyamadoke, Iwelyashenga na maeneo ya karibu

    Sisi ni wakazi wa Kata ya Nyamhongolo, katika mitaa ya Nyamadoke, Ibinza na Iwelyashenga, Wilaya ya Ilemela, Jiji la Mwanza. Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, hatujapata kabisa huduma ya maji kutoka MWAUWASA. Hapo awali, tulikuwa tukipata maji mara moja kwa wiki, tena kwa muda wa saa chache. Hata...
  18. A

    KERO Responded Wananchi wa Kata ya Busenga, Wilaya ya Ilemela, Mwanza, tunakabiliwa na ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa

    Wananchi wa Kata ya Busenga, Wilaya ya Ilemela, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Maji hayatoki, hali inayotulazimu kununua ndoo moja kwa Shilingi 500 au kutafuta maji kwenye visima. Kinachotuumiza zaidi ni kwamba tunaiona Ziwa Victoria...
  19. Wizara ya Ardhi

    Wajumbe wa Mabaraza ya ardhi Wilaya tatu za Mwanza waapishwa, watakiwa kutenda haki

    MWANZA: Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. CP. Salum Rashid Hamduni, amewaapisha wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba katika wilaya za Kwimba, Magu na Ilemela, huku akiwataka kutekeleza majukumu yao kwa haki, uadilifu na kuzingatia sheria ili kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wananchi na kupunguza...
  20. A

    KERO Katika eneo la Igoma, Mwanza kuna nguzo inakaribia kuanguka, tumeripoti mara nyingi TANESCO wanapuuzia

    Hapa ni Igoma, Mwanza. Nguzo hiyo ya umeme ipo mtoni na iko katika hali hatarishi, kwani inaweza kuanguka wakati wowote mvua ikinyesha. Tumesharipoti tatizo hili kwa takribani miezi miwili sasa, lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa. Tumekuwa tukipiga simu mara kwa mara kukumbusha kuhusu...
Back
Top Bottom