mwanga

Danieri Basammula-Ekkere Mwanga II Mukasa (1868 – 8 May 1903) was Kabaka of Buganda from 1884 until 1888 and from 1889 until 1897. He was the 31st Kabaka of Buganda.

View More On Wikipedia.org
  1. Sylvestermapunda_

    Kuwa mwanga mahali penye giza, tumaini mahali penye shaka na nguvu mahali panapohitajika msaada kila hatua yako ina maana

    Kuwa mwanga mahali penye giza, tumaini mahali penye shaka na nguvu mahali panapohitajika msaada kila hatua yako ina maana.
  2. Mzee wa Code

    Bar maarufu ya Mwanga Bar Dodoma wanatuuzia chakula na mataka yakiwa mbele ya jiko. Usalama wetu walaji uko wapi?

    Wale tunaokujaga dodoma nadhani tunaifaham bar maarufu kwa misosi ya Mwanga Bar iliyopo Jijini Dodoma, nikiwa natoka zangu safari kanda ya ziwa nikasema nipite kula hapo kilichonishangaza ni rundo la matakataka ambayo inaelezwa yapo hapo kwa siku ya tano leo uku uandaaji wa chakula ukiendelea...
  3. DON YRN

    Wilaya za Same na Mwanga zimeathiriwa na ubahili

    Wakuu, najua mpo salama na Mungu awalinde sana. Mara nyingi huwa napita njia ya Tanga kuelekea Moshi kukatiza Wilaya za Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro. Kwa mfano Pale Same kinachondelea Pale ni aibu tupu hata hapastahili kuitwa Wilayani, panafaa paitwe kijiji cha Same. Ni mji unaoweza...
  4. P

    Azam TV rekebisheni muonekano wa mwanga kwenye mechi zinazochezwa kwa Mkapa kupitia TV

    Mara zote mechi zinazochezwa mida ya saa kumi, watazamaji wa TV kupitia kisimbuzi chenu hukutana na muonekano wa giza katika nusu ya uwanja, jambo linalosababishwa na jua. Cameraman na uongozi wa Azam TV, fanyieni kazi tatizo hili la giza na tafuteni nafasi nzuri ya kuchukua video tofauti na...
  5. Nakadi

    Mwanga kwenye TV

    Wakuu, hii TV yangu naona mwanga(blightness) wake mdogo. Nimecheck hapo naona ipo 50%.. So nataka niongeze japo ifikie 75ili niinjoi kuona vizuri.. yaan picha zingae Ila kinachoniletea ugumu siwezi kufika hapo kwenye option ya blightness yaan hiyo feature imetiwa kivuli. Nifanyaje wakuu..?
  6. Kipenzi Changu

    Yanga: Dube akikaribia goli, taa inapunguzwa mwanga asione goli

    Dube wetu ilikuwa akilikaribia Goli wenye ule uwanja wanatuma mtu wao apunguze mwanga wa Taa ili asione vizuri. Tumevumilia Mengi sana sisi. Haya ni maneno ya msemaji wa Yanga Ally Kamwe, akitoa taarifa kwa niaba ya club My Take Hata mimi niliona Azizi Ki alipopiga penati wakahamisha magoli
  7. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Katimba: Ujenzi wa Soko la Mwanga na Katonga Utaimarisha Mazingira ya Biashara Kigoma

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: UJENZI WA SOKO LA MWANGA NA KATONGA UTAIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA KIGOMA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawaka za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba amesema ujenzi wa Soko la Kisasa la Mwanga na Soko la Samaki la Katonga mkoani Kigoma utaleta tija...
  8. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama: Huduma za Uchunguzi wa Magonjwa Sasa Kupatikana Wilayani Mwanga, Kilimanjaro

    WAZIRI MHAGAMA: HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SASA KUPATIKANA WILAYANI MWANGA Wanachi wa Halmashauri ya Wilya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro sasa kusogezewa huduma za Afya za uchunguzi wa magonjwa ikiwemo huduma za upimaji wa kansa ya matiti kwa akina mama pamoja na Ultrasound kwa ajili ya...
  9. D

    Hivi kwanini mwanga wa mshumaa huhamasisha sana yale mambo yetu kuliko umeme?

    Habarini! Nikiwa nina uhakika wabongo na masuala ya ngono hawatenganishiki kama kahawa na kashata, sijistukii na wala sina hofu yoyote ya kuleta Uzi huu asubuhi kama hii ya kazi. Siajabu wakurugenzi wakawa wa kwanza kuisoma. Kwenye mada! Ndugu, mmeshakokotana hadi chumbani na hamjisikii mzuka...
  10. Vichekesho

    Uchambuzi huu wa Saa 2 na dakika 22 utakupa mwanga wa uwezo wa Israel dhidi ya Iran, Hamas na Hezbollah

    Ukiondoa itikadi za dini na mihemko, huu uchambuzi uliofanywa na kituo cha SNS unatoa mwanga halisi wa kinacho endelea. Bigup kwa huyu ostadh ambaye anajadili facts sio zile story za vijiweni za akina Ritz na FaizaFoxy Karibuni. https://youtu.be/Fi1gKQxxBJw?si=YqdIVGOKsjvGAkpi
  11. Sun Wukong

    Miwani gani sahihi yakutumia wakati wa matumizi ya simu, computer na vifaa vingine?

    Wakuu natumai huku kunamadokta naumwa na kichwa pembeni kwenye misuli ya macho hasa ninapotumia computer, simu na n.k Yani kichwa kinauma sana ila kuona naona fresh tu niliwahi pima nikaonekana nipo poa kwenye kuona ila mwanga unaniumiza sana Sina miwani na kazi zangu siwezi kwepa computer...
  12. Mad Max

    Content Creators mnaoanza (Episode II): Unajua kuset mwanga vizuri unavyorecord video za ndani?

    Baada ya kuchagua camera kwa matumizi na budget yako (episode I), sasa tuanze kurecord. Tuta-assume accessories chache sana tunazihitaji kutokana na budget yetu. Tufanye sisi ni content creator tunaoongelea mambo ya mapishi. Sasa tuanze kuset mazingira yetu ya kurecord. Tutaweka story katika...
  13. Roving Journalist

    Dorothy Semu ashiriki katika msiba wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro

    Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndugu, Dorothy Semu, leo 17 Septemba, 2024 akiwa safarini kuelekea Jimbo la Rombo amepita Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga kwenye kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro ambaye alifariki tarehe 9 Septemba...
  14. milele amina

    TANZIA Askofu Chedieli Elinaza Sendoro, KKKT Dayosisi ya Mwanga amefariki kwa ajali

    Kuna taarita ambayo sio nzuri. Kuna ajali imetokea Barabara kuu ya Mwanga kwenda Same. Taarifa zaidi kukufikia mapema ===== Askofu wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Chediel Sendoro amefariki dunia usiku huu, Septemba 9, 2024 baada ya gari alilokuwa...
  15. Godee jr

    Shule za Sekondari Same na Mwanga

    Wakuu habari. Wote tunafahamu changamoto ya kumtafutia mtoto shule nzuri ya Secondary. Kijana wangu anamaliza darasa la saba wiki hii. Naombeni recommendations za shule nzuri maeneo ya Same na Mwanga. Nimechagua maeneo hayo nikiamini kuwa hayana baridi sana. Shuke iwe ya mchanganyiko maana...
  16. Lycaon pictus

    Mwanga wa Shetani huko Kilwa bado upo?

    Wakati wa ukoloni kulikuwa na mzungu mmoja aliyeitwa Ronald De La Bere Barker. Kwa majina mengine Mtawa Maporini au Mzee Rufiji. Alikuwa anaishi kwenye mapori ya karibu na mto Rufiji. Aliandika vitabu vingi sana kuhusu maisha yake na mambo aliyoyaona. Moja ya kitabu hicho ni juu ya Mwanga wa...
  17. M

    SoC04 Giza lenye Mwanga

    Nashiba nikionja ni Kila natapika!! Namshukuru aliye asili yangu Kwa pumzi na uweza wangu wa kupata na Kutoa taarifa Kwa jamii ya watanzania. Nyumba yangu imejengwa msingi tu,Haina Kuta,haija pauliwa ,natafuta mafundi,nawapata wananiambia wao hufanya kazi kwenye Giza.Je! mnaonaje!! Wananiambia...
  18. Pfizer

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akagua mradi wa maji wa Same - Mwanga - Korogwe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikisha vema utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Same -Mwanga – Korogwe. Makamu wa Rais ametoa pongezi hizo alipokagua Mradi huo na kushuhudia wananchi wakianza...
  19. Nyanda Banka

    Nani anaifahamu Vudoi Sec School, Mwanga - Kilimanjaro?

    Je, kuna mdau yeyote anaifahamu au alishasoma ama kupitia shule hiyo na yupo humu, au ni Mimi pekee mwamba
  20. J

    Mradi wa maji Same - Mwanga 90% ya utekelezaji, aweso awasha pump kusukuma maji kwenda tenki la mwisho

    MRADI WA MAJI SAME - MWANGA 90% YA UTEKELEZAJI, AWESO AWASHA PUMP KUSUKUMA MAJI KWENDA TENKI LA MWISHO. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya utekelezaji wake ambapo ameshuhudia mifumo ya kutibu maji imekamilika...
Back
Top Bottom