mwanga

Danieri Basammula-Ekkere Mwanga II Mukasa (1868 – 8 May 1903) was Kabaka of Buganda from 1884 until 1888 and from 1889 until 1897. He was the 31st Kabaka of Buganda.

View More On Wikipedia.org
  1. Je Muhammad alimuona Allah katika safari ya Miraji au aliona mwanga wake na kusikia sauti tu ?

    Katika Quran tunaambiwa Kuna mbingu saba, mfano hata mtume Muhammad wakati anaenda safari yake ya Mi'raj kukutana na Allah alikutana na Musa akiwa ametulia mbingu ya sita, Ibrahim alikutana naye mbingu ya saba. Mtume alivuka na kupita mpaka wa mbingu zote uitwao Sidrat al-Muntaha ambapo hapo...
  2. Kama huna vivuli kabisa, huenda haupo kwenye mwanga

    Kuna kauli ambazo unaweza kuzisoma kwa sekunde chache, lakini ukizitafakari kwa kina zinakufanya uangalie upya namna unavyoishi, unavyofikiri na unavyoyachukulia mazingira yanayokuzunguka. Katika maisha, mara nyingi tunatamani mwanga bila vivuli. Tunataka mafanikio bila kushindwa, furaha bila...
  3. Mwanga ni sehemu tu ya sumaku na umeme

    Kwa binadamu, ulimwengu mzima usingefanya kazi bila mwanga. Tunaona na kuelewa vitu sababu ya mwanga. Bila mwanga, macho yetu yasingeona vitu. Kiukweli sisi wanadamu hatuwezi kuishi bila mwanga wa jua. Mwanga utatusaidia kuelewa muundo na tabia ya kila kitu kuhusu atomi kwenye ulimwengu. Huu...
  4. O

    Ogiek wapewa mwanga wa ksh157.85 milioni baada ya miaka ya kusubiri

    Jamii ya Ogiek inakaribia kupata fidia ya KSh157.85 milioni kutoka kwa Serikali ya Kenya kutokana na dhuluma za kihistoria, baada ya mchakato wa kuanzisha mfuko maalum wa maendeleo kuingia hatua mpya. Fedha hizo zinatokana na uamuzi wa African Court on Human and Peoples’ Rights, iliyoiagiza...
  5. L

    Mwaka Mmoja madarakani Wa Rais Samia umekuwa wenye Matumaini Tabasamu Furaha na Mwanga Mpya kwa Taifa letu . Hakuna Aliyeachwa Nyuma

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Mwaka Mmoja Wa Rais wetu Mpendwa Kitini ,Ni Mwaka Mmoja madarakani,ni mwaka mmoja mamlakani ,ni Mwaka mmoja Ofisi kuu ,ni mwaka mmoja wa utumishi wa umma uliotukuka ,ni mwaka mmoja wa kutoa majawabu toshelezi ,ni mwaka mmoja wa mafanikio . Ni Mwaka mmoja ambao hakuna...
  6. Kuna kabenki kanaitwa mwanga, kananikakata kila mwezi kwenye mshahara

    Ndgu Ajabu ni kwamba kana tuma sms nilile deni il hali nimekatwa.kananitafuta nini?
  7. Hata giza ni mwanga uliopungua

    Kuna sentensi moja ambayo ukiielewa vizuri inaweza kubadilisha kabisa namna unavyoitazama dunia: "HATA GIZA NI MWANGA ULIOPUNGUA." Watu wengi wakiisikia hukataa mara moja. Wanasema, "Haiwezekani. Giza ni kinyume cha mwanga." Lakini hebu jiulize swali moja. Giza linawezaje kutoweka kwa kuwasha...
  8. A

    RESOLVED Ajira Mpya Halmashari ya Mwanga tumelipwa fedha za kujikimu

    Tunashukuru baada ya kupaza sauti kuhusu changamoto ya kutolipwa fedha za kujikimu kwa sisi ajira mpya, hatimaye hilo limetimia na tumelipwa. Pia soma ~ Ajira mpya Afya Halmashauri ya Rombo hatujalipwa fedha za kujikimu
  9. Mama: Mapigo ya Moyo Wangu, Mwanga wa Njia Yangu

    Leo ni siku ya kuadhimisha malaika wa duniani. Mama si jina tu; ni neno lililojaa dhabihu, uvumilivu, na upendo usio na masharti. Tangu sekunde ya kwanza nilipoanza kupumua, ulikuwa hapo. Ulinibeba si tumboni tu kwa miezi tisa, bali unanibeba moyoni mwako kila siku ya maisha yangu. Nakumbuka...
  10. R

    Kama ndiyo Ujaji ndio huu, Mwanga amewaonea wangapi katika hukumu zake?

    Kama alidiriki kuwafanyia Chadema hivi, wanyonge kwake watapata haki kweli? Amewaumiza wengi!
  11. R

    Heche: Tumesikitishwa sana na Jaji Mwanga amefanya mambo mabaya dhidi ya chama chetu na demokrasia ya nchi yetu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 15, 2026 baada ya Mahakama ya rufaa kanda ya Dodoma kutengua zuio dhidi ya chama hicho kutofanya shughuli za siasa, Heche ameeleza walivyosikitishwa na namna Jaji Hamidu...
  12. Ushirikiano wa PigaBet na Fountain Gate FC Watoa Mwanga Mpya kwa Soka la Ndani

    Dar es Salaam — Kampuni ya michezo ya kubashiri ya PigaBet imetangaza rasmi kuingia mkataba wa udhamini na klabu ya Fountain Gate FC wenye thamani ya Shilingi bilioni 1, hatua inayotarajiwa kuongeza nguvu katika maendeleo ya soka nchini Tanzania. Ushirikiano huo umetangazwa jijini Dar es...
  13. Niliwahi kuandika hapa kwamba Polepole alikuwa anamtumia Sabaya kuleta "mizigo" kutoka Manyara, naona sasa mwanga unafunguka

    Nimeshindwa jinsi ya kuupata ule uzi niliweka hapa miaka kama mitatu imepita. Kwamba procurement officer wa mizigo alikuwa Sabaya. Ndio maana alijiamini sana ndugu Sabaya. Haya sasa, na inasemekana Harakaraka yuko waya mkali. Anakula booster kila siku
  14. Kwanini Mnyika huwa anamshambulia Jaji Mwanga na Mahakama kila shauri linapoahirishwa?

    Kwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu. Kwa nini wasifanyie makusanyiko maofisini kwao? Mahakama inahitaji utulivu, lakini mayowe ya pipoz, sijui no reform Hapo kuna wateja...
  15. GE2025 Jaji Mwanga kuendelea na Kesi ya CHADEMA leo Agosti 7, 2025 baada ya kukataa kijitoa

    Leo, Agosti 7, 2025, Jaji Hamidu Mwanga anatarajiwa kuendelea kusikiliza Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho. Inatarajiwa leo mahakama itasikiliza...
  16. Kwanini Jaji Mwanga asikilize kesi anayolalamikiwa? Iko wapi Natural Justice?

    Dhana ya kanuni za haki ya asili (natural justice) kimsingi imejengwa juu ya misingi mikuu mitatu. Kwanza ni Nemo Judex in Causa Sua – "Hakuna mtu anayepaswa kuwa jaji katika kesi yake mwenyewe" Pili ni ni Audi Alteram Partem – "Sikiliza upande wa pili" Pia soma GE2025 - Jaji Hamidu Mwanga...
  17. R

    Watanzania wameuona Mwanga wamechoka sasa, FANYENI REFORM WEKENI MPIRA KATI TUCHEZE asema Mwanamama

    Watanzania/Watanganyika wameuona mwanga wa Bwana. FANYA REFORM, WAMECHOKA, WEKENI MPIRA KATI TUCHEZA
  18. K

    Professor Maghembe ameishiwa sere na Sasa anatumia udini kumsimika Madara ya ubunge wa Mwanga mwanae

    Inasikitisha sana na Kuona mwanasiasa mkongwe aliyehudumu mihula minne jimboni Mwanga mkoani Kilimanjaro akikosa mbinu ya kumnadi mwanaye na Sasa anamtumia shekh wa wilaya kuendesha harakati za udini misikiti yote ya BAKWATA jimboni humo Mtoto wa professor Maghembe ajulikamaye kama...
  19. L

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Amuwakilisha Rais Samia Katika Kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu Mteule wa KKKT Dayosisi Ya Mwanga.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Katika kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu...
  20. Ukitaka kuamka kiroho pokea zawadi ya Kitabu hiki upate mwanga wa maisha

    KUAMKA KIROHO NI mchakato wa kuamka kutoka kwenye giza ( ujinga) na kutembea kwenye mwanga baada ya kufunguliwa kwa lock zilizoshikilia akili yako ili utembee kwenye Nuru. Kwenye Giza la kiroho kuna umasikini, matatizo, magonjwa, nadharia za kuogopa wachawi majini mapepo mizimu nk hivi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…