Nimekutana na kijana mmoja mwenye umri wa miaka 25 na kwa sasa tiyari amesomea masuala ya ufundi magari kupitia VETA, kwa sasa hana kazi rasmi abayo ameajiriwa lakini hakosi kazi za hapa na pale.
Lakini kijana huyo kaja na wazo ataka awe mtengenezaji vipindi kupitia mtandao wa You Tube na awe...
Mahakama moja nchini Algeria Jumanne imemhukumu mwandishi Kamel Daoud na mkewe, Aicha Dahdouh, kifungo cha miaka mitano jela kila mmoja, bila wao kuwepo mahakamani, kwa tuhuma za kufichua siri za kitabibu na kuvunja haki ya faragha ya mtu.
Kwa mujibu wa gazeti la Algeria la El Khabar, hukumu...
Wakili wa masuala ya haki za binadamu William maduhu amefungua maombi ya Habeas Corpus katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, akitaka Jeshi la Polisi limwachie huru mwandishi wa habari anayedaiwa kushikiliwa na jeshi hilo kwa zaidi ya siku 21 bila familia yake...
Nakuomba uzidi kijilinda wewe kama wewe! Wewe ndiye uliyemhoji mzee huyu kwa hiyo basi uwezekano wa kuongea mengi off mic upo mkubwa sana. Utanifanya nishinde naangalia tanzania safaris peke yake maana umebaki wewe tu mwanahabari mpenda haki usiefanya kazi ili baadae ufikiriwe, unafanya kazi...
Magaidi wawili walitoka Hebron na kuwashambulia Waisraeli. Walipanga mauaji makubwa. Walisimamishwa na kuangamizwa, lakini si kabla ya wanajeshi wawili wa IDF kuuawa wakati wa shambulio hilo. Jeshi la IDF linaingia Hebron kuharibu miundombinu ya magaidi, handaki walizochimba na kuwang'oa magaidi...
"Wengi siku hizi wanajipendekeza ili wachaguliwe kuwa wakuu wa wilaya, administrative officers, ama sijui ma... maofisa watawala. Yaani watu akili zao zote kupata uteuzi... nini kujipendekeza. Na wanahabari wamo!"
"Zamani zetu sisi, unaweza ukakaa mwezi mzima hujaona picha ya Mwalimu front...
We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning...
Mwandishi wa habari wa Marekani, Rob Finnerty wa kituo cha Newsmax, amelazimika kuwaomba radhi Wakenya baada ya matamshi yake kuhusu Nairobi kuzua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii.
Katika kipindi chake cha Oktoba 9, 2026, Finnerty alidai kuwa ongezeko la wahamiaji kutoka Afrika...
Video ya Mwanahabari wa Citizen TV Lulu Hassan akiharakisha kuelekea kwenye gari lake huku walinzi wakimzunguka imezua gumzo huko Mvita kaunti ya Mombasa. Katika video hiyo ya Ijumaa, Oktoba 2, 2026, kundi la watu linaonekana kumfuata huku baadhi yao wakidaiwa kutaka msaada wa kifedha.
Hata...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewakosoa baadhi ya waandishi wa habari na wadau kwa kujenga mtazamo wa hofu unaoua taaluma ya uandishi wa habari badala ya kutumia fursa na sheria zilizopo kupata taarifa.
Amezungumza hayo katika maadhimisho ya Siku ya...
Mwandishi makini mwenye uwezo wa kudadavua mambo kama walivyokuwa akina Shaka Sali huwezi kuuliza maswali ya kipuuzi kama aliyomuuliza Mwenezi wa CCM iliyokataliwa na wananchi.
Kwa sasa mwandishi Khalifa naweza kusema ndio mwandishi very intelligent and analytical.
Mfano huwezi kumuuliza...
Agosti 17, 2026, Mahakama ya Mali imemhukumu kifungo cha miaka saba jela mtangazaji maarufu na influencer wa mitandaoni, ambao wote walikuwa wakikosoa utawala wa kijeshi nchini humo
Mtangazaji wa televisheni na redio, Mohamed Youssouf Bathily, maarufu kama Ras Bath, amehukumiwa na mahakama ya...
Mazungumzo ya moto yanayohusisha Naibu Spika wa Bunge la Kitaifa Gladys Boss Shollei na mwandishi wa Citizen TV Sam Gituku yamezua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kugongana moja kwa moja hewani kuhusu takwimu za uzalishaji wa mahindi nchini Kenya.
Kesi hiyo ilianza pale Gituku alipobana...
My Take
Tulikubaliana kwamba Nchi Zenye Demokrasia na Katiba Mpya Huwa hazinyanyasi watu wakiwemo waandishi wa habari na kwamba huko mambo ni saaaafi kabisa ,hii vipi tena wajameni? 😂😂😂😂
Chadomo mpo? Mkileta ukibaraka mshughulikiwe bila huruma...
Rais wa Senegal ametoa msamaha kwa mwandishi wa habari, Rene Capain Bassene, aliyekuwa amehukumiwa kifungo cha maisha jela kuhusiana na mauaji ya watu 14 yaliyotokea mwaka 2018 katika mkoa wa Casamance.
Mnamo Januari 2018, watu 14 waliokuwa wakikata mbao (loggers) walivamiwa na kuuawa katika...
Mchora Katuni Masoud Kipanya ambaye pia amewahi kuwa Mtangazaji wa Redio na TV kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision kuhusu Mtazamo wake kuhusu Waandishi wa Habari walioshiriki katika kuwania nafasi za uongozi kupitia Vyama vya Siasa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 ameeleza namna alivyopambana wakati anafanya kazi na Radio Tanzania Mkoa wa Songea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.