mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanaume mpaka sasa anasimamia kucha saa moja?

    Habari za mchana ndugu zangu. Kama nilivyoalindika kichwa hapo juu, hivi siku hizi kuna mwanaume anaeweza kujamiana na mwanamke raundi ya kwanza wastani wa saa moja? Maana mbona kuna malalamiko mengi siku hizi zihusizo nguvu za kiume kupungua?😠 Salaam.🙏
  2. JamiiForums Tanzania Iran: Aliyeishi miaka 54 bila kuoga afariki dunia

    Mwanaume wa Iran ambaye ameishi zaidi ya miaka 50 bila kuoga, hatimaye ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 94, ila huko huko Iran, mwanamke aliuawa kisa kipande cha nywele kilijichomoza kwenye ushungi.... An Iranian man nicknamed the "dirtiest man in the world" for not taking a shower for...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kwa mwanaume kumtafutia mke wake 'Bull' wa kumridhisha kama yeye hawezi?

    Haya mambo siyo fantasy, ni mambo yapo kabisa kuhalisia. Kila mwanadamu kapewa matamanio, wake kwa waume, haya matamanio yasipopunguzwa huwa si ajabu kuzuka mabalaa. Kwa hali hii kuna baadhi ya wanaume wasio na uwezo wameshakubali matokeo na kuwatafutia wake zao njia mbadala. Mwanaume anajiona...
  4. JamiiForums Tanzania Msanii Diamond atoboa pua

    Hivi hii video hapo chini ni ya kweli au ni photoshop?
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro: Wanaume tuliokuwa tunavizia Urais twende likizo, kazi anayoifanya Samia hakuna wanaume wanaoweza kuifanya

    Waziri wa Sheria, Damas Ndumbaro akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya WILDAF yaliyohudhuriwa na Rais Samia amewataka wanaume wanaotaka kuwania Urais wakapumzike kwani aliyepo shughuli anaiweza barabara. Ndumbaro ametaka wanawake waongoze nchi hata miaka 20 na kama wanaume wanataka kwenda...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume kupiga bao nyingi kwa tendo moja nayo ni dhana potofu

    Hii ni dhana potofu na ni tatizo. Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi ya bao anazopiga yeye, abadani, anasifika kwa muda anaotumia kutoka bao moja kwenda jingine, hiyo ni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wewe ni mwamba, kichwa na kiongozi. Kaa kwenye nafasi yako

    Habari wana JF, Ni asili ya mwanaume kuanzisha mahusiano na mwanamke ndio mwenye maamuzi ya kukubali au kukataa, hata kama mwanamke ataanza kumpenda mwanaume ni vema kusubili mwanaume aanze kwasababu yeye ndiyo dereva anatakiwa kuwa na uhakika wa safari yenu na ramani ya huko mnakoelekea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Walawi 18:22: Usilale na mwanaume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo

    Katika sura yote ya 18 ya kitabu cha mambo ya Walawi kwenye Biblia, Mungu amekataza mambo machafu yahusianayo na ngono ikiwemo kuoana na ndugu wa karibu, ikiwemo pia kulala na wanyama. Uzi huu ni kumbushio maalumu juu ya unajisi utokanao na ushoga. Uchafu wa mambo hayo HUINAJISI NCHI, hata nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Namna ya kuwa mwanaume usiyekera wanaume wenzako

    1. Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako ni ushamba fulani hivi,dizaini kama hujiamini so lazima ujivishe nyota. Unaboa. 2. Tembea na keshi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Matembezi ya mikono ya mwanaume kwenye mwili wa mke wake

    Una mke wako ambaye umeishi naye kwa miaka kadha hadi sasa. Je ni sehemu gani za mwili wake ambazo alama za viganja vyako (fingerprint) zikitafutwa hazitaonekana? (Sitarajii kutajwa sehemu za ndani ya mwili kama maini, figo, utumbo, nk.)
  11. JamiiForums Tanzania Kwa matendo haya, sasa naamini mimi ni mwanaume wa ukweli!

    1. Kuna siku nlikuwa naitwa na mwaamke niende kwake nikamle, na wakati huo huo kuna jamaa yangu anajisikia vibaya kanipigia simu yupo home. Nlikataa kwenda kwa mwanamke nikaenda kwa jamaa kumchukua na kumpeleka hospitali. Uamuzi huu umenipa sifa sana kwa kweli. 2. Kuna kipindi dada mmoja...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama kweli jamaa anajiamini yeye ni mwanaume kweli afanye hivi

    Kama kweli anajiamini yeye ni kidume asijifiche ajichanganye hadharani kama zamani. Aende sokoni kama kariakoo. Asitumie sana usafiri binafsi. Asijifiche jifiche. Hapo nitamuamini jamaa kweli mwanaume. Ila kwa wabongo wanavyokera utasikia huyooo huyoooo kachapiwaaa huyooo huyoo kagongewa. Yaani...
  13. JamiiForums Tanzania Ipo sababu moja tuu itakayomfanya mwanaume amsamehe mkewe endapo atamfumania akiwa kwenye tukio

    Anaandika, Robert Heriel Vijana muache ubishi na ujuaji, oooh mimi siwezi msamehe mke wangu endapo nitamfumania amelala na njemba nyingine, hayo utayasema ukiwa timamu, unajiweza na nguvu za kutosha. Mwanamke msaliti hata Shetani hawezi kumsamehe achilia mbali Mungu mwenye wivu mkali mno...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini mara nyingi mwanaume ukimhudumia sana mwanamke lazima upigwe na kitu kizito?

    Utakuta mwanaume uko vizuri kipesa, unamuona mdada unampenda, ila amepauka kwa umaskini. Unajitoa kumhudumia kipesa kwa hali na mali, hadi mdada ananawiri, ila atakachokuja kukulipa huyo binti, ni heri tu angekuambia tuachane. Niliona makala YouTube, mdada mmoja wa Kifilipino alimuua mume wake...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukifanya kazi hizi wanawake lazima wakupende

    1. Uhasibu 2. Bank 3. Urubani 4. Udaktari 5. Uaskari 6. Mfanyabiashara
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume akutongoze, kisha umfuate kwake kumkanya, kweli ulisikia wapi?

    Hii script inazidi kuwa unbelievable and untrustable zaidi ya bongo muvies zetu. Kitendo cha mwanamke ambaye ni Mamq Mchungaji kutumiwa meseji za mapenzi na Katibu wa Kanisa lao kisha ati amchukue mmama mwingine haraka haraka na kwenda kwa huyo Katibu kwenda kumuambia aache, badala ya kutoa...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili utapanda hizi ngazi kwa style gani?

  18. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo mwanaume unatakiwa na hutakiwi kufanya kwenye mawasiliano ya simu

    1. Usipige simu ikaita hadi ikakata. Huko ni kujikosea heshima. Labda uwe unapigia wazazi. 2. Usimpigie mwanaume mwenzako video call. Labda iwe kuelekeza kazi. 3. Isipigepige simu sana, pia usipige simu ukiwa na shida tu. 4 .........
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa hakuna mwanaume aliyevunja rekodi ya mahari ya Adamu kwa Eva

    Adam ndiye mwanaume aliyeoa kwa mahari kubwa kuliko mwanaume mwingine yeyote tangu dunia kuumbwa. Imagine alitoa mbavu zake ili kumpata Eva! Halafu hawa "ng'ombe" wa siku hizi wakipangiwa mahari ya milioni 5 tu wanalalamika utadhani wamekatwa kichwa. Hakuna wanaume siku hizi.
  20. JamiiForums Tanzania JKCI: Mwanaume anatakiwa kunywa Bia 2 na mwanamke Bia 1 tu kwa siku

    MWANAUME anatakiwa kunywa uniti mbili za bia sawa na chupa mbili wakati mwanamke anapawa kunywa unit moja ambayo ni sawa na chupa moja ili kuepuka magonjwa yasiyo ambukiza ikiwemo Moyo. Hayo yamesemwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Tatizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…