mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume anayetosheka na mwanamke mmoja au ni hulka ya mtu tu?

    Nataka kujua kuhusu hiki kitu ambacho kimenifanya nishindwe kabisa kuwaamini wanaume ,je ni kweli wanaume wameumbwa na matamanio kiasi cha kwamba hawawezi kutosheka na mwanamke mmoja?
  2. JamiiForums Tanzania Shilole kila Mwanaume kwake ni mbaya

    "Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"- My take : Yawezekana...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume mwenye kibamia

    Nimekuja tena mzee wa fact naanza kwa salamu habari zenuu !!!? Twende mbele turudi nyuma HAKUNA mwanaume mwenye kibamia , Early 1999s mpaka late 2009s hakuwa kabisa na haya mslalamiko kutoka kea wanawake hata wanaume wenyewe kuhusu udogo wa maumbile, Cha kushangaza 2015 mpaka SASA kuna kilio...
  4. JamiiForums Tanzania WANAUME TUJIFUNZE KWA SAMUEL ETOOUkifanikiwa usitafute penzi jipya mkumbuke uliyeanza nae

    Pichani ni Samuel Eto'o akiwa na mkewe unaambiwa kabla Eto'o hajawa star mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa pesa ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake washauriwa na mchungaji Christina shusho kuzaa watoto wachache na kupanga uzazi binafsi bila kumshirikisha mwanaume

    Ameshauri wawe wajanja kuzaa kuijaza dunia Mungu hakumaanisha Kuwa na watoto wengi Bali kufanya vitu vingi..pia amedai alikataa Dola za kimarekani elfu 20 kutoka Kwa kigogo alietaka kulala nae..hivi ndo anatangaza dau lake kijanja au anajisafisha mbele ya jamii Ione Kuwa Huwa hadangi
  6. JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani Mwanaume unaweza kutumia ili Usirogwe na Mkeo au Hawara hasa ukishamshtukia kuwa ni Mshirikina au anataka Kukutengeza / Kukuroga?

    Jamani nipeni tu hizi Mbinu haraka ili Nijihami mapema, kwani naziona kabisa dalili za Mimi Kutengenezwa / Kurogwa. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA...
  7. JamiiForums Tanzania Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

    Taiwo amesema kitendo Cha kuoa kabla ya kupata pesa na umaarufu kimemsaidia sana katika maisha yake 👏🏿👏🏿 Kipindi ambacho naoa Kila mtu alimshauri mke wangu asiolewe na mm maana nilikuwa Sina pesa za kutosha kufanya jambo zuri Kwa ajili yake 😭😭lakini binti wa watu aliziba masikio na kusema...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume akiwa star anatamani muonekano na hulka za jinsia ya kike

    Shalom, Inakuawaje mwanaume anapojiona ni star katika fani mfano music, football, movie, Djs na etc hutumia muda mwingi kujibrand na muonekano wa kike mfano nywele, hereni, kujichubua, vipini, kusuka nywele na etc. Je, wanajukwaa tatizo ni nini ama chachu yake nini. Ni hayo tu Wadiz
  9. JamiiForums Tanzania Somo nyeti: Unapokuwa katika mahusiano na mtoto hakikisha anashidwa kukuelewa wala kukusoma wewe ni mwanaume wa aina Gani

    Ewe kijana wa kiume kama upo katika mahusiano na mtoto wa kike hakikisha anashidwa kukuelewa wala kusoma wewe ni mtu wa aina Gani iwe umeoa au hujaoa ....... Siku zote katika mahusiano wanawake huwa wana maswali mengi ambavyo wanapenda kusikia toka kwa mwanaume lengo ni kuweza kukufahamu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kila mwanaume anayepigwa tukio anakuja kulia lia humu. Huu uchuro!

    Kwanza ijulikane wazi kuwa namba unayoiona wewe ni 9, mwenzio akikaa upande mwingine anaiona 6. Kama mtu akiingia humu na kichwa chepesi, ataanza kuwachukia wanawake wote kwa visa vya humu ndani, ambavyo vingine ni vya kubumba. Kwa utafiti wangu rasmi, mwanamke anayepakwa matope humu JF ni...
  11. JamiiForums Tanzania Furahia kuwa mwanaume

    Habari wakuu. Sisi WANAUME tumepewa mamlaka makubwa sana na mwenye mamlaka.Hivyo basi wewe ni mwanaume kwahiyo furahia kuwa hivyo kaka. Unatafuta pesa kwa akili nyingi ili Mama,baba,Mke,watoto na ndugu ili wapate msaada wako asee sio kazi ndogo kaka. Umetulia unawaza mambo yako unaskia simu...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume yeyote rijari asie penda kuwa kama mimi anyooshe mkono

    Ni hivi sijisfiii ila mimi mwenzenu napendwa jaman bila kutumia nguvu. Sihangaiki kuwa sifia na kujikomba kwao. Siwahongi hata thumuni zaidi ya kuwapa muda wangu na dudu ikitokea kumpa kitu basi nampa kama vile ambavyo ningeweza kuwapa wana wengine.. Kitu ambacho wanaume wenzangu hadi mhonge...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwa sababu za kiuchumi

    Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwasababu za kiuchumi alafu unaanza kulalamika na kulialia eti mke wangu kanikimbia!!! Ulitaka afanyeje? Mti ukimea kando ya kijito cha maji jani lake litakuwa bichi na utazaa matunda yake kwa misimu yake yote. Lakini pindi kijito kikikauka uwe na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

    1. Amechora tattoos. Red flag. 2. Ametoboa pua red flag. 3. Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag. 4. Anakunywa pombe red flag. 5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag. 6. Haendi msikitni Wala kanisani red flag. 7. Ni muumuni wa twerking red flag. 8. Ana marafiki wa kiume wengi Red flag. 9. Round...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume Black🥰🥰🥰

    Halafu awe ✓Tall🥰 ✓Mwembamba kiasi🥰 Nyiee acheniii 🤗 Sitamani Jumanne ifike🤸 BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko tarehe ya ndoa ni 13 July 2024. I can't wait for shoooo😁😁 Play song for us Mr piano man😁🎵 KARIBUNI ♥️♥️♥️
  16. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kuwa mwanaume na mwanamke wenye damu zenye chaji tofauti +ve na -ve hawawezi kupata mtoto?

    Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya. Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
  17. JamiiForums Tanzania Ewe kijana wa kiume wakwe zako wa leo ndio maadui zako wa kesho baada ya ndoa hivyo ishi nao kwa akiri

    Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache 1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume "kwa mara ya kwanza kubebesha msichana mimba" nulikuwa na umri gani, ulijisikiaje alipokwambia ana mimba yako?

    Wavulana wana balehe miaka 14 na kuendelea japo mikoa ya Pwani hasa Tanga, Dar es salaam, Pwani, Mtwara na Lindi wananza ngono kabla ya baalehe tofauti na mikoa yenye maadili na mafunzo ya kaskazini na kanda ya kati na kanda ya ziwa. Sasa , kijana wewe ulimpa msicha mimba ukiwa na umri gani na...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye uhitaji wa wanawake wengi, hana furaha yeye mwenyewe

    Mwanaume mwenye uhitaji na wanawake wengi, hana furaha na yeye mwenyewe. Kwake kuwa na usikivu wa wanawake wengi, kunamsaidia kulisha nafsi yake, kuficha kutojiamini kwake. Huyu mwanamume asiyejiamini, atacheza na hisia za wanawake wengi, huku akidhani ananufaika na kuongeza kujistahi...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaume, usifanye mambo ya kijinga ukiachwa na mwanamke. Ishi maisha yako na usonge mbele

    Wanaume wengi huchanganyikiwa kwa sababu tu mwanamke huachana nao. Hii inasababisha wanaume: - Kunywa pombe na kulewa, wengine wanatumia dawa za mitishamba na kichawi kwa lengo la kumpata. - Wanapoteza mwelekeo wa maisha na kuanza kutokuwa na tija, kwa sababu ya kuvunjika moyo wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…