mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume wewe ni mshindi

    Habari za jumamosi jamii forum, Ni weekend nzuri kabisa ya mwisho wa mwezi,ambayo bila shaka bidhaa na shopping kibao zitafanyika huku kesho jumapili tukipunguza michango na zaka kwa kiasi fulani. Nije moja kwa moja kwenye mada ambapo mara nyingi napenda kuwatia moyo wanaume wenzangu haswa...
  2. JamiiForums Tanzania Ijue Nyumba Ntobhu - nyumba bila mwanaume kwa jamii ya wanawake wa kijaluo.

    Nyumba Ntobhu maana yake ni "nyumba bila mwanamume" ni aina ya muungano wa jadi usio wa mapenzi ya jinsia moja miongoni mwa wanawake wa kabila la wajaluo Mkoani Mara - ushirikiano huundwa kati ya wanawake wakubwa kiumri na wanaojiweza kiuchumi, ambao kwa kawaida wanawake hao huwa ni wajane au...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume akipata pesa anafikiria kuanzisha familia (Kuoa) wakati Mwanamke akipata pesa anafikiria kuwa single mother

    Hii inafikirisha sana na inaonesha ni kwa namna gani wanawake wengi ni wabinafsi. Mwanaume akipata pesa atakachofikiria kuoa na kupata watoto na kuendeleza familia iwe bora zaidi . Ila sasa kwa wanawake wakishapata pesa tu cha kwanza watakachofikiria kama yupo ndoani atataka avunje hiyo ndoa...
  4. JamiiForums Tanzania Umasikini wa mwanamke sio tatizo la mwanaume.

    Kwa kiasi kikubwa umasikini unatoka na chain ya ufukara ambayo ipo kwenye familia au ukoo, kwa maana iyo umasikini wa mwanamke sio tatizo la boyfriend wake, ni tatizo lake binafsi na familia yake na wao ndio wenye wajibu wa kujiondoa katika umasikini huo. Unakuta kiijana wa kiume anajibana...
  5. JamiiForums Tanzania Leo Zingatia Haya Wakati wa Kuchaguana Ili Kupunguza Kero na Taabu.

    Salaam kwa wafuatiliaji wa jukwaa la MMU. Ukiwa umetulia unasoma huu uzi basi jaribu kuweka akilini mambo machache muhimu wewe kijana wa kiume au kike unayetafuta mwenza sahihi na upo kwenye fungu la kupata mahusiano yenye furaha. Vijana wa Kiume Zingatieni haya hapa wakati unatafuta she wa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu, mkeo kukunyima unyumba nje ya dharura za kibinadamu ni dharau kubwa sana

    Kumekucha wana Baraza....... Hili halihitaji maelezo mengi kwani limekuwa tatizo sugu kwenye vyumba vya wanandoa mpaka baadhi ya wanaume (mabwege) wameanza kuona ni jambo la kawaida...... Ngoja niongee KIUME...... Kunyimwa uchi na mkeo sio jambo la kawaida.....tendo la ndoa ni nguzo kuu...
  7. JamiiForums Tanzania Dotto Magari: Nikimuona Mtu (hasa Mwanaume) anaendesha IST namdharau kwani namuona kama vile amekaa Chooni kwa jinsi anavyoiendesha

    "Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa namna yoyote ile mwanaume usikubali kuishi kwenye nyumba au chumba kinachomilikiwa na mwanamke

    Habari za muda huu, Bila shaka hili sio jambo geni hata humu jamvini na linaweza kuonekana kama jambo la kawaida kulingana na wakati husika. Ni jambo la kawaida kwa macho ya kawaida lakini kwenye masuala ya kuukamilisha uanamume mbele ya mwanamke makazi ni jambo la msingi sana mwanaume kuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume haibiwi anaenda mwenyewe😹🙌 Amka dada‼️

    Ww kama mwanamke mwenye akili timamu usiwahi kunyanyua mkono wako kumpiga mwanamke mwenzio au kumletea Fujo yoyote kisa anatembea na bwana ako...mwanamke anatongozwa..na Kwa madai ya kwamba alijipeleka mwenyew..swala linarudi pale pale kwamba huyo mwanaume na yeye alikubali ilhali anajua ana mke...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume, usiharakishe kujiaminisha kuwa mwanamke uliye naye ni wa maisha. Mpime siku zote za maisha yako.

    Na Chibueka: Mwanamke anajua aliolewa na mwanaume mwema kutoka wiki ya kwanza ya ndoa yao. Mwanamume anaweza tu kuthibitisha alioa mke mwema siku za mwisho za maisha yake. Hii ni kwa sababu wanawake hawatabiriki na wanaweza kukubadilikia wakati wowote. Kwa kawaida mwanamume hapati faida...
  11. JamiiForums Tanzania Somo tunalolipata kutoka kwa taifa la Israel. Mwanaume hapigwi na mkewe, ikitokea, ni mwanaume kaogopa jela tu

    Narudia tena, bila vijana wa taifa la Israel, dunia bila nyukilia ingewezekana Dunia bila teknorojia za maangamizi, ingewezekana Shida ni hawa watundu wa ubunifu wa hali isiyo ya kawaida, namaanisha Waisrael Hili taifa kulipiga inawezekana, ila si kulishinda, Ni sawa tu na mwanaume kupigwa...
  12. JamiiForums Tanzania Briffault's Law inasema Mwanamke hawezi kuwa na mahusiano ya aina yoyote na mwanaume kama hafaidiki

    habari wadau. Naona threads za kuwalalamikia wanawake wanapenda pesa na mali zimekuwa nyingi sana. Ningependa vijana wote wa kiume wanaopenda kulalamika waisome na kuijua hii scientific Law ya mwanasayansi Robert Briffault ambayo ni a scientific law that describes the biological behavior of...
  13. JamiiForums Tanzania Kama mwanaume unaweza kukaa siku nzima bila kupokea meseji ya " mambo" basi jua kuna kitu kina miss kwenye maisha yako

    Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike. Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!! Haya pokea. Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
  14. JamiiForums Tanzania Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

    Anafunguka mwanaharakati..... "Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria Natoa...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume usikwepe majukumu yako kwa mpenzi wako umpendaye

    Mwanaume kamati hii... Ikiwa mpenzi wako ni mzigo kwako, basi haumpendi. Na ikiwa unampenda, lipa bili. Mtoe out kwa chakula cha jioni angalau mara moja kwa wiki. Mnunulie losheni, manukato, vipodozi na mavazi mazuri apendeze,mtafutie usafiri mjengee nyumba na umtunze maisha yake yote...
  16. JamiiForums Tanzania Kidume inabidi uwe tough kwa demu unayetaka kumtongoza, utampata kwa urahisi

    Kujaribu kumfavor mwanamke unayetaka kumtongoza aisee kosa kubwa saaaana. 1. Umekutana na dada amekaa kwenye siti yako ya dirishani usimuache akae hapo hata kama unataka kumtongoza, mwambie nahitaji kukaa kwenye hiyo siti ambayo nimeshaikatia tiketi. Atakuona ni shujaa, hatokuchukulia poa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba?

    1: Je mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba? Maana nilisikia kwamba huwa kila siku zinatengenezwa. 2: Je zinazo tengenezwa leo haziwezi kutungisha mimba leo leo ? Naombeni msaada Wa kufafanuliwa vizuri hii imekaaje.
  18. JamiiForums Tanzania Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

    Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri. Lakini...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume pendezesha nywele yako kwa mafuta haya

    Ndugu zangu natumai mko salama kabisa. Matumizi a. Baada ya kuoga/kuosha nywele paka mafuta yako kwa kutumia mkono. b. Pia unaweza kupaka mafuta haya hata kama hujaosha nywele/kwa nywele kavu. c. Paka Mara moja tu kwa siku. Na tumia kiasi kidogo sana kwani mafuta haya yanakolea sana na kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaume!! Adui wa kwanza wa mafanikio yako ni mwanamke au wanawake utakaokuwa nao.

    Endeleeni kuwatukuza, Nimesoma leo Kitabu cha mwanzo pale kwenye bustani ya Edeni, Adam alikaa poa na viumbe wengine bila makwazo wala mzozo ila alipoingia mwanamke maisha yakabadilika mpaka leo tunaishi maisha yakiwaki. Nimegundua mwanaume kuishi mwenyewe bila mwanamke ndio nguvu ya mafanikio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…