mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mvulana na mwanaume

    "Endapo bado hujaelewa tofauti kati ya wavulana na wanaume, hapa kuna mifano michache inayohusu mahusiano ya kimapenzi: - Mvulana: hutumia wanawake kujenga kujiamini. Mwanaume tayari ana kujiamini. - Mvulana: hupenda 'kudate' tu na mwanamke anayemvutia. -Mwanaume: humualika kwenye miadi...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi

    Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi Kabla ya kuingia kwenye somo hili, ni muhimu kufahamu kuwa uhusiano wa kweli unapaswa kujengwa kwenye msingi wa upendo, heshima, na uwazi. Hata hivyo, kwa wasichana walio kwenye mahusiano, kuna njia za kimaadili za kumfanya...
  3. JamiiForums Tanzania Nini chakufanya kwa mwanamke ambaye anataka kutawala mwanaume kwasababu ya ngono

    Habari zenu wapendwa Naombeni ushauri juu ya hali hii ambayo kidogo inanipa stress Mimi nikijana nimeoa na nina mtoto mmoja Lakini kuna hali fulani ambayo mke wangu anayo Hali hiyo ni kutaka kunitawala kupitia madhaifu yangu Amegundua kuwa ninapenda sex sana na ameanza kutumia njia hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua kama mwanaume anakupenda au hakupendi

    Dalili Kwamba Anakupenda Anaonyesha Kujali kwa Moyo wa Dhati Anakufuatilia kujua hali yako (mwenendo wako wa kila siku, afya yako, au matatizo yako). Anachukua hatua kukusaidia bila ulazima, iwe kwa kukushauri au kukutegemeza. Anaweka Muda wa Kukaa na Wewe Licha ya ratiba zake kuwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Kipato huongeza uhuru na kujiamini kwa mwanaume

    Ni content but in reality inachoma kama pasi. Poleni wanaume wote mnaopitia khali hii ama zaidi ya hii. Mwenyezi Mungu awaone na kubariki hustles zenu. Happy Friday.
  6. JamiiForums Tanzania Kama tunazitaka mali tutazipata kwenye hustle, kama tunaumizwa na Wanawake aminini Wanangu tutawakuta wengine mbele

    Wakuu mnisikilize Kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili...
  7. JamiiForums Tanzania Mazoezi kwa mwanaume ni muhimu Sana kama unataka kumridhisha mwenza wako kwenye tendo!

    Nimeona nizungumzie hili wanaume wenzangu kama unahitaji mpenzi wako afurahie shughuli yako ya kitandani jitahidi kufanya mazoezi ili uwe mwepesi kuhakikisha unapumzi ya kutosha hivihvi jamani tutalaumiwa sana na tutapigiwa sana
  8. JamiiForums Tanzania Dakika 15 za Upweke Golini: Simulizi ya Sam Bartram

    Mnamo Desemba 1937, wakati wa mechi ya mpira wa miguu huko Stamford Bridge huko London kati ya Chelsea FC na Charlton FC, mchezo ulisimamishwa katika dakika ya 60 kutokana na ukungu mkubwa. Kwa bahati mbaya, kipa wa Charlton FC, Sam Bartram, hakujua kwamba mechi ilikuwa imesimamishwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Dunia haijawahi kuwa na huruma kwa mwanaume

    Ukiangalia historia ya maisha ya watu wengine waliotangulia utabaini kwamba maisha ya mwanaume siku zote huwa magumu sana.Mwanaume anaweza kuonewa huruma nyakati nne ,moja akiwa mgonjwa sana,mbili akiwa mzee,tatu akiwa mlemavu,nne akiwa majeruhi /akiwa na majeraha. Kinyume na hapo mwanaume...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye hekima hamwambii Mwanamke wake haya mambo mawili

    Maexpert wa kiume nawapa mchongo ambao wanaume wenye hekima tu ndio wanaielewa hii code Mosi, mwanamke wako hatakiwi kujua hisia zako za ukweli kabisa,yes you heard me! Fanya utakavyo fanya na ishi naye utakavyo ishi naye lakini mwanamke wako anatakiwa asikujue kabisa wewe ni mtu wa namna...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
  12. W

    JamiiForums Tanzania Fungua Milango ya Mafanikio: hizi ndizo njia kwa wanaume kujiondoa katika umaskini

    Pata Mwanamke Sahihi Sahau kuhusu slay queens na wanawake wenye sura na shape wasioweza kukuunga maono yako. Tafuta mwanamke atakayekuunga mkono kwenye maono yako na kukupa ahueni kwenye safari ya kusaka mafanikio. Mwanamke alie tayari kutimiza majukumu yake na yenu kwa pamoja, ni muhimu sana...
  13. JamiiForums Tanzania Kuwa mwanaume si Kazi rahisi, zingatia haya kulinda UANAUME wako

    1.Epuka kukubali kuguswa na mtu ,iwe begani au wapi pindi mpo kwenye stori na vema wakajua kuwa huwa hupendi. 2.Epuka kukumbatiana na mwanaume mwenzio pindi mnasalimiana,hata kama mmemisiana muda mrefu. Labda kama ni Baba mzazi au mwanao,japo huwa sioni ulazima. 3.Epuka kuwa mwepesi wa kukopa...
  14. JamiiForums Tanzania Nyuma ya kila mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke anayemsukuma!

    Wakati kundi la watalii lilipotembelea shamba la mamba, mmiliki wa eneo hilo alizindua shindano la ujasiri, kwa kuwaambia wageni waliohudhuria kwamba.. "Yeyote anayethubutu kuruka, na k kuogelea hadi upande wa pili wa ziwa lile lenye mamba na kusalimika kuliwa au kujeruhiwa atampa $ 1,000,000...
  15. G

    JamiiForums Tanzania watu wa Dar es Salaam punguzeni ujuaji muwapo mikoani, Mwanaume kuvaa hereni mikoani ni mwiko

    DSM ni jiji kubwa sana lenye mchanganyiko wa tamaduni kibao, watu wa mataifa wengi, fani nyingi, n.k. Halai hii imewea kuruhusu kuonekana ni jambo la kawaida mwanaume kusuka, kuvaa hereni, kuvaa kipensi, n.k. Lakini huku mikoani yakiwemo majiji madogo, hali ipo tofauti sana, tamaduni...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume akifika mshindo mmoja tu anatoa mbegu/manii takribani milion 350 zenye ujazo wa wastani wa 3.5ml.

    Kwa mshindo mmoja tu mwanaume Anapoteza hizo mbegu za kiume kwa wastani wa wingi huo wa mbegu milioni 350M (3.5mls za ujazo) Ambazo hizo ni pure proteins matofali ya kujengea na kukarabati mwili wake.. KUNA FAIDA KWA MWANAUME KATIKA KUPUNGUZA KUTOA MBEGU ZAKE ZA KIUME(NGUVU ZAKE) MARA KWA...
  17. JamiiForums Tanzania Ya Mbowe na Gambo yametufundisha kwamba, mwanaume wa kweli lazima apige yowe pindi chai ya watoto wake inapoguswa na vitu visivyojulikana

    Kumekucha kumekucha Gambo Mkuu Gambo kaambiwa maneno machache tuu, ‘Hudhuria kwenye vikao’ almanusura adondoke chini kwa shambulizi la moyo. Nikagundua kumbe alikuwa yupo mbele ya wateja wake a.k.a wapiga kura. Maneno ya RC yamemchoma sana mwanaume huyu; chupa ya chai ya wanawe imepokea mguso...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Foleni ya kwenda kumuona Mwanaume mwenye Mwanamke mmoja

    😁😁😁
  19. JamiiForums Tanzania Kama Mungu ni mkamilifu, kwanini aliipitisha urethra (mrija wa mkojo) katikati ya tezi dume?

    Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu. Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo: 1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO? Kutegemea Umri...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke feminine haombi mwanaume hela. Girl code 5

    Ni kweli. Mwanamke yeyote ambaye ni feminine haombagi hela kwa mwanaume. Hela zinakuja tu zenyewe. Kama unataka kujua inakuwaje nicheki inbox. Angalizo: Nyie wanaume mnaomiliki wanawake feminine alafu hamuwa-hudumii, msije kulia siku za usoni. HAPPY NEW YEAR 2025
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…