mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume perfume hizi ni mzuri sana kwako

    Helll Mwanaume mwenzangu ambaye bado ujajua perfume nzuri zitakazo kufanya uonekane mtanashat na kunukia vizuri wakati wote mimi natumia hizi mbili Hii natumia kama sehemu ninako enda hakuna kusanyiko kubwa la watu wengi sana hii ndio natumia au safari za kawaida bei 50000 Hii ya pili...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume hakuumbwa kufurahi: Aliumbwa kupambana na kushinda

    Suala la kufurahi ni kwa ajili ya wanawake na watoto ila siyo kwa wanaume (akina Baba). Maisha katika zama tunazoishi yamejawa na misongo na matatizo hayahitaji kujionea huruma. Ikumbukwe unachokitaka wewe na mwingine anakitaka hivyo njia ya pekee hapo ni kupambana na kushinda na siyo...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiona hizi dalili jua umeshaachwa unasubiriwa wewe kujitangaza tu

    Dalili za kuachwa au kwamba uhusiano unaelekea kuisha mara nyingi huanza kwa mabadiliko madogo ambayo huongezeka polepole. Hizi hapa ni dalili za kawaida zinazoashiria kuwa huenda mwenzi wako anapanga kukuacha au tayari amepunguza mapenzi katika uhusiano: 1. Mawasiliano Kupungua Sana Hataki...
  4. JamiiForums Tanzania Kila unapomsaidia mwanamke, hakikisha unamdinya kwanza. Vinginevyo, what goes around, goes away

    Ukimsaidia mwanaume kwenye matatizo yake atakukumbuka maisha yake yote. Ila ukimsaidia mwanamke atakukumbuka kila akipata tatizo jipya.
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake Jambo gani mnafanya kwenye mapenzi ili tu kumridhisha mwanaume wako ila husikii raha yoyote?

    Mmekuwa na lawama nyingi mara hatuwezi kazi, mara haujafika kileleni. Mara nyingi hampo open na hili sio tatizo lenu ni malezi ya jamii. Hapa hamjulikani tuambiane kipi mnafanya tu kwenye sex ila hakina effects zozote kwenu. Wanaume tupo open saana linapokuja suala la mapenzi. Share mambo...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni nani na uanaume ni nini?

    Je ni vitu gani vinaashiria uanaume na ni vipi vinaharibu uanaume? Kwangu mimi naona mwanaume, pamoja na kua na maumbile ya kiume, mwanaume anathibit hisia zake na kutumia mantik/ akili yake. A man can set aside his emotions and lust and using his logic/ and intelligence on making decisions...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele, Usiwe na mahusiano na Boss wakoMkigombana utapoteza

    🚨MWANAUME👂 1- Usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele 2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha 3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji wako Akiachwa na msela, ameachwa na Familia🙌 4 - Ndugu yako akikufundisha Kuvua KAMWE usirushe nyavu...
  8. JamiiForums Tanzania Nani Atamwokoa Tundu Lissu, Mwanaume Anayeota Tanzania Tofauti?

    Inamhusu Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani Tanzania aliyenusurika jaribio la mauaji 2017 (risasi 16). Akiwa uhamishoni Belgium, anawania urais 2025, akisukuma demokrasia, kupambana na ufisadi na mageuzi ya haki za binadamu. Inatoa wito wa msaada kimataifa kumkinga na vitisho. Kutoka kikundi...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume bila Pesa, wanawake wazuri utaishia kuwaona tu kwa macho, na kamwe hutoheshimika

    Mwanaume nisikilize! Umasikini unauma zaidi ukiwa mwanaume. Familia inakutazama tofauti sana hata kama haikuambii ila we fahamu tu kuwa kuna vile wanawaza na kukutazama. Ukiwa huna pesa kuna namna fulani watu wanakunyima heshima au wanakukadiria heshima. Ukiwa huna pesa hakuna anayejali...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kunioa

    Habari wakuu Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa Sifa zangu Miaka 33 Kabila mchaga Dini Mkristo Sina mtoto Naishi Dsm Kazi Biashara SIfa za mwanaume Miaka 35 -45 Dini Mkristo Watoto wasizid 2 km atakua nao Awe na kipato halali inamaana awe anajishughulisha Makazi popote...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaume unasemaje 'Happy birthday to me'?

    Hivi wanangu mnaanzaje kuandika maneno kama haya mkitaka watu wawa wish? Are you okay au dish limeyumba somewhere!?
  12. JamiiForums Tanzania Ukiona Familia yoyote inashida au sio strong ujue Mwanaume ndiye Mwenye matatizo. Mwanaume ndio Kafeli

    Hamjambo Wote! Mwanaume were ndiye Mfalme, ndiye Rais, ndiye Mtawala wa Familia yako. Chochote kitakachotokea kwenye Familia yako wewe ndio mtu wa Kwanza kuwa responsible, na lawama zote zipo Kwako. Mkeo kutokuwa na adabu, shida ni wewe. Mkeo kuvaa mavazi ya hovyo, shida ni wewe. Watoto...
  13. M

    JamiiForums Tanzania 50 cents ataja kuwa ndie mwanaume mchoyo sana kwa wanawake zake. Why wanaume wenye pesa wagumu kuhonga ?

    Aliyewahi Kuwa Mpenzi Wa #50Cent (Jamira) Amewashauri Wanawake Kukataa Kuwa Na Mwanaume Kama #50Cent Akidai Kuwa Mwanaume Huyo Alikuwa Mchoyo Sana. #Jamira Anasema Tangu Alipokuwa Kwenye Mahusiano Ya Miaka 2 Na #50Cent Hajawahi Kumpa Hata Shilingi 10, Na Zawadi Pekee Ambayo Aliwahi Kumpa...
  14. JamiiForums Tanzania Harusi ni ya Mwanamke, Ndoa ni ya Mwanaume

    Katika dunia ya sasa, harusi imegeuka kuwa tamasha la kuonyesha mali, hadhi na umaarufu. Watu wengi – hasa wanaume – wanajikuta wakilazimika kutumia mamilioni ili kufanikisha harusi ya kifahari, ilhali maisha ya ndoa yanayofuata yanakuwa magumu, yenye mivutano na yasiyo na furaha. Ni wakati...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume mpumbavu ni yule anaye mfukuza binti yake kisa kapata ujauzito au kumlazimisha binti yake aolewe na jamaa aliyempa ujauzito

    Bwana ni mwema wakati wote. Wewe mwanaume mpumbavu unayemfukuza nyumbani binti yako kwa sababu kapata ujauzito akiwa nyumbani nakukumbusha tu kuwa DUNIA HAINA HURUMA. Iwapo wewe mzazi umeamua kumtimua na kumbwaga aende mtaani kumbuka huko ndo ataharibikiwa zaidi na hakika machozi yake...
  16. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ajinyonga kituo cha polisi Kenya, Familia yatilia mashaka maelezo ya polisi ikidai uchunguzi ufanyike kubaini kilichojiri

    Vyombo vya habari nchni Kenya vimeripoti kwamba mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 44 amefariki akiwa chini ya ulinzi wa polisi katika Kituo cha Polisi cha Turasha kilichoko Wadi ya Githioro, Eneo Bunge la Kipipiri, Kaunti ya Nyandarua Kwa mujibu wa ripoti ya polisi, Simon Thumbi Kihanya...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa chini ya miaka 40 usiyeweza kukimbia hata 5km jitathmini sana endapo huna ulemavu au changamoto za kiafya

    Huu ni ujinga usiostahili kuchekewa. Huna ulemavu au changamoto ya kiafya isiyoruhusu wewe kufanya mazoezi ya kukimbia halafu hata kumaliza 5km kwa kukimbia huwezi. Yaani hata ile pace ndogo ya 9min/km huwezi. JITATHMINI. KIJANA WA CHINI YA MIAKA 40 usikae kivivu. Nyie mnaofanya kazi za...
  18. JamiiForums Tanzania Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

    Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man. N. B usifananishe uanaume na kua rough. Kua na ngozi laini si kosa. Kunukia sio kosa Kua na sura nzuri sio kosa.
  19. JamiiForums Tanzania Usipochukua hatua mapema ewe kijana Nilichogundua 40 years kwa mwanaume ni umri wa majuto,fedheha na kejeli

    Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke ana funguo ya sex. Mwanaume ana funguo ya ndoa

    Mwanaume ni gatekeeper wa ndoa. Wakati ukifika ndie atakaemua amuoe nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna ndoa bila maamuzi ya mwanaume. Mwanamke ni gatekeeper wa sex. Ndie anaemua afanye tendo na nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna sex bila maamuzi ya mwanamke, vinginevyo awe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…