mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Huyu ndio Mwanamke, Wanaume tusidanganyane hatuwajui Wanawake

    Mnaweza kupanga na Msichana muonane lakini ukifika muda wa kuonana yeye akaamua kupiga zake usingizi . Ukaamua kumsubiri kwenye kona ya nyumba yao na ukatamani mpaka ukagonge hodi, lakini utasemaje ? Lengo lake akupime akili tu! Loh Wanawake hawa Kijana wa Watu unarudi ghetto kulala kumsubiri...
  2. JamiiForums Tanzania Kama 'Quran' inakataa Mwanamke kuwa Kiongozi kwanini Waislamu wa nchi zingine wanaongozwa na Mwanamke?

    Je, hao Viongozi Waislamu Wanawake hawaheshimu Maandiko na wanakubali kuwa Viongozi?
  3. JamiiForums Tanzania Moja Ya Ishara Kuwa Mwanamke Wako Hana Amani Kwako.

    Mwanamke anapenda ajisikie amani kwako ili aweze kujiachia. Kama mwanamke wako siku hizi unaona; Hana hamu ya kufanya mapenzi, Uke mkavu, japo zamani alikua ukimgusa tu maji yamejaa, Au zamani alikua anaanzisha kufanya mapenzi lakini sasa mpaka uombe sana. Ujue kuna shida. Lakini kabla...
  4. JamiiForums Tanzania Nina mahusiano na mwanamke fulani, lakini kauli hii aliyoitoa mzazi wangu inanipa wasiwasi kwenda kumtambulisha

    Habari za usiku wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia. Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana...
  5. JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka mjukuu wanashangaa hawajawahi kuniona na mwanamke

    Maisha Yana Mambo mengi Sana. Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 29 nakaribia 30 soon,mtoto wa pili Kati ya watoto watano nimemaliza chuo mwaka 2019 sasa hivi nipo mtaani napiga harakati zangu Mungu anasaidia maisha yanasonga JAPO familia yetu inajiweza kipesa sitegemei hela za nyumbani...
  6. JamiiForums Tanzania Usimpojali mwanamke, atakujali

    Kutojali hiyo siyo kwamba ndio uwe mkatili kwa mwanamke. Kutojali hiyo siyo kwamba ndio usimtimizie mahitaji ya muhimu. Kutojali hiyo siyo kwamba ndio umfanye mwanamke hana thamani kwako. Hapana. Sio hivyo. Ila unakua haujali kuhusu mihemko yake tofauti tofauti kila muda. Hautojali sana kuhusu...
  7. JamiiForums Tanzania Hii Tabia siipendi, unapanda kwenye daladala mwanamke anagandisha makalio kwenye mkwaju

    Hii Hali imenipata mara kadhaa. Hizi daladala za bongo mnajaa wanaume na wanawake na wamama walivyo na maeneo laini yaani unahisi kabisa kitu laini kinakugusa. Hii hali siipendi basi tu. Mola akinijaalia kauwezo nipate kausafiri niachane hii adha. Wanamama Muda mwingine hudhan tunapenda...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kumsahau Ex Wako

    Mtu unayempenda akikuacha inauma. Hasa pale unapokumbuka jinsi ulivyompenda na mlivyokua na furaha. Usiku huwa ni mrefu sana. Ukiwa bado huamini kama ndo mmeshaachana(umeachika) na unaona huna matumaini tena ya kumpata kama yule uliyempenda sana. Unachoka zaidi pale unapofikiria kuanza upya...
  9. JamiiForums Tanzania Zingatia Sifa Kuu 3 za Mwanamke wa Kujenga naye maisha (wife material)

    Kwanza kabla ya kuangalia sifa za mwanamke, angalia sifa zako kwanza kisha ujitathmini kama unastahili kuwa mwanamke mwenye sifa hizi. Ni muhimu kumpima mwanamke uliyenaye kama anafaa kuwa nawe maishani. Sio uwe naye sababu ndio mwanamke aliyekuonesha upendo. Ndio maana wakati wa uchumba...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya Tafakuri naachana na kampeni ya kataa ndoa, nahiitaji Mwanamke wa kuoa

    Ujana una mengi na siwezi danganya mengi nimefanya. Sifa zangu Urefu Futi 5.9 Elimu: degree moja Kazi Mwalimu wa secondary (Government) Kabila Haya Sifa za Mwanamke Awe Bikra Elimu sio lazima Cha muhimu kusoma na kuandika Kiswahili Dini Muslim Sifa kuu awe bikra na smart kichwani That all...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiishi na mwanamke ndo utagundua wanawake wanatuibia

    Ukikaa Na mwanamke kama mke kwa muda hata Wa mwaka tu mkitafuta mtoto ndo utagundua wahaya wanakuibia tu kwa sababu zipo siku utamchallange mkeo tena bure halafu usikojoe mapema uta Go sana mpaka mwenyewe utaamua uchomoe bila kumwaga wazungu.ndio siku hio utajua kumbe wanawake hawaumii hata...
  12. JamiiForums Tanzania Verdiana Grace Masanja: Mwanahisabati wa kwanza Mwanamke Tanzania

    Verdiana Grace Masanja, Mwanahisabati wa Tanzania Verdiana Grace Masanja alikuwa mwanamke wa kwanza kutoka Tanzania kupokea Ph. D katika somo la hesabu. Alizaliwa Bukoba, eneo la mjini la Tanzania kwenye Ziwa Victoria karibu na Uganda. Mwanafunzi bora kama mtoto na mara nyingi alikuwa bora...
  13. JamiiForums Tanzania Usihangaike na mwanamke ambaye havutiwi nawe

    Wanaume wengi huumia kwa kutokuzingatia vitu vya msingi linapokuja suala la mahusiano. Sababu hawajui wanachokitaka, wanachokifanya, hawana uzoefu. Na kuishia kuumia, kuwachukia, na kuwalaumu wanawake kwa mambo mengi. Lakini ili kuepuka hayo, na wakati unatengeneza uzoefu kwenye suala la...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mantiki hii, Kila mwanaume amewahi kumnunua mwanamke

    Habarini wakuu nimekuwa nikifikiri deepdown kwa muda mrefu, ● Hivi mfumo wa ndoa kwa hapa Tanzania ni kama family ya kike inamuuza mtoto wa kike kwa mwanaume but wameifanyia camouflage iitwe kwa MAHALI ● Pili sidhani kama Mungu analiafiki hilo maana hata maandiko hakuna sehemu yamebariki hicho...
  15. JamiiForums Tanzania Unapomkosea mwanamke, Usimwambie Unampenda, badala yake muombe Msamaha!

    Ikiwa Leo ni siku ya wanawake duniani ningependa nichangie mawili matatu. Wanawake kama walivyo wanaume nao huwa Wana hisia za furaha na huzuni pia, kutofautiana katika ndoa ni Jambo la kawaida Sana kwasababu binadamu hatuja kamilika hivyo huwa tuna fanya makosa ima Kwa kujua au kutokujua au...
  16. JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake: Tusiende mbali, Rais Samia amefunika!

    Leo naambiwa ni siku ya mwanamke , wanaume hatumo lakini tutawashabikia. Kuna wanawake wengi wamefanya mengi ya kuigwa, lakini mimi namweka kwenye kiti mama Samia Suluhu. Toka tarehe 17 March 2021 hadi leo upepo wa nchi umebadilika kabisa: Hali ya kuogopa maisha yako kupotea kwa kusema lolote...
  17. JamiiForums Tanzania Muda mwingine Mwanamke hudanganya/ hukasirika ili kumjaribu Mwanaume, sio kwamba hapendi

    Ni muhimu kwa mwanamke kumjaribu mwanaume. Ni njia yao ya kujilinda na kujua ujasiri wa mwanaume. Mwanamke hupima ujasiri wa mwanaume mara kwa mara. Haijalishi we ni rafiki yake, mpenzi wake, baba yake au jirani tu. Sababu ndivyo alivyoumbwa. Anahitaji kujua haraka nani atafaa kuwa kiongozi...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke bora kuliko wote duniani ni Bikira Maria, ukitaka ndiyo hivyo, usipotaka ndiyo hivyo

    Lk 1:46-50 SUV Mariamu akasema, Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu; Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa; Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu. Na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kumdhibiti mwanaume asiyeeleweka

    Salaam. Kuna wakati mwanamke unaona mwanaume wako unayempenda na kumuheshimu hakupendi wala kukuthamini kama ilivyokuwa mwanzo/kabadilika. Na hali hii inawaletea stress wanawake wengi. Wapo wanawake wakiona tu kidume hakieleweki anasepa zake, which is good for peace of mind ila kama wewe ni...
  20. JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Kama Umejitahidi Kumvutia Mwanamke Wako Lakini Bado Haoneshi Kujali

    Inawezekana mmekua pamoja kwa miaka sasa. Au pengine ndo mna miezi kadhaa kwenye mapenzi. Lakini hivi karibuni anaonesha hana hamu na wewe kivile. Mapenzi yamepungua. Shauku yake ya kuwa na wewe unaona imepungua. Kadri unavyoona hisia zake zinapungua, wewe ndo unazidi kuongeza nguvu ili awe nawe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…