mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Jali hisia za Mwanamke wako na Muishi kwa furaha

    Mwanamke anataka ajisikie unamjali. Yaani unajali hisia zake za upendo kwako. Ila drama zake unaweza kupotezea. Utamuonesha kujali hisia zake kwa kutenga muda kwa ajili yenu. Mkatengeneza kumbukumbu mbali mbali kwa kwenda sehemu tofauti au kucheza pamoja na kufurahi pamoja. Na kumpa mapenzi...
  2. JamiiForums Tanzania Dini si imani, Mimi mkristo nimekubali kuoa ndoa ya kiislamu, ndoa ya kikristo inampa kiburi mwanamke na ni ngumu kusuluhisha matatizo

    Kwa kipindi kirefu nimekuwa nasita kuoa, kwa umri wangu wa miaka 28 nimeona ni wakati sasa niwe na ndoa official, Si mara ya kwanza kufikiria hili jambo, ni tangu nipo 25 nafikiria ila sheria za ndoa za kikristo zilikuwa zikinipa hofu kubwa mno hasa kwa tunayojionea kwa wahanga, Ni lazima...
  3. JamiiForums Tanzania Fanya malengo yako yawe ya kwanza sio mwanamke

    Ratiba zako, pesa zako na mawazo yako mengi yaelekee kwenye malengo. Alafu utengeneze muda kwa ajili ya mwanamke na familia pia. Na sio kinyume. Yaani ukaanza na mwanamke alafu ndo ufate malengo yako, hapana. Achana na wazo mwanamke ndo kila kitu kwako. Achana na wazo mwanamke ndo...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kunyonya lips za mwanamke aliyepaka lipshine hupelekea ugonjwa wa Homa ya Ini

    Hivi kuna ukweli ndani yake kuwa wanaume wanaonyonya lips za wanawake waliopaka lipshine, hupelekea kupatwa na Hepatisis B?
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume anamchoka mwanamke Haraka?

    Macho, pua, masikio, ulimi na Ngozi ya mwili huwa vina tabia ya kuchoshwa na kukinaishwa na kuona, kunusa, kusikia, kuonja na kugusa kitu cha aina moja tu kilekile kukiona, kukinusa, kukisikia, kukionja na kukigusa kila mara kwa muda mrefu. Mfano, mtu huwa anaishangaa na kulipenda vazi jipya...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke, Ukipata fursa usiiache kisa mwanaume uliyenaye

    Wanawake ukipata fursa yoyote kwenye maisha yako usiiache eti kisa kuogopa mwanaume au kuwaza kuwa mbali na huyo mwanaume. Wanawake jifunzeni kujiweka wa kwanza kwenye kila kitu kwani hao wanaume hujiweka wao wa kwanza kabla yenu. Ikitokea mwanaume kapata fursa labda ya kusoma au kazi mbali na...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfanya mwanamke akuheshimu na aheshimu muda wako

    Asili ya mwanamke ni kuharibu mambo. Asili ya mwanaume ni kuweka vitu pamoja/ kuvifanya viwe vya sawa/kawaida. Kwaiyo ukiona mwanamke anakufanyia vitu vya ajabu, anachafua mambo, anaharibu mambo, anavunja mipaka ujue ni kazi yako kuvifanya virudi kwenye mstari. Sababu maamuzi yao yanatokana...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke ajifungua ndani ya Boti ya Kilimanjaro V

    Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Maryam Yahya Maulid mwenye miaka 25 leo, Aprili 14 saa 7:45 mchana amejifungua mtoto wa kiume akiwa ndani ya Boti ya MV Kilimanjaro V iliyokuwa ikitokea Zanzibar kwenda Dar es Salaam. Mwanamke huyo amejifungua salama kwa msaada wa Daktari Suleiman wa...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume akamatwa akishiriki mashindano ya CHESS kama mwanamke

    Hii imetokea nchini Kenya. Dume limejifunika vazi la dini fulani ambalo kwa kawaida huvaliwa na wanawake, na likashiriki mashindano ya Chess kwa wanawake!! Kwa bahati mbaya kwake wakalishtukia!! Male chess player caught competing as woman The Kenyan man wore a hijab and signed up for the female...
  10. JamiiForums Tanzania Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

    Mimi huwa nawashangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuhangaika na mwanamke mwezio. Mwanamke anafwata bibi ee ujui ana ambiwa nini na mumeo pambana na mumeo lakini sio mchepuko.
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

    Imagine sisi wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume kama kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk, na kitandani mnatufanyia Utumwa mkubwa sana, hamtupi haki yetu sawa. Eti kisa mwanaume ni kichwa familia anatafuta kwa jasho, big NO! Hata vitabu vya dini havijataja sehemu yoyote...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuachana na aibu ukiwa ua mwanamke

    Njia pekee ya kuacha aibu ni kufanyia mazoezi. Fanya mazoezi ya kuwa jasiri utakavyo. Fanya mazoezi kwa wanawake wengi uwezavyo. Ongea chochote na wanawake wengi uwezavyo. Huna cha kupoteza wakati unafanya mazoezi. Kama utasoma haya na hufanyi mazoezi ni kazi bure. Pia baada ya muda utaachana na...
  13. JamiiForums Tanzania Chagua kati ya Mwanamke mwenye msambwanda na Mwanamke mwenye chuchu za kuchomoza

    Wasalaam JF, Yote kwa yote mimi nadatishwa na chuchu mchomozo ndio kitu chenye thamani kwangu na chenye mvuto na ni kitu unique chenye maana kwa mwanamke, nikiwa na pisi ya chuchu nzuri ziwa mchomozo nakamua mnyanduano full dose. Nawashangaa wanaopagawa na msambwanda si bora hata upagawe na...
  14. JamiiForums Tanzania Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

    Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke asiye na muda na wanaume ni mraibu wa kujichua?

    Hii imekaa vipi? Hasa kwa mwanamke asiye bikra, ambaye hana muda na wanaume, tena ambaye hajishughulishi kana kwamba kuna jambo linamkeep busy, hapana. Anayeendekeza chuki dhidi ya wanaume. Kuna ukweli ndani yake kuwa wanawake wa namna hii ni waraibu wakubwa wa punyeto?
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke huhisi utamu wa ngono muda wote wa tendo?

    Hivi kuna ukweli wowote kuwa utamu wa tendo kwa mwanamke anaupata wakati wote wa tendo tofauti na mwanaume ambaye hupata uhondo huo wakati anapokojoa?
  17. JamiiForums Tanzania Tambua sifa za mwanaume asiye na mvuto wa kimapenzi kwa mwanamke

    Wanaume wenye tabia/ aina hii hupata shida kwenye mapenzi. Wanaishia kuona wanawake ni wagumu/ hawaeleweki. Wanatumia muda mwingi kutaka kumridhisha mwanamke. Au atatumia mali kuficha udhaifu wake. Wanaamini akipata kitu fulani basi hatopata shida tena na wanawake. Anaweza pata mahusiano lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

    Hivi kibailojia suala hili limekaa vipi? Ni kweli kuwa damu za wanawake huchemka wanapokutana na tupu za wanaume hasa za kushtukiza?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Usimchukie mwanamke anayekukataa

    Kuna wanawake wanakataa kwasabb mbingu zinafahamu umri wa huyo ni mfupi. Hivyo zinampa muongozo akukatae. Ungemuoa soon ungebaki mgane. Kuna mwanamke anakukataa kwasabb mbingu zinajua wewe ni mwema, mnyenyekevu na mwaminifu wakati huyo mke ni kicheche, purukushani nguo kuchanika. Ukimuoa...
  20. JamiiForums Tanzania Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

    Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue. Kiwango cha pesa sitokitaja 😂, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…