mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake: Baada ya Watanzania Kumchagua Rais Mwanamke, 2025, Je Tumchagulie na Wabunge na Wadiwani kufikia 50/50 kisha Tufute Viti Maalum?

    Leo ni siku ya Wanawake duniani Kwanza hongera kwa wanawake wote duniani kwa kuadhimisha hii siku yao. Leo kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni swali " Baada ya Watanzania kumchagua rasmi Rais mwanamke, Uchaguzi Mkuu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Siku ya Mwanamke: Bi. Mwamtoro bint Chuma wa Mtaa wa Kariakoo

    Angalia hapo juu picha ya Bi. Mwamtoro bint Chuma mama yake Sheikh Haidar Mwinyimvua. Picha hii inamwonyesha Bi. Mwamtoro bint Chuma akipiga kura Uchaguzi Mkuu wa 1970. Bila ya shaka yoyote kura yake ilikwenda kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Haiwezi kuwa vinginevyo. Bi...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) Launched the "UPISHI SALAMA Project - Upishi Salama kwa Afya ya Mpishi"

    Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), in partnership with Equity Group Foundation (EGF) Equity Bank Tanzania and ORXY, on 6th March 2024, has launched the "UPISHI SALAMA Project" with the slogan "Upishi Salama kwa Afya ya Mpishi." at Hasnu Makame Secondary School. This initiative aims to...
  4. JamiiForums Tanzania Naendelea kujifunza kuhusu mwanamke nje ya mama

    Nje ya mama mwanamke hana upendo wowote kwa mwanaume. Nje ya mama mwanamke hana huruma kwa mwanaume. Mwanamke hamuhitaji mwanaume kwa aina yoyote ya hitaji kinyume na mwanaume mwanaume anavyo muhitaji mwanaume. Mwanamke haingii kwenye ndoa kwa ajili ya sex na sababu zake nyingine. Naendelea...
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kama Mwanaume akigombea Urais Mgombea Mwenza awe mwanamke

    Rais Ruto amesisitiza hilo leo Alhamis 7/3/2024 kuwa ataendelea kuhakikisha sheria ya 2/3 ya jinsia imetekelezwa kikamilifu katika chama chake cha United Democratic Alliance (UDA) na katika serikali ya Kenya Kwanza kwa ujumla. Katika uzinduzi wa Mkakati wa Baraza la Magavana Wanawake G7 jijini...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke anazidi utamu kadri anavozidi kuwa mweusi

    Chukua hiyo mtu wangu, Usikione kidada cheusi tii kinapita ukakidharau. Hicho ndo kimebeba asali mbichi huko chini. Ile yenyewe kabisa ya nyuki wa kienyeji.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Unadeal vipi na Mwanamke anaelalamika pesa unayompa haimtoshi kisha anakubana kwenye 18 aipate wapi wakati yupo na wewe tu, au umpe ruhusa adange?

    Halafu unakuta ni pisi ya kwenda + wife material, umemkuta yupo 22 akiwa bikra (mali adimu), hazijui jeans wala suruali, anakupenda kuzidi unavyompenda. Shida inakuja mwanzoni wala alikuwa hakuombi hela au akiomba ni kidogo tu, ila sasa anakwambia kaamua awe na wewe serios relationship so ni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Higher testosterone level kwa mwanamke

    Hello wadau, Naombeni kufaham kiwango cha hormone ya testosterone kikiwa juu Sana kwa mwanamke Kuna faida zipi Na hasara zipi
  9. X

    JamiiForums Tanzania Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

    Ni mwanamume mjinga na mpumbavu tu ndiye anayemsamehe mwanamke msaliti. Tuangazie sababu 12 kwa nini usimsamehe huyo malaya msaliti. 1. Alitongozwa, akakubali, wakapanga siku, wakakutana, akamvulia chupi chuma kikapenya. Malaya wako akakudanganya siku hiyo labda kuna mahali alienda kumbe...
  10. JamiiForums Tanzania Mara nyingi mwanamke unamuona mzuri kabla hujamtongoza, ukishamtongoza ndio unagundua lilikuwa ni wenge lako tuu

    Kwema Wakuu!. Kwa sisi wazoefu wa haya mambo. Kama unatafuta mchumba au mke ambaye utataka umuone mzuri daily basi haishauriwi umtongoze vuupuu! Utakwama! Haina tija kwako. Labda awe demu wa eat and drink then pita hivi. Demu ukimuona first day one time, unaweza ukapagawa kwa First impression...
  11. JamiiForums Tanzania Mapenzi: Muogope sana mwanamke mweupe na mwenye makalio makubwa

    Habari za Jumapili wakuu; Katika maisha mahusiano, kitu kinachoitwa mapenzi kuna wakati hulazimika kupiganiwa ili yadumu. Hii ni kutokana watu wawili wanaopendana wana makuzi na tabia tofauti. mwanzo wa mapenzi huwa mtamu sana, lakini hufika wakati wa kujuana tabia ndipo mapenzi huyumba...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi aje kuwa mke

    A life of a "really man" is incomplete without a really "woman" who has merits of being a "wife". Not every man has a merits of being husband, similarly not every woman has a merits to become a wife. Mimi natafuta mwanamke ambaye toka ndani ya moyo wake anatamani kuwa na "Mume" na sio mwanaume...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke uliyeolewa, usifanye makosa haya

    Na. John- Baptist Ngatunga ___________________________ Kwa kawaida, kila binadamu anayafanya makosa. Lakini yapo makosa mengine ambayo pamoja na ubinadamu wetu hatupaswi kuyafanya. Tunatakiwa kuwa makini sana kuyaepuka ili tusikutwe na lawama. Ndivyo ilivyo pia kwa Mwanamke aliyeolewa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa tumbo kubwa kwa mwanamke na matumizi ya vijiti au njia za uzazi wa mpango?

    Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
  15. JamiiForums Tanzania Bila kumuhudumia mwanamke unaachwa?

    Ikiwa hutokuwa mwaminifu kwa Mke wako, Kuna uwezekano mdogo atakuacha. Ikiwa utaonyesha uaminifu kwa mke wako, Lakini utashindwa kumhudumia kiuchumi, Kuna uwezekano mkubwa sana atakuacha. Wanawake wengi wanaweza kusamehe ukosefu wa uaminifu. Wanawake wachache wanaweza kuvumilia hali ya...
  16. JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

    Habarii ndugu zangu Wana jf,Ni muda Sasa nimekuwa nikifanya sex under performance yaanii chini ya dakika mbili tayarii nakuwa nimeishamaliza na hunichukua Hadi dakika 15 au zaidi kurudia round ya pili ambayo huwa ya mwisho na yenyewe pia huaga naenda haizidii dakika labda mara moja moja huwa...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi mwanamke anavyojua kutongoza

    Ee bwana eeh, ilikuwa ni mwaka jana ambapo niliamua kuhama kutoka mtaa X, kwenda mtaa X,. Nilifanikiwa kupata gheto kali, ile nimefika tu nilipokelewa na binti mrembo na yeye ni mpangaji wa hapo, basi bwana akanisaidia kupanga vitu vyangu ndani, si unaelewa sisi wanaume hatuna muda wa kudesign...
  18. JamiiForums Tanzania Adela Tillya wa Wasafi mwanamke huyu ananikosha sana

    Adela Tilly wa WASAFI Kama huko hukuu tafadhalii okoa moyo wangu unakufaaaa ganzii Njoo DM najua uko hukuu Sifa zako 1. Mcha Mungu tena unasali. KKKT kijitonyamaa. 2. Mzuri asee. 3. Unajielewaa sana. 4. Machaga Njoo PM sasa hivi twende Moshi Adellah bado nakutafutaaa Adellah Wana jamvi...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke kuomba hela ni ishara kuwa hakupendi?

    Salaam ndugu zangu kaka na akina dada, naomba kuuliza; hivi ni kweli mwanamke anayekupenda kwa dhati kutoka moyoni hawezi kukuomba hela? Akina dada hivi unaweza kumuomba pesa mpenzi wako unayempenda kutoka moyoni?
  20. JamiiForums Tanzania Usiombe ukachukiwa na mwanamke, utajuta, wanawake wanajua kuchukia

    Ikitokea mwanake akawa hakukubali na akaamua kukuchukia eeeh hatari sana. Bora ugombane na mwanaume ila sio mwanake, wanakuchukia hadi kwelikweli hawabakishi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…