mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuishi na mwanamke anayepiga makelele na kuongea maneno mengi ya siyoisha

    Ndugu zangu habari za weekend wakuu Kuna wakati mwanaume hutaki kukaa nyumbani kukwepa makelele ya mwanamke na maneno mengi yasiyo na mpango. Ila kuna kipindi mwili na akili vinachoka kudhurura vinaona bora upumzike nyumbani kwako hata kidogo kuliko kwenda bar, kijiwe au kukodi lodge ili kulala...
  2. JamiiForums Tanzania Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

    Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki. Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Assalamualaikum Wana familia ya jf. Nina ishi mbeya mjini. Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia bora 🙏
  4. JamiiForums Tanzania Mkataa kuoa ubora wa mwanamke ni Piston Zake (4S): Mwanamke wa kupindua mtazamo ni umri wa 22-25 zaidi ya hapo Piston hazifai

    Shalom, Kwenye injini ya gari ubora wa Piston ndio injini yenyewe. Maisha ni ladha, raha na utamu nao utamu ni pamoja na kuusikilizia. Sasa Mkataa kuoa kama kuna namna ya kupindua mtazamo basi oa mwanamke mwenye Piston zote 4 (4S) wa umri wa miaka 22-25 juu ya hapo wanaobaki wote ni mabibi...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, Kennedy Ngondi matatani kwa video ya kulazimisha kumpa mkono na kumkumbatia mwanamke wa kiislamu

    Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, nchini Kenya, Ken Ngondi, alionekana kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kumlazimisha mwanamke wa kiislamu kumpa mkono na kumkumbatia, katika hafla ya siku yake ya kuzaliwa. Tukio hilo limezua taharuki kutoka kwa wananchi wakitaka spika...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Adam, Farao na Samsoni maanguko yao yalitokana na kumuamini mwanamke. Mimi na wewe ni nani?

    Ni mama zetu sawa, wake zetu pia, huwa tunaenjoy sana mtupapo utelezi ila ni hatari sana hawa viumbe. Ukiachana na sisi wajamba kunani maanguko ya watu wengi maarufu, matajiri, wasanii wakubwa, wanamichezo pale waangukapo basi asilimia 90 wanawake ndio chanzo. Kuna wamba wameenda mbali zaidi...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia kaza Roho usikubali kuyumbishwa, wananchi tuna imani na Uongozi wako

    Habari za jumatatu Mh. Rais Nimesikia kuwa baadhi ya wasaidizi wako wa karibu wanawatumia baadhi ya watu kukuchafua ( kukutukana). Nilikua nataka nikushauri Rais usije ukakubali kuyumbishwa na watu hao kwasababu ukiyumba wewe kama kiongozi wetu na sisi wananchi tutapoteza mwelekeo. Kama...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Wakuu habari za muda na wakati kama huu. Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead. Niende kwenye mada moja kwa moja. mnamo tarehe sita ya mwezi wa saba mwaka jana niliamishwa kituo cha...
  9. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kama leo hii mwanamke atatwezwa utu wake, watawezaje kwenda kuchukua fomu ya uchaguzi?

    KAMA LEO HII MWANAMKE ATATWEZWA UTU WAKE, WATAWEZAJE KWENDA KUCHUKUA FOMU YA UCHAGUZI? "Serikali mwaka huu inaingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi mkuu, wapo watu mbalimbali watagombea wenye jinsia ya kike, kama leo hii watatwezwa na kudhalilishwa, nani mtoto wa kike...
  10. JamiiForums Tanzania Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

    Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka. Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
  11. JamiiForums Tanzania Wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto, kuwa makini kama umezaa na mwanamke ambaye hauishinaye

    Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa. Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke uliyezaanaye usitegemee watoto watakuja kukutambua. Nafahamu sio wababa wote ambao hawatoi huduma...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke kama huna bikra na hujaolewa wewe ni chombo cha starehe. Acha kuulizauliza eehh una mpango gani na Mimi au unataka kunichezea?

    Bahati mbaya binti mwingine ana watoto wawili baba tofauti anauliza una mpango gani na Mimi. Mwingine chuchu zimeshaanguka anakuambia sitaki unichezee. Wewe mwenyewe ndiyo umeyachezea maisha yako sisi tunafanya mwendelezo tu. Ungekataa kufanya tendo la ndoa kwa sharti mpaka uolewe kuna kijana...
  13. JamiiForums Tanzania Sasa hivi ukianzisha mahusiano na mwanamke jua amefuata kitu kwako

    Yaani mitaani tunaona hakuna stori nyingine zaidi ya maokoto. Siku hizi wanawake ndo Wana hit na ku run Ndo maana hata ukitangaza kumpenda mtu mtaani swali la kwanza utaulizwa ni UNA HELA?
  14. JamiiForums Tanzania Filamu: Mwili wa mwanamke aliyekufa kwa sumu, umepotea Mochwari

    Utafanya nini kama umefiwa, umeupeleka mwili wa mpendwa wako kuhifadhiwa alafu unapigiwa simu kwamba mwili hauonekani? Umepotea? Haujulikani ulipo? Tafuta popcorn, ambaa na kisa hiki.. Baada ya kutokea ajali, mlinzi wa hospitali akigongwa na gari mita kadhaa kutoka eneo lake la kazi, inspekta...
  15. JamiiForums Tanzania Nahisi huyu mwanamke nyota yake inaning’arisha

    Pamoja na mabadiliko ya life style kubadilika kutokana na vimbwanga vya huyu mwanamke vidogo vidogo lakin kuna kitu kipo tofauti. Tangu nimemuoa naona Kanyota kana ng’aa aisee Riziki inaonekana.Vimichongo vimeongezeka had nashangaa!! Nahisi huyu mwanamke amekuja na nyooota.. Kipindi naoa Sikua...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko juu ya siku za mwanamke nipeni elimu

    Je ni kawaida kwa mwanamke kuona siku zake(mzunguko) kwa tarehe zisizo na utulivu mara kwa mara kwa karibu tena miaka miwili. Mwanamke ambaye siku zake sio steady atapataje mimba? Mfano mwanamke kuona siku zake za mwezi tarehe 9 mwezi flani then mwezi unaofata anaona tarehe 7 au kama kaona...
  17. JamiiForums Tanzania Wimbo "Mtoto wa Geti kali" wa Inspector Haroun haukuwa kwa ajili ya mwanamke (haukumlenga mwanamke)

    Wimbo wa mtoto wa geti ulikuwa kwa ajili ya kuwapa faraja " watoto wa kiume" (elewa maana ya " mtoto" wa kiume) pamoja na wanaume makabwela wasio kuwa na akili za kiume. Wimbo huo ulikuwa una appeal zaidi na nafsi na fantasy za makundi ya watu nilio wataja hapo juu yani watoto wa...
  18. JamiiForums Tanzania Nimekuja kugundua kumbe mwanamke niliyefanya nae mapenzi jana kumbe ni muathirika wa virusi vya ukimwi( V.V.U)

    Huu upwiru utakuja kutuua jamani aisee tunapaswa kuwa na tahadhari wakati huu wa ujana wadau ama kweli ujana ni kaa la moto wakuu ukiuvhezea vibaya utakuja kujuta uzeeni kiukweli yaliyonikuta jana ni habari nyingine wakuu mniombeea Jana maeneo fulani ya Binyampola hapa Kahama nilienda zangu...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye 40s aliyefulia vs Mwanamke mwenye 40s asie na mtoto, yupi mwenye stress zaidi?

    Wanasema maisha huanza 40, muda huo kama kuna vitu havijakaa sawa unaweza kuwa desperate - Mwanamke 40s asie na mtoto - Mwanaume 40s ambae kafulia
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke wife material ukiona ametulia ujue amekupata na anasubiria kujipata ili ujipasue akili

    Sina haja ya kusema mengi sana ukweli ndio huo kama mnavousoma hapo juu, hakuna kitu kinaitwa mwanamke wife material hakunaga, ukihisi umempata ujue kabisa umepatikana. Akijipata ndio utajua kwanini Yesu yuko mbinguni ila shetani katulia kimpango wake toka enzi hapa duniani. Tuendelee n...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…