mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania MWANAMKE MWENYE FUTURE YA MAISHA YAKE HAWEZI KUMKATAA MWANAUME ANAYEHITAJI KUMUOA.

    Nimewahi sikia eti MWANAUME ANASEMA WANAWAKE WANANIKATAA 👇 Rafiki mwanamke akupendae na mwenye Future Yake hakatai mtu. Labda kama anampango wa kuchuna mali zako. But real women 🚺 hakatai mwanaume. Hasa mwanaume anayehitaji kuoa So ukiona wamwambia mwanamke Nikuoe hataki mwache
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke Masikini, Mama Pendo (Single Mother wa Watoto Wawili) wa Tageta Machinjioni anavunjiwa Banda lake Saa Hii: Tumsaidie Mamlaka kuingilia kati

    Wanabodi Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pendo akiomba msaada wa haraka,anavunjiwa kibanda chake cha kuishi eneo la Tageta Machinjioni。 Anaomba media tupaze sauti wenye mamlaka wasikie wamsaidie kumnusuru。 Please tumsaidie huyu Mtanzania mwenzetu ambaye ni masikini...
  3. JamiiForums Tanzania Helena Ceausescu mwanamke mpenda shahada aliyejiponza na kumponza mumewe

    Kwa wana JF ambao wako kwenye miaka yao 50 kwenda juu, watakuwa wanamkumbuka Helena mwanamke habithi mke wa rais wa Romania aliyeuawa pamoja naye Nicolae Causescu. Huyu mama alipenda udaktari. Alitumia madaraka ya mumewe kulazimisha vyuo vimtunuku shahada za heshima. Hakuishia hapo...
  4. JamiiForums Tanzania Kongamano la Ladies In Red

    Kama mchumba, au mke wako amekwenda kwenye kongamano la Ladies In Red wao wanasema na kudai ni Kongamano mahususi la Mahusiano linalofanyika Mbezi Garden Hotel. Mwanaume mwenzangu anza kupiga hesabu zako mapema na tafakuri kubwa ya mahusiano yako. Moja ya wazungumzaji wakuu ni Bhoke kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake Rombo waogopa kutembea peke yao bila waume zao wakihofia Nyani, ambao 'huwakonyeza'

    Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha kutembea peke yao bila waume zao wakihofia kudhuriwa na nyani hao. Wamesema nyani hao ambao hutembea makundi kwa makundi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli unaweza kumpata mwanamke wa ndoto zako kwenye klabu ya usiku? Nataka nijaribu bahati yangu leo

    Majizo anasema alikutana na Lulu kwenye klabu ya usiku. Mr. Blue anasema alikutana na mke wake yule mwarabu kwebye klabu ya usiku. Leo nataka na mimi nijaribu. Nitatembelea kwenye klabu na baa kadhaa ndani ya jiji la Dar es salaam nione huenda nikakutana na mwanamke wa ndoto zangu. Wakuu...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mungu aliagiza tukaijaze dunia. Hii habari ya kuoana imetoka wapi?

    Mungu aliagiza tukazaane tuijaze dunia, wala hakusema tuoane. Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?
  8. JamiiForums Tanzania Jamaa adata na mwanamke aliyekuwa dukani, aingia na kuanza kupiga punyeto, anaswa na CCTV akijidharirisha

    Wakuu Tukio la kushangaza kutoka Kenya limekuwa gumzo mitandaoni baada ya video ya CCTV kuonyesha mwanamume akifanya kitendo cha aibu ndani ya duka huku akimwangalia mwanamke aliyekuwa dukani hapo. Jamaa huyo alinaswa akipiga Punyeto, kitendo cha kujiridhisha waziwazi, jambo lililowafanya...
  9. JamiiForums Tanzania Anatafutwa Kijana anaeweza kumpa Mwanamke Love Bite

    Jamaani Nani ni kamanda wa kutoa love bite kwa wanawake? Kuna mtu anauliza love bite ni nini? Inapatikanaje? Unaitwa wewe mtaalamu
  10. JamiiForums Tanzania 99% ya wanawake waliokusumbua hawamfikii kwa uzuri mwanamke uliyenaye sasa hivi. Wakati mwingine unawashukuru kwa walivyokukatalia

    Kwema Wakuu! Kijana ambaye upo 17-25 hawa wanawake wanaokusumbua Muda huu na kukatalia kuwa hawakutaki. Baada ya Miaka kumi ijayo utakapopata Mkeo utagundua kuwa wanawake waliokukatalia hawakuwa wazuri kiasi hicho isipokuwa ni balehe na nyege ndio zilizokuwa zinakuendesha. Kwa Sisi kaka zenu...
  11. JamiiForums Tanzania Netumbo Nandi-Ndaitwah aweka Historia, awa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia

    Netumbo Nandi-Ndaitwah wa chama tawala cha Swapo nchini Namibia amechaguliwa kuwa Rais, na hivyo kuwa kiongozi wa kwanza mwanamke nchini humo. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC), matokeo yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi ya Namibia leo Jumanne Desemba 3, 2024 yameonyesha...
  12. JamiiForums Tanzania Video: Kwenye Tendo la ndoa unafikiri ni style Gani mwanamke wa kileo inawezesha kumridhisha?

    Wakuu ni lugha ngumu imetumika kama upo na watoto kaa mbali nao. Sina nyongeza. Tukutane kwenye comment.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hali ya mtu kuwa na hasira wakati wa hedhi

    Kwa ninavyokuelewa ni kwamba jambo hili husababishwa na maumivu makali kama ya tumbo au kichwa lakini pia maumivu ya mgongo ambayo hupelekea kupanda kwa dopamine
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume, tabia ya kung'ang'ania kukaa kwa mwanamke aliejenga itaisha lini?

    Yaani mtoto wa kiume kabisa unathubutu kumwambia mwanamke eti malizia mjengo wako tuje kuishi wote wakati hujui hata bei ya msumari wa zege? Hapana, nimekasirika sana. Wanaume acheni hizi tabia kama mnazo, mtakuja kudhalilika siku moja yakitimia. Nimechukia sana. Hatujawahi kudate, ila kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Broo Jinsi unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke wako anakuona ukiwa huna Pesa

    Broo Jinsi Unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke Wako Anakuona Ukiwa Huna Pesa...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke"

    Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke" hulka za kike ni pamoja na kulipenda jiko tena jiko likugope kihuheshimu Unajisikiaje mbaba anakuja hapo jikoni anaku... halafu anakula na badaye anakula tena na tena Mnajazana UGALATIA sana...
  17. JamiiForums Tanzania Vyakula vya kuboresha sehemu za Siri za mwanamke na kuongeza ubora WA tendo la ndoa

    Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini. Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia...
  18. JamiiForums Tanzania NAHITAJI MCHUMBA (MWANAMKE)

    Natafuta mchumba. Mwenye miaka 25-35 Mwenye umbo na haiba ya kike. Aliye tayari kuanza maisha na mimi anifikie inbox. Karibu sana
  19. JamiiForums Tanzania Wadogo zangu kabla hujaanza mahusiano na mwanamke.

    Wadogo zangu kabla hujaanza mahusiano na mwanamke, hakikisha anaweza kula kwa kipato chake mwenyewe. Hakuna kuanza uhusiano na mtu anayekuomba mtaji, umkute bize na mambo yake ndiyo umpe support. Unaweza kudhani umepata mpenzi kumbe mwenzio kapata pa kuhemea. Kila mtu anastahili kupata kilicho...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kurudi tena kwenye uhusiano, natafuta mchumba (Mwanamke)

    Mimi ni mwanaume umri miaka 33. Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo . Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu kwangu sichagui umri wala kabila. Makazi yangu yapo dar, na mpenzi wa mwisho nilimpata humuhumu ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…