mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Napendwa na kila mwanamke mpaka najuta kuzaliwa

    Habari za humu! Mimi ni kijana wa miaka 25, nimekuja kwenu niwaulize mimi kila nikimsemesha mwanamke tu basi ananitaka kimapenzi mpaka nashindwa kuelewa nini maana mpaka imekua kero wanapigana kisa. Mimi situmii pesa yeyote na nakula mbususu 5 kwa siku bila hata ya kugharmia. Naombeni ushauri...
  2. JamiiForums Tanzania Uingereza: Liz Truss achaguliwa kuwa Waziri Mkuu

    Graham Brady, Mwenyekiti wa Kamati ya 1922 ya kundi la Wabunge wa Conservative ambao si Mawaziri wa Serikali amemtangaza Truss kuwa mrithi wa Boris Johnson aliyelazimika kujiuzulu baada ya shinikizo la Mawaziri waliodai kutokuwa na imani naye. Matokeo hayo yametokana na Kura za wanachama wa...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba maoni yenu huyu mwanamke ananiumiza sana

    Ushauri Wakuu kwasasa mwaka na nusu ninamahusiano nahuyu mwanamke, kwasasa kwao baadhi wananijua, yeye anang'ang'ania tuishi wote nimuoe, ninachojiuliza hivi inawezkana kweli kwasababu amenipita miaka 9 huyu mwanamke na ndugu zake hawasemi wamekaa kimya tu. Yeye ana mika 32 kwasasa kanipita...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke, kama hakugharamii achana naye, lazima ugharamiwe!

    Anaandika, Robert Heriel Mambo ya kubembelezana hakuna hapa. Kwanza muda mchache na maisha mafupi huo muda wa kubembelezana tutautoa wapi. Kama hawezi kukugharamia piga chini. Usiwe na jicho la huruma hata siku moja. Mimi kaka yenu, naam ndiye baba yenu ninaelewa ninachokisema. Hutaki acha...
  5. JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya wanawake, Mwanamke auwawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali huko Mkoani mwanza

    Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 35 aliokotwa hapo, huku pembeni yake kukiwa na chupa yenye pombe. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo na kuthibitishwa na wenyeviti wa mitaa hiyo miwili huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa bado hakijajulikana na upelelezi wa kubaini...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mwanamke akitaka kuolewa anatolewa mahari?

    Hongera kwa kuvumilia maumivu ya tozo, pia msisahau kulipa ada kwa wale mliozaa kwenye ndoa au nje ya ndoa. Kwa nini mwanamke akitaka kuolewa kuna huu upuuzi sijui; Kupeleka barua ya posa Sijui kutoa mahari Sijui Kumvalisha pete ya uchumba Hivi ndoa haiwezi kufanyika bila huu mlolongo wa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mwanamke aliye bora kwa mumewe anatakiwa awe na sifa gani?

    Kwa majina naitwwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa Kitanzania leo ningependa kuzungumzia sifa za mwanamke alio bora kwa mumewe. Wote tunafahamu kuwa duniani kila kiumbe hai mungu amekiumba katika jinsia mbili ambayo ni jinsia ya kike na jinsia ya kiume. Ninapozungumzia mwanamke bora...
  8. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia: Mwanamke ahukumiwa miaka 45 kwa ujumbe aliouweka mtandaoni

    Mwanamke mmoja Nchini Saudi Arabia amehukumiwa kwenda gerezani miaka 45 kutokana na kuchapisha taarifa katika mitandao ya kijamii. Mahakama ya ugaidi ilimtia hatiani Nourah bint Saeed al-Qahtani kwa kukiuka utaratibu wa umma kwa kutumia mitandao ya kijamii, haijawekwa wazi ujumbe uliosababishwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume msihadaike na hadaa za nje, wengi mnatekeleza malengo ya wengine bila kujua na kutelekeza familia

    Wanaume wenye ndoa kuanzia miaka 9. Hawa wengi unakuta wanaanza kugonga miaka 40 na zaidi. Baada ya kupambana sana na kazi au biashara au kupata cheo hapa ndipo kipimo kamili cha uanaume kinakuwepo. wanawake rika mbali mbali hasa mabinti wenye tamaa watakupenda unajua kupendwa wewe...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye umri wa miaka 37 atumia kidole kimoja kujenga maisha ya furaha

    Julai Mosi 2022, katika Kijiji cha Desheng, Mkoani Shaanxi China, Bibi Zou Wenling mwenye umri wa miaka 37 aliyepoteza vidole tisa alipokuwa na umri wa mwaka mmoja anatumia kidole kimoja kudarizi, kulima na kufuga kuku akiwa na tabasamu kukabiliana na maisha magumu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake mlipswa kuwa wanaume tu, maana mna gundu hatari. Angalieni huyu mwanamke mwenye nyota yake

    Hivi ninyi wanawake ambao mnaishia kupewa nauli ya bajaji tu mlizaliwa kwa ulozi ama?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini tarehe ya Harusi ( Ndoa ) huamuliwa kwa Mwanamke ( Bibi Harusi ) kutokuwepo 'Period' Siku hiyo?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ( hii Mada ) ni Kusoma tu Mirejesho ( Comments ) za Wana JamiiForums.
  13. JamiiForums Tanzania Yupi anayeharibu mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamme na mwanamke?

    Je, yupi anayeharibu mahusiano & ndoa kati ya Mwanaume na Mwanamke?
  14. H

    JamiiForums Tanzania Usitafute pesa kwasababu ya mwanamke, iwe kwaajili maisha yako. Kilichomkuta huyu jamaa ni fundisho tosha!

    Habari wakuu Nimekuwa na msemo mkubwa sana ambao umekuwa ukitumika sana, "tafuta pesa". Hasa linapokuja masuala ya kuhonga, lakini ndugu unaweza ukajisifu unahonga ila kuna watu wanahonga sana wewe cha mtoto. Ngoja niwape kilichomkuta jamaa yangu, kilinisikitisha, nisingipenda nitaje majina...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba yupo mwanamke wa kwanza kuumbwa kabla ya Hawa?

    Hello 👋👋, habari za mida. Leo nataka niwafahamishe kitu ambacho wengi hawakujui juu ya uumbaji. Bila shaka wengi wetu tunaelewa kuwa Binadamuu wa kwanza katika uumbaji wa mwenyezi MUNGU alikua ni ADAM akafatiwa HAWA kama msaidizi wake katika bustani ya Eden. Hyo yote n kwa sababu ya maandiko...
  16. JamiiForums Tanzania Tulivyoachana aliniambia mtoto siyo wa kwangu, ameachwa tena anataka nimrudie

    TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE. Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie. "Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama...
  17. JamiiForums Tanzania Ukitaka usimkinai mwanamke, usiwe unapiga bao!

    Saikolojia ya mwanaume iko hivi... Mwanaume rijali always huwa anatamani kulala (kufanya mapenzi) na mwanamke ambaye hajawahi kulala nae kabla. Si unasikiaga wanasema eti, wanaume ni watu wa tamaa, wao kila mwanamke anamtamani tu. Hiyo ndio sababu sasa. Yani iko hivi, mwanaume akishamgonga...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo mengine kuyasema huenda ikaonekana ni aibu. Nina tabia ya kupenda Kila mwanamke Mzuri

    Kwema Wakuu! Natambua wapo wakubwa zangu humu ambao mnaweza nishauri na kuniongoza kwenye mazuri. Aisee! Nisiwe Mnafiki, sijui ni ugonjwa au ndio asili yangu, au asili ya kila Mwanaume. Nina tabia ya Kupenda kila Mwanamke Mzuri atakayepita Mbele yangu. Awali wakati Nabalehe miaka zaidi ya 10...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke alinipenda mwenyewe kitendo cha kupunzishwa kazi ananikaushia

    Nahisi pesa tu...muhogo uko vema
  20. JamiiForums Tanzania Rwanda: Mwanamke akabiliwa na kifungo cha Miaka 2 kwa kuvaa nguo za Utupu

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 ambaye alikamatwa kwa kuvaa mavazi ya "aibu" anakabiliwa na kifungo cha miaka miwili jela kwa kuvaa “uchafu hadharani” Wendesha mashtaka wameomba azuiwe rumande kwa siku 30 Liliane Mugabekazi alikamatwa Agosti 7 baada ya kuhudhuria tamasha la mwanamuziki maarufu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…