mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke mweusi tiiii aliyezishinda mahesabu kompyuta za NASA

    John Glenn alikataa kuruka hadi mwanamke mmoja alipohakiki kwa mkono hesabu za kompyuta. Jina lake lilikuwa Katherine Johnson. NASA ilikuwa tayari na mashine za kielektroniki kufikia mwaka 1962, lakini hakuna aliyekuwa akiziamini kikamilifu. Glenn alitoa maagizo ya moja kwa moja: “Mtafuteni...
  2. JamiiForums Tanzania Aisee mwanamke akisha amua ndo kwishnei hiyo

    Binafsi nilipo kuwa chuoni nilitokewa kupendwa na mrembo.. Actually she was a genuine lover. Ni ile aina ya pisi ambazo kila nyakati ya siku lazima ikujulie hali, yaani I was engulfed in her love kama kifaranga wa kuku. Ila I took her love for weakness, I played her, I thought she was dead...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke akidai mtoto ni wako yeye ndiye mwenye wajibu wa kuthibitisha na kugharamia gharama za DNA. Ikibainika ni wako, mnagawana gharama.

    MWANAMKE AKIDAI MTOTO NI WAKO YEYE NDIYE MWENYE WAJIBU WA KUTHIBITISHA NA KUGHARAMIA GHARAMA ZA DNA. IKIBAINIKA NI WAKO, MNAGAWANA GHARAMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanamke ambaye hujamuoa. Sio mkeo. Ikatokea ulilala naye na bila shaka ni kwa lengo la starehe kwa sababu ingekuwa ni...
  4. JamiiForums Tanzania Je kila mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri anafaa kuitwa mshangazi? Au wote mnaweza kuwa wazee tu...

    Yaani unakuta mtu anamiaka 42 alafu anamahusiano na mwanamke ana miaka 48 alafu anasema anamiliki mshangazi ....!!!!! Huyo si mzee mwenzie tu... Mshangazi aitwe na vijana wa miaka 18 mpaka 35... Ila kwa sisi wa miaka 40 mahusiano na wanawake waliotuzidi umri ni WAZEE WENZETU..
  5. JamiiForums Tanzania Bro, kila mwanamke anacheat, anadanganya, analaghai

    Sio kwa sababu wanawake ni watu wabaya, ila kwa sababu wanawake pia ni binadamu. Na asili ya binadamu ni survival, not honesty. Wanawake wameweza ku-survival tangu vizazi vya kale kwa kudanganya, kucheat na kulaghai ili wapate ulinzi na matunzo Mwanaume mjinga anafikiri mwanawake wake ni...
  6. JamiiForums Tanzania Inahitajika Nidhamu ya hali ya juu, Kuwa Boss wa Mwanamke mwenye nidhamu na Utii

    Wakuu! Hii ni asili, Wanaume wengi tunakosa ujanja pale tunapokutana na Wanawake wenye nidhamu na utii, hata kama wameolewa. Ni noma sana! Nimekutana na wakati mgumu kidogo, nimewaza sana! Nilipewa jukumu moja la kuwa team leader. (Sio mara yangu ya kwanza kuwa kiongozi) but this time...
  7. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa kwenye Mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri "Mshangazi"? Nini kilikusukuma, ulifaidika/ulijutia nini kuwa nae? Check story yangu

    Nikiwa mwaka wa mwisho chuo Mwaka 2018, life limenipiga sielewi na mzee ameachishwa kaz kama mwaka mzima uliopita, nilienda taasisi flani ya serikali hapo Dar kufuatilia mambo flani, huko nikahudumiwa na mwanamke na kwakuwa nilikuwa nashughulikia ishu kubwa kidogo yule mama alinipa namba yake...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke adhurika vibaya baada ya kula chips zinazosemekana kukaangwa kwa mafuta ya transfoma

    Wakuu mko poa, Kipindi cha nyuma nadhani 2016 wakati Muhongo akiwa waziri aliwahi kupiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa mapishi ya chips, wakati huo zilikua ni tetesi tu kua kuna wauza chips wasio waaminifu wanatumia mafuta ya transfoma. Sasa leo nimekutana na video ya simulizi...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo 3 Yanayoweza Kumfanya Mwanamke Ajivunie Mwanaume Aliyenaye

    Katika uhusiano, mwanamke hawezi kujivunia mwanaume kwa sababu tu ya sura yake au uwezo wake wa kifedha. Mara nyingi, fahari ya mwanamke hutokana na namna mwanaume alivyo, kile alichonacho na zaidi namna anavyomtendea mwanamke aliye naye. 1. Vile alivyo Tabia na utu wa mwanaume vina nafasi...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu, huyu mwanamke nimeamua kumtolea uvivu... au nimekosea ndugu zangu??

    Baada ya kumaliza ugomvi wa jana basi leo alipo kuja geto nikamwambia kwamba nina wazo..... Yeye: Wazo gani mpenzi..?? Mimi: Nimepata wazo la kukuoa Yeye: Kama ni hivyo basi naomba uache pombe, uache kutoka na marafiki.... Yeye: Wazo gani liningine unahisi ukiliacha utaipata furaha? Mimi...
  11. JamiiForums Tanzania Aina ya mwanamke ambaye kila mwanaume anatamani kumpata

    Je, ni kweli kwamba kila mwanaume anatamani mwanamke mwenye uzuri wa kuvutia tu, au kuna sifa nyingine zinazomfanya mwanaume amtamani mwanamke kwa ajili ya maisha ya muda mrefu? Je, mwanaume anatafuta mwanamke anayemheshimu, anayempa amani, anayejua kuwasiliana vizuri na anayebaki naye wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna mwenye uzoefu wa kutoka kimapenzi na mwanamke lecturer humu?

    Kuna single mother mmoja nimemuotea mahali ni lecturer wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.nimepiga mara moja lakini naona ameanza kuniganda,ila naona kama anajiheshimu flani hivi. Kuna mwenye uzoefu wa kutoka na hao viumbe kimapenzi humu?
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke kuomba na kutegemea pesa za mwanaume ni ishara ya umasikini au wajibu wa wanaume?

    Wanawake kuomba pesa ni kwa sababu wao ni masikini na tegemezi zaidi kwa wanaume au kwa sababu ni wajibu wa wanaume kuwapa pesa wanawake wao bila kujali utofauti wa hali zao za uchumi / ukwasi ?
  14. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo ni siri yako tu mwanamke hupaswi kumwambia mchumba wako au mume wako

    Kwenye maisha kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mtu vinabaki kuwa siri yako siyo kwa ubaya ila unapovisema vinaleta machafuko Kwako mwanamke kuna vitu ambavyo hupaswi kumwambia mme wako 1.mtu aliyekutoa ubikra chonde chonde usije kumtaja hata kama akikuuliza mwambie achana na hayo ebu njoo...
  15. JamiiForums Tanzania Uchawi anaoutumia mwanamke kukutawala(limbwata) -mshana jr legacy

    Mimi ni Mshana Jr derivative nipo hapa kukupa uchawi anaoutumia mwanamke kukumaliza. 1.Damu ya hedhi Mwanamke huchanganya kwenye chakula. Na mara tu baada ya kula utawala wa mwanaume unashuka kama CD4. Na hapa mwanaume hataona kosa lolote kwa mke wake na badala yake atagombana na ndugu na siyo...
  16. JamiiForums Tanzania Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

    Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa mafuta yanayohifadhiwa sehemu ya chini ya mwili ni tofauti kabisa na yale ya tumboni. Kulingana na wataalamu wa afya, mafuta haya ya nyonga husaidia kunasa asidi za mafuta hatari mwilini. Jambo hili husaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa hatari ya kupata ugonjwa wa...
  17. JamiiForums Tanzania Sifa kuu za Mwanamke High Class ni hizi!

    SIFA KUU ZA MWANAMKE HIGH CLASS NI HIZI! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ni kawaida kwa vijana wasiokuwa na elimu ya sosholojia na saikolojia kubabaishwa na mikogo, mbwembwe za kila mwanamke wanayemuona mitaani huko. Pia ni kawaida pia wanawake nao wenyewe kwa wenyewe kutingishana na...
  18. JamiiForums Tanzania Usemi wa "Usimuamini mwanamke kwa asilima 100" ndio aliopita nao Bilionea Christiano Ronaldo kabla ya kumuoa "Nyonga mkalia ini" wake.

    Inasemekana kuwa Cristiano Ronaldo na Georgina Rodríguez walisaini mkataba wa kabla ya ndoa mnamo Agosti 10, 2026, siku moja tu kabla ya harusi yao ya faragha nchini Ureno. Naamini tulishaletewa habari hii hapa jamvini lakini hebu kidogo tuuelezee kwa ufupi mkataba huo. Mkataba huo...
  19. JamiiForums Tanzania Watibeli tunajua Pesa inauma kuliko Mapenzi ndio maana hatumgharamikii Mwanamke

    WATIBELI TUNAJUA PESA INAUMA KULIKO MAPENZI NDIO MAANA HATUMGHARAMIKII MWANAMKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana waliowahi kuwasiliana na mimi kila mara nawaambia kwenye mahusiano, pale wanapojiweka karibu na wanawake. Kitu kikubwa wanachotakiwa kukilinda kuliko kitu chochote ni PESA...
  20. JamiiForums Tanzania Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

    Umekutana na mpenzi wako akiwa ashatumika? Imagine ni siku ya harusi yenu. Sasa nakutengnezea picha jinsi mara zote inavyokuaga Kuna maex wake, kuna aliofanya nao one night stands, kuna waliomla kimasihara. Kuna yule muhuni ambaye hana future wala hela halafu mkeo anamkubali kinoma. Siku mbili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…