Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo, amethibitisha kifo cha mwanafunzi Peter Maira, aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya sekondari Makongoro, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda.
Kamanda Lutumo amesema mwanafunzi huyo alifariki dunia wakati akipatiwa...