mwanafunzi

  1. Jaji Mfawidhi

    Gesti "Aliyofinyiwa" yule Mwanafunzi zipo nyingi , Tuzitaje?

    Mwanafunzi wa kike wa shule ya Sekondari "aliyerekidiwa "akitolewa usichana " na kijana Kelvin wa miaka 26 alikuwa "anabanjuliwa kwenye Gesti house" na Siyo nyumba ya kulala wageni. GESTI ni "nyumba rasmi zenye leseni ya kufanyia ngono muda wowote na kuna malipo ya "short time" na kulala siku...
  2. Dronephonex

    Kijana aliyemrekodi mwanafunzi wakiwa faragha anaitwa Kelvin. Polisi wamdaka na kutoa maelezo haya…

    Kijana aliyemrekodi mwanafunzi wakiwa faragha anaitwa Kelvin,polisi wamdaka nakutoa maelezo haya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetangaza kumkamata kijana aitwaye Kelvin Daniel, mwenye umri wa miaka 26, kwa tuhuma za kumrekodi mwanafunzi wakiwa faragha na kusambaza picha...
  3. Damaso

    Sakata la video ya Kelvin na mwanafunzi: Tunafuga ujinga ambao unatuumiza

    Kila takwimu za mimba za utotoni zinapotoka, mfano ule mchanganuo wa wanafunzi zaidi ya 9k waliopata mimba kati ya mwaka 2021–2022, jamii ya watanzania illipuka balaa. Watoto 9k sio wachache, huku maswali yakiwa mengi, je usalama wa watoto wa kike upoje? je wataendelea kusoma? Watasoma kwa...
  4. Traxtion

    Pwani: Mganga Rashid ahukumiwa kifungo cha miaka 60 kwa kosa la kumlawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Kipolisi Rufiji, imemhukumu Rashid Mussa Mkapunda (38), mganga wa kienyeji na mkazi wa Kitongoji cha Churwi, Kijiji cha Mlaleni, Kata ya Tambani, kifungo cha miaka 60 jela baada ya kupatikana na hatia ya kubaka na kumlawiti mwanafunzi wa kike mwenye umri...
  5. O

    Safari ya Shule Yageuka Msiba: Mwanafunzi wa Kitisuru Afariki Arusha, Familia Yataka Majibu

    Safari ya kielimu iliyopaswa kuwa ya furaha na kujifunza imegeuka kuwa majonzi baada ya mwanafunzi wa Kirawa Road School, iliyoko Kitisuru jijini Nairobi, kufariki akiwa katika ziara ya shule mjini Arusha, Tanzania. Mwanafunzi huyo, Victor Ndundu Karanja, anadaiwa kufariki Jumatano, Novemba 4...
  6. Ndagullachrles

    Aliyembaka Mwanafunzi wa Kidato cha tatu huko Moshi aenda jela miaka 30

    Kutoka Dawati la Habari ofisi ya RPC kilimanjaro Mahakama ya Wilaya ya Moshi imemhukumu Daniel Samwel Njakava, maarufu kama 'Kelvin', mwenye umri wa miaka 23 na mkazi wa Pasua, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha tatu mwenye umri wa...
  7. mdogo wenu wamwisho

    Nilianza kupambana na maisha nikiwa bado mwanafunzi

    Kuna watu ambao maisha yao huanza kuwa magumu baada ya kukua, lakini wapo ambao wanalazimika kukutana na uhalisia wa maisha wakiwa bado wadogo, wakati ambao walipaswa kuwa na jukumu moja tu: kusoma na kujenga msingi wa maisha yao ya baadaye. Mimi ni mmoja wa watu hao. Ninapoamua kuisimulia...
  8. M

    Serikali ikae chini ipitie tena Ile adhabu ya miaka 30 Mtu akitembea na Mwanafunzi

    Kutokana na matendo ya wanafunzi wa kike wanayo yafanya mitaani baadhi ya Wadau wametoa maoni huku wakisema inatakiwa serikali ikae chini ipitie tena Ile adhabu ya miaka 30 Mtu akitembea na Mwanafunzi. Mdau mmoja anasema Ile Sheria ilistahili Kwa miaka Ile ambapo wazazi walikuwa wakitimiza...
  9. L

    Daktari wa China amsaidia mwanafunzi wa Zanzibar, kupona na kurejea shuleni

    Ashfaina Omari Ali, mwenye umri wa miaka tisa na nusu, aliingia katika Shule ya Msingi Sebleni kwenye kisiwa cha Unguja, Zanzibar, akiwa anajiamini upya. Kwa Ashfaina, kurejea shuleni ilikuwa zaidi ya kuanza kwa siku nyingine ya masomo. Ilikuwa ishara kwamba maisha yalikuwa yakirejea katika...
  10. L

    Mwanafunzi wa Afrika atimiza ndoto yake ya kushinda lugha ya Kichina

    Huko Kibera, ambako ni maarufu sana kwa jina la mtaa wa mabanda jijini Nairobi, kukatika umeme ni jambo la kawaida. Miriam Achieng Kenyatta, mwenye umri wa miaka 23, huwa anasoma akitumia taa ndogo na mishumaa. Kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kulipia madarasa ya Kichina, alibadilisha nyumba yake...
  11. A

    KERO Naomba kufahamishwa iwapo HESLB wamebadili viwango vya boom kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo

    Habari, wana-JamiiForums. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayetarajia kuingia mwaka wa tatu hivi karibuni. Nimebaini kuwa HESLB imeweka kiasi cha TSh 2,310,000 kama jumla ya malipo ya MA (boom) kwa mwaka, badala ya TSh 2,400,000 kama ilivyoelezwa kwenye mkataba wangu. Aidha, kiasi...
  12. Tobito

    Ipi Ipad bora na sahihi ya mwanafunzi f3.

    Amani na iwe kwetu sote! Humu sijawai kukosa jibu wala jawabu. Mtoto: kike. Umri: 13 Level: form3(2027) uzoefu: hana. Ni ipad gani inamfaa. Masomo na apps zipi nimwekee. sifa yangu mnunuaji: mzazi msomi wa kazamani.
  13. Sister Abigail

    Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

    Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi. Wengine wengi wamefungwa. Ndio kubet ama vipi? Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao wiki nzima nyumbani haonekani wala shuleni haonekani. Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo. Wakajua kapotea kumbe kafungiwa...
  14. Traxtion

    Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni akalishwa chini licha ya kulipa nauli kamili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, kupitia operesheni za ukaguzi wa vyombo vya moto, limeendelea kuchukua hatua kuhakikisha usalama wa abiria na watumiaji wengine wa barabara unazingatiwa. Katika operesheni hiyo, Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi...
  15. min -me

    Mwanafunzi leo nimehitimu

    😊🍻
  16. A

    KERO Wanafunzi wanaojiunga A-level Sekondari ya Samora Machel, Mbeya wanatakiwa kwenda na matofali 300 - 500 ya fensi

    Wanafunzi waliopangiwa kujiunga na kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Samora Machel, Mbeya, wanatakiwa kuchangia matofali 300 kwa wale waliochaguliwa moja kwa moja na matofali 500 kwa wanafunzi wanaohamia kutoka shule nyingine, kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule. Sasa, kama elimu ni...
  17. Lupweko

    Nurdin aenda jela miaka 30 kwa kosa la ubakaji wa mwanafunzi

    Mahakama ya Mkoa wa Lindi imemhukumu Nurdin Mwanga, mkazi wa Mnolela, kwenda jela miaka 30 baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi wa Sekondari mwenye umri wa miaka 16. Hukumu hiyo imetolewa Oktoba 08, 2026, katika Kesi Na. 19961 ya mwaka 2026, na Hakimu Mkazi Deliphine Kimati...
  18. A

    DOKEZO Shinyanga: Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kituli alibakwa na tukio kufichwa

    Katika Shule ya Msingi Kituli, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza (KE) alifanyiwa ukatili wa kubakwa, lakini Mwalimu Mkuu alificha suala hilo kwa kuhofia kupoteza nafasi yake ya ukuu wa shule, kwa kuwa matukio kama haya ya ulawiti yamekuwa yakitokea miongoni mwa...
  19. Parabolic

    Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

    Diana Sajilo. Siku chache kabla ya kifo chake, Diana Edward Sajilo alikuwa na mambo mawili yaliyokuwa yakimkabili kwa wakati mmoja; kwanza maandalizi ya mitihani na kutafuta fedha za ada ili aweze kuendelea na masomo yake. Mwanafunzi huyo wa Chuo Kikuu cha Kampala International University in...
  20. T

    Kwa mwanafunzi, hivi ni lazima uipende taaluma yako?

    Nikiwaza hili ni jambo nitakalokuwa nafanya kila siku asubuhi hadi jioni kipindi chote cha maisha yangu kama chanzo changu cha kipato na utambulisho wangu , inachosha!, uhuru kidogo, naona kama niko boxed kwenye maisha. Inanilazimu kutafuta namna ya kuipenda hii taaluma ili niwe na moyo wa...
Back
Top Bottom