mwanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Mpaka sasa ni Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa ndio pekee mwenye furaha zaidi, licha ya kuificha furaha hiyo isionekane hadharani kwa umma.

    But kiukweli muungwana ana furaha kupindukia, kwasababu, licha ya tuhuma za ufisadi kukaribia kumbandua kwenye nafasi yake, ila kwasasa anakwenda kupata fursa mpya ya kua Mwenyekiti wa Chadema taifa kirahisi sana mara baada ya mwenyekiti wa awali kuhukumiwa na kufungwa jela miaka kwa mi4 net...
  2. masai dada

    Jeff (Ontario), mwanachama hai wa JF kapatwa na nini?

    nipo twita huko naona watu wanamlilia ki ukweli niliacha kumfatilia zamani sana ila kila mtu anaongea lake kapotea au kapatwa na nini "role model"
  3. bless on

    Vifahamu viapo vya freemasons kama unataka kuwa mwanachama wao.

    Siku unapoona mwanamume aliyevaa suti ya bei mbaya akipiga magoti gizani, akiwa amefungwa kitambaa machoni na kamba ya kitanzi shingoni, unagundua kuwa Freemasonry si klabu ya kawaida ya matajiri wanaokunywa kahawa na kujadili fursa za biashara. Ukweli mchungu unaowashtua wengi upo kwenye...
  4. S

    Polisi semeni ni Wapi mmepeleka Jose Mbeya Mwanachama wa CHADEMA?

    Kwa masikitiko na wasiwasi mkubwa, tumepokea taarifa kuwa Mr. Jose Mbeya, ambaye ni mwanachama wa CHADEMA, amechukuliwa leo alfajiri na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa Polisi. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na ndugu zake, watu hao walieleza kuwa wanampeleka katika Kituo cha Polisi...
  5. M

    Mahakama: CAG hawezi kuondolewa Madarakani kwa Utashi wa Kisiasa au Ukomo wa Muda wa Bunge

    Mahakama ya Rufani ya Tanzania imetoa uamuzi wa kihistoria unaoweka msingi imara wa ulinzi wa taasisi huru za kikatiba nchini, ikisisitiza kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ana ulinzi kamili wa ajira yake na hawezi kuondolewa madarakani kwa kutumia sheria za kawaida za...
  6. G

    Mtu aliyetangaza kustaafu siasa si anakuwa si mwanachama cha siasa tena?

    Chama cha siasa kinafanya vikao kumvua uanachama mwanachama aliyeishangaza kuachana na siasa! Usicheze na mtu anayekuzi akili. Jamaa kuwapiga tobo
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo makuu matano ukiwa JF member kwa mwaka. Utajikuta mwanachama mbobevu

    Habari za ijumaa! Leo sina mambo mengi. Ukishakuwa mperuzi wa JF mara kwa mara. Kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukamezeshwa Doctrines humu ndani. Kuna uwezekano mkubwa ukawa moja ya mwanachama bobevu wa; a) Kataa CCM. Yaani Anti-CCM Humu ndani hasa ukiingia jukwaa la Siasa. Aiseeh! Hata uwe shabiki...
  8. Z

    Kuporomoka kwa ndugu Nchimbi kutoka cheo cha uMakamu hadi kutokuwa mwanachama kuna mafunzo mengi ya kujifunza

    Poromoro la kisiasa la ndugu nchimbi kutoka umakamu hadi kuwa raia wa kawaida asiye na chama kuna mambo mengi ya kujifunza kwa viongozi waliobaki: 1. Cheo ni dhamana au ni sawa na koti la kuazima hivyo tusiinue mabega juu. 2. Hakuna mkubwa kuliko chama. 2. Tuwe na nidhamu na maadili kwa...
  9. Chakaza

    VP Mstaafu Ambaye Sio Mwanachama wa CCM, Serikali na Raia Tuendelee Kumpa Stahili na Heshima zake Bila Ubaguzi

    Ndio, bwana Emanuel Nchimbi ameondoka madarakani kwa kujiuzulu na Katiba inampa haki ya kufanya hivyo na kustahili heshima, mafao na stahili zote kama VP mstaafu. Hayo ya kufukuzana CCM mtajua wenyewe na chama chenu. Nchimbi alikuwa makamu wa Rais hivyo ni mtumishi serikali lakini kwa jinsi...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hata kama Tanzania ikijitoa kwenye Mahakama ya ICC leo, Mahakama hiyo ina mamlaka ya kuchunguza makosa yaliyofanywa wakati nchi ikiwa mwanachama

    Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya hivyo, gazeti la Le Monde liliripoti Jumanne. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio...
  11. under500

    Mwanachama Mpya JF: Naomba Mnikaribishe

    Habari za j2 wakuu Mm ni mwana chama mpya hapa JF ndo najiunga leo kwa mara ya kwanza japo kuwa nilianza kufatilia JF toka mwaka 2024 ila ilishindikana kujiunga coz nilikua natumia simu ndogo Naombeni mnipokee wakuu nawakubali sana Wana JF
  12. R

    Heche: Halima Mdee si Mwanachama. Akitaka kuwa Mwanachama utaratibu anaujua

    Kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche alipoulizwa kuhusu status ya Halima Mdee ndani ya CHADEMA. "Sio mwanachama. Na hawezi kuwa mwanachama bila kufuata utaratibu ambao upo kikatiba, yeye anaujua. Akitaka kuwa mwanachama anajua hatua za...
  13. MRWINNER

    Mimi ni mwanachama mpya, naomba mnipokee

    Habari wana JamiiForums, mimi ni mwananchama mpya naomba mnipokee
  14. R

    Chawa na Mwanachama wa CCM anamhoji Katibu Mkuu wa CCM. Unadhani atampiga brain teasing questions to solicit the truth. Wanatufanya wajinga eh!

    Ridiculous! Salim Kikeke ni mwanachama wa CCM kindakinda na Chawa mkubwa wa Samia. Leo anamhoji Chawa namba 2 wa Samia Rose Migiro. Kuna swali la maana litatoka hapo? Most likely wamekaa kwanza wakapanga maswali na majibu yake ndiyo anakuja public kitulisha takataka!
  15. G

    Msigwa hapaswi kupewa heshima ya kurudi CHADEMA. Anapaswa kupewa Uanachama wa kawaida chini ya Uangalizi Maalum

    Msigwa angeshinda ubunge au kupata cheo kupitia CCM asingehamia Leo chadema. Tunatamani kuona chadema yenye msimamo inayoheshimika na kuaminika kwa wananchi sio usanii. Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja sio usanii na maigizo ya kipuuzi. Chadema Ina mamilion ya wanachama wenye uwezo...
  16. Roving Journalist

    ZSSF: Mwanachama wa ZSSF aliyechangia chini ya miezi 18 anastahili kupata mafao

    Upande wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) umeeleza kuwa mafao yanayotolewa na mfuko huo kwa sasa ni yake ambayo yalifanyiwa maboresho ya Kisheria mwezi Oktoba 2022. Ambapo fao la kutokuwa na ajira wanufaika wanapatiwa hata kama wamefanya kazi chini ya miezi 18 na kwamba Sheria hiyo...
  17. Amba Samedi

    Mbinu 6 Sifuatazo Zitakukinga na Uzoroto Wa Ubongo katika Kizazi cha AI

    Habari wanaJF, Natumaini mko salama. Nina siku nyingi sijaja humu. Ila leo nimepata nafasi tena. Moto usizime. Mbele daima! Leo tutazungumza kuhusu jinsi ya kutumia AI bila AI kukutumia wewe. AI itawasababisha wengi kuwa na uozo wa akili. Tafiti zinasema kuwa GenZ wa sasa watakuwa the most...
  18. Waufukweni

    PostGE2025 Askofu Gwajima atoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29 na kupona baada ya oparesheni nne

    Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne. Askofu Gwajima pamoja na muumini huyo pia wanaeleza alipigwa risasi lakini hakuwa kwenye maandamano bali alikuwa...
  19. Troll JF

    Polisi Wamkamata Mwanachama wa CHADEMA kwa kosa la kuiba michango ya Tundu Lissu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Fredrick Mbwambo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za wizi wa fedha za michango zilizokuwa zikikusanywa kwa ajili ya Mwenyekiti wa chama hicho aliyeko gerezani kwa tuhuma za uhaini, Tundu Lissu. Kwa mujibu wa...
  20. Troll JF

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kibosho akutwa amefariki, Chanzo chatajwa kuwa ni Pombe

    Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake. Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya...
Back
Top Bottom