mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Agenda 5 za Mbowe kwa mwaka 2023

    Hatutapoa 2023, hivi ndivyo unaweza kuelezea msimamo wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia kwa Mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe kutangaza mambo matano ambayo kitayadai mwaka 2023. Akizungumza na wanahabari baada idaba ya shukrani ya kuhamia katika nyumba yake mpya jana...
  2. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Mwisho wa wiki, Mwisho wa mwaka 2022

    Kabla sijalala usiku huu nimeingiwa na tafakari nzito. Leo tayari ni 31st Dec 2022, siku ya mwisho wa mwaka 2022. Namshukuru Mungu kwa kunipa ingalau kuiona hii siku. Rafiki yangu, tena wa cheo cha juu, alifariki SIKU YA KRISMASI! Na tumempumzisha jana. Mimi nimempa nini Mungu? Ni rehema...
  3. JamiiForums Tanzania Niliona kuminywa kwa Uhuru wa Maoni mwaka 2022

    Ndugai alikuwa Spika wa kwanza kujiuzulu kama sijakosea, na alijiuzulu baada ya kuongea kitu kuhusu nchi kuuzwa kwa sababu ya madeni, nilipata wasiwasi kwamba kama upo chama kimoja na Rais basi huruhusiwi kuwa na maoni tofauti,niliona kuminywa kwa Uhuru wa maoni.
  4. JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi barani Afrika zenye Huduma ya Elimu bora kwa mwaka 2022. Tanzania ni ya ngapi?

    1. Seychelles πŸ‡ΈπŸ‡¨ (51st) 2. Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ (73rd) 3. Mauritius πŸ‡²πŸ‡Ί (78th) 4. Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬ (84th) 5. Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ (90th) 6. Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³ (104th) 7. Eswatini πŸ‡ΈπŸ‡Ώ (105th) 8. Ghana πŸ‡¬πŸ‡­ (106th) 9. Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ (113th) 10. South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ (114th) 11. Cape Verde πŸ‡¨πŸ‡» (118th) 12. Sao Tome and Principe πŸ‡ΈπŸ‡Ή (119th)...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tree of Life Foundation kupanda miti milioni moja mwaka 2023

    Pamoja tunaweza. Taasisi ya Tree of Life Foundation iko mbioni kupanda miti ya matunda, kivuli na ya mbao kwenye mwaka mpya wa 2023. Upandaji huo utaambatana na utoaji wa elimu ya mazingira kwa wananchi walio mijini na vijijini. Karibu tushirikishane pamoja katika kuyatunza mazingira ya nchi yetu.
  6. JamiiForums Tanzania Pele na Santos wageni wa Yanga mwaka 1976

  7. JamiiForums Tanzania Nostradamus alitabiri mwaka 2023 kutakuwa na Vita Kuu ya III

    Nostradamus predictions 2023 Huyu jamaa anaitwa Nostradamus alizaliwa mwaka 1503. Kati ya mambo alyowahi kutabirina yaka tokea Kujitokeza kwa Adolf Hitler, Vita Kuu ya II, World trade Centre na September 11 ya wale jamaa wa siasa kali Alitabiri kujitokeza kwa CORONA, coronavirus pandemic...
  8. JamiiForums Tanzania Nikiambiwa nitaje Upuuzi wa Kufungia Mwaka 2022 haya Makubwa Mawili lazima yataongoza tu

    UPUUZI #1. " Kama Viongozi wa Yanga wakibaini Azam FC ndio wanamdanganya Feisal Salum aende kwao basi tunawaomba Viongozi wetu wavunje ule mkataba wetu na Azam halafu na sisi mashabiki wa Yanga hatutanunua bidhaa zozote za Azam " - Wazee wa Yanga na Viongozi wa matawi Yanga. UPUUZI #2...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameshinda, watanzania tumeshinda, Taifa limeshinda na tunamaliza mwaka kwa ushindi

    Ndugu Zangu, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa kwa hakika Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan Ameshinda katika mapambano ya kulijenga Taifa letu na kuwaongoza watanzania katika ujenzi wa Taifa letu kwa mikono yetu wenyewe na Taifa letu limeshinda kwa kubaki likiwa Imara na Tulivu. Rais Samia...
  10. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 ulivyowanyima Usingizi Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Achana na watendaji wa Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Eklimu ya Juu (HESLB), kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, mwaka 2022 unaweza kuwa mwaka uliokuwa na hekaheka nyingi zilizowatoa jasho watendaji wa bodi hiyo. Moja ya mambo ambayo yaliwapa wakati mgumu watendaji...
  11. JamiiForums Tanzania Kidato cha kwanza mwaka 2023 kuanza na upungufu wa madarasa 4,341

    Takriban wanafunzi milioni moja wanatarajia kujiunga kidato cha kwanza kwenye shule za Serikali mwakani huku changamoto ikiwa ni upungufu wa vyumba vya madarasa. Takwimu za Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Baraza ka Mitihani Tanzania (Necta) zinaonyesha shule...
  12. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025, Upinzani utajinyakulia viti vya kutosha Bungeni kama ilivyokuwa 2015, Endapo tu Samia atalazimisha Kusimama !!!

    Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili. Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao...
  13. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu mabadiliko yaliyofanywa kwenye WhatsApp mwaka 2022

    Haya ni baadhi ya mabadiliko ambayo yamewekwa katika App ya WhatsApp kwa mwaka 2022. Ni features zipi ambazo umezipenda zaidi?
  14. JamiiForums Tanzania Weka playlist yako ya top 10 l, nyimbo zako bora zilizofanya poa huu mwaka!

    1- taylor swift anti hero 2- mbosso huyu hapa 3- SZA nobody gets me 4- kizz daniel cough 5- Drake ft 21savage Rich flex 6- The weekend die for you 7- rema ft sele gomez calm down 8- the kid laroy ft Justin stay 9- c-kay love nwantiti 10- Ruger Dior
  15. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasanii Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya mwaka 2022

    1. Harmonize 2. Alikiba 3. Marioo 4. Mboso 5. Diamond 6. Nandy 7. Ney wa Mitego 8. Maarifa 9. Rayvanny 10. Zuchu
  16. JamiiForums Tanzania Ni mwaka gani ulikuja Dar es Salaam?

    Wakati huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka umenifanya nikumbuke nilivyokuja Dar kwa mara ya kwanza ilikuwa 2016.
  17. JamiiForums Tanzania Jina la Magufuli limetajwa sana mwaka 2022

    Hayati Rais John Pombe Magufuli ndiye mtu aliyetajwa sana katika mwaka huu 2022,penye hoja na pasipokuwa na hoja,ndiye Rais pekee ambaye atazidi kuendelea kutajwa mara nyingi kwenye awamu hii na awamu zijazo na hata kwenye uchaguzi ujao,alikuwa ni mmoja wa viongozi wachache sana wazalendo wa...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni masharti ili muolewe

    Habari za boxing day wana JF. Mwaka ndio huo unaelekea kupinduka na inshallah Mwenyenzi Mungu atujaalie wote neema tuvuke salama salimini! Vp kwa wale dada zetu ambao bado wanaendelea kukataa wanaume na kusubiri Mr. Right guy, mwaka unaisha bado upo single unazidi kuzeekea nyumbani na...
  19. JamiiForums Tanzania Nasikia Washindi wa Mwaka wa Majukwaa JamiiForums 2022 watapata hizi Zawadi zifuatazo

    1. Gari Mercedes Benz new Model 2. Simu Kali kama anayoitumia Rais wa Marekani Biden 3. Kiwanja atakakochagua Yeye 4. Kwenda Kupumzika na Wanyama Serengeti National Park 5. Ofa ya kwenda kufanya Shopping Dubai ( UAE ) 6. Watatunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo...
  20. JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2022 na wengine tuvisome?

    Habarini. Mwaka umeisha na ni wakati wa kujitathmini usomaji wetu na kuhabarishana juu ya vitabu tulivyosoma. Hii ni njia nzuri ya kujua vitabu vizuri vya kusoma. Binafsi nimesoma vitabu vifuatavyo, wewe umesoma vitabu gani? 1. The storm before the storm: Kitabu kizuri sana hiki, kinazungumzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…