mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

    Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu. Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanaufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii. Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live...
  2. JamiiForums Tanzania Wanasiasa kutoka CHADEMA wanaoweza kuwa tishio kwa CCM mwaka 2025

    Leo nimeona nitoa maoni yangu kuhusu hali ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Ingawa upinzani (CHADEMA) kunachechemea lakini bado kuna wanasiasa wa upinzani wana nguvu kisiasa na wanaweza kuwa tishio kwenye uchaguzi dhidi ya Chama Tawala CCM. Binafsi naona wafuatao kutoka CHADEMA bado...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akichangia Hotuba ya Bajeti Mwaka wa Fedha 2023/2024

    "Naipongeza Wizara ya Fedha na Mipango, Waziri wa Fedha na Mipango na Timu nzima ya Wizara ya Fedha na Mipango, Kamati ya Bajeti, NBS na CAG kwa namna ambavyo wametuletea taarifa muhimu kutuwezesha kujadili hotuba ya bajeti ya mwaka 2023-2024" - Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa...
  4. JamiiForums Tanzania Nani alilipia gharama za Dkt. Slaa na Lipumba kuponda maraha Kigali mara baada ya kuisaliti UKAWA mwaka 2015?

    Mwaka 2015, uchaguzi wa Tanzania ulikuwa na Rwanda factor. Dk. Slaa na Lipumba, mara baada ya kuisaliti UKAWA, walipelekwa kwa ndege ya kukodi mpaka Kigali, wakawekwa kwenye hoteli ya kifahari sana na ulinzi mkali wakipewa Kila wanachotaka. Walikula maisha sana, baadae, Kila mmoja akapewa...
  5. JamiiForums Tanzania Mwaka 2015 inadaiwa Kikwete alisaini mkataba kama wa DP World usio na exit clause na Symbioni ya Marekani, tumeishia kuwalipa Bilioni 350 ya fidia

    Naomba tukumbushane, mwaka 2015 Kikwete alisaini mkataba wa kichief mangungo kama huu wa DP World na kampuni Symbioni ya Marekani, mkataba ambao haukua na exit clause, mkataba uliowapa Symbion haki zote na upendeleo wote walioutaka. Mwaka 2016 Magufuli alipoona mkataba kati ya serikali na...
  6. JamiiForums Tanzania Nyumba ya Wazanaki yanogesha maonesho ya 77 ya mwaka 2023

    Na. Sixmund J. Begashe Nyumba ya asili ya kabila la Wazanaki iliyojengwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Taasisi yake ya Makumbusho ya Taifa, imekuwa kivutio kikubwa kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam Maarufu kama Saba Saba. Makundi Makubwa ya wanaofika katika...
  7. JamiiForums Tanzania Huku waliokufa kwa Uzembe Wao wakiwa hata bado hawajazikwa, Kampuni yatangaza tena Safari kwa wanaotaka Kufa kule kule kwa mwaka 2024

    Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic. Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri: Uombaji wa kozi vyuo vikuu Tanzania 2023/2024

    Habari wapendwa, Naomba ushauri nina kijana wangu alimaliza A level mwaka jana ila ilishindikana kwenda chuo kutokana na sababu mbalimbali.Alipata division 1.6 PCB na alipata B flat. Naomba ushauri kijana akasomee kozi gan yenye potential kwa sasa pale muhimbili?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wakati ni maelfu ya wanafunzi hudahiliwa kila mwaka hapo Law School, ni mawakili 195 tu watakaosajiliwa rasmi. Nyomi huishia wapi?

    Hafla hiyo itafanyika katika ukumbi wa Karimjee tarehe 6/7/2023. Hii ni kwa mujibu wa tangazo la tume ya mahakama. https://www.judiciary.go.tz/web/index.php?r=announcements/pdf&id=204 Ila kwa kuwa Law school hudahili zaidi ya elfu moja kwa mwaka katika intakes zake zote mbili, ina maana wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

    Miaka zaidi ya 25 iliyopita ISSA Shivji alikuwa miongoni mwa watu waliiongoza mijadala ya kupinga ubinafsishaji uliokuwa inafanywa na serikali ya Mkapa...aliendika Makala nyingi Sana na midahalo mingi Sana alishiriki...Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu na wengine Wengi....cha ajabu kabisa juzi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Barara ya Mbezi - Msumi kila mwaka kujengwa Km 1 - Meneja TANROAD

    Nimeangalia maelezo ya Meneja wa TANROAD mkoa -DSM ndugu Haruon Senkuku alipohojiwa na muandishi wa habari kuhusu malalamiko ya wakazi wa maeneo ya Mbezi-Msumi wanaolalamia TANROAD kutokuijenga barabara na wakihoji kuhusu mkandarasi anayejenga kakipande kasikofika hata km 1 ambapo anaifanya...
  12. JamiiForums Tanzania Kafanikiwa kuacha Pombe,Bange,Sigara toka mwaka 1999

    Ni ndugu yangu. Nilihangaika nae mpaka watu wakanishangaa,lakini haya niliyafanya ili wazee{wazazi}wasilemewe na mzigo. Dogo huyu kwa sasa ni mtu mzima mwenye maisha yake ,alianza kidogo kidogo kunywa mbege wakati wa krismasi huko Moshi,akiwa darasa la tatu. kabla ya kumaliza darasa la saba...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri kabla sijanunua Hilux surf ya mwaka 1994 yenye engine ya 1KZ-TE

    Habari wataalamu, Ninatafuta gari kutoka Japan ambayo ni ngumu ya miaka ya 90s, inavumilia shida na inavumilia safari ndefu za mara kwa mara, na inayotumia engine ya diesel. Baada ya kufanya research kwa muda mrefu na kufanya cost benefits analysis kwa muda mrefu niligundua Hilux surf ya mwaka...
  14. JamiiForums Tanzania DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

    Kuanzia Julai mosi mzigo wa vifurushi vya DStv kwa upande wa Tanzania ndio huu, maoni yako ni yapi?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha DP WORLD: Tozo na Kodi mbalimbali kufutwa au kupunguzwa mwaka wa fedha 2023/2024. Tutarajie mazuri zaidi miaka ijayo ya fedha

    Kwenye mapendekezo ya bajeti Kwa mwaka wa fedha 2023/2024 baadhi ya tozo kama ile tozo ya kwenye miamala ambayo ni kilio Cha wanyonge wengi na Ile Kodi ya 'store' iliyopelekea mgomo Kariakoo zitaondolewa kabisa. Ukiachana na hizo Kodi, tozo na ushuru mbalimbali wa bidhaa zitapungua kabisa...
  16. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alimrusha mtu mwaka 2017/2018: Anamtafuta amwombe msamaha na kumlipa akikubali

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Rafiki yangu alitumiwa pesa kimakosa kwenye no. yake ya mpesa inayoishia na 8650. Baada ya kutumiwa hiyo hela huyo rafiki yangu aliitoa yote. Alipigiwa na aliyekosea mwamala akamrudishia elf 50 Kwa ahadi ya kulipa kilichobaki ila aliposhindwa aliacha...
  17. JamiiForums Tanzania KWELI Tanzania yasaini mikataba minne ya makubaliano na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja

    Tanzania yasaini mikataba minne na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja. 1. Kuendeleza uwanja wa ndege wa KIA 2. Ushirikiano na Posta Tanzania 3. Kuendeleza misitu yote nchini na TFS 4. DP World na TPA
  18. JamiiForums Tanzania Tuletewe mikataba 15 aliyotia saini Rais Samia mwaka jana nchini China tuijue ina nini ndani yake

    Wakati mjadala mkubwa ukiwa kwenye mojawapo ya mikataba ya ushirikiano kati ya Tanzania na nchi ya Falme za Kiarabu ya DP World tukumbeke pia mwaka jana Novemba Rais Samia alitembelea China na kusaini mikataba 15 ya ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na China. Ni vyema mikataba hiyo 15...
  19. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2023-2024

    MHDANIEL SILLO - TAARIFA YA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MWAKA WA FEDHA 2023-2024 Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge Mhe. Daniel Barani Sillo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini akiwasilisha taarifa ya bajeti kuhusu hali ya Uchumi kwa mwaka 2022; Mpango wa maendeleo ya Taifa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali Kupeleka Magari Mawili ya Wagonjwa Kila Wilaya Nchini Ifikapo Agosti Mwaka huu 2023

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, itapeleka magari mawili ya wagonjwa na moja la kusaidia shughuli za usimamizi wa masuala ya afya katika wilaya nchini ifikapo Agosti mwaka huu. Akizungumza na mamia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…