mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mwaka Jana nilikuwa na mpango wa kutoa kitabu cha Facebook Ads Manager, lakini sikufanikiwa kwa sababu hii

    Kwenye laptop niliyokuwa ninatumia kukiandaa, nilikuwa nimetengeneza Folder maalumu kwa ajili ya kazi hiyo. Ndani yake nilijaza screenshot ya hatua zote (muhimu) ambazo mtu yeyote (beginner) anaweza akazifuata na kuishia kutengeneza matangazo ya Sponsored ads yenye matokeo mazuri. Ila kila...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi ya kuchoma yaniingizia tsh milion 24 kwa mwaka

    Mwalimu WA Hesabu nimerudi Mahesabu ya kupata milion 24 haya hapa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Napendekeza mwaka 2025 Waziri Mkuu apeperusha bendera ya CCM kuwania kiti cha urais

    Nimekuwa nikifuatilia hotuba, maamuzi, ushauri, ufuatiliaji wa shughuli za Serikali na kufanya kazi kama timu moja napendekeza Mhe. Waziri Mkuu apeperushe bendera ya CCM mwaka 2025 kwa nafasi ya mgombea wa CCM kama Rais.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini chuo cha MUST Mbeya kinawafanya wanafunzi warudie mwaka wa masomo kwa sababu mifumo inasumbua. Hasa wa Diploma

    Nimeona niulize huku labda naweza pata msaada wa mawazo tofauti kwa watu wanaopitia hii changamoto. Nna ndugu yangu amesotea Diploma pale MUST Mbeya kwa miaka mitano badala ya mitatu na mpaka sasa hivi bado hajatoboa, na tatizo sio kufeli. Ni mifumo yao. Wanaambiwa mfumo umebadilika so mwalimu...
  5. T

    JamiiForums Tanzania 2/10/2023: siku 90 zimebaki, mwaka 2023 kumalizika. Nini umeshindwa kukitimiza na ulikipanga ?

    Habari wakuu. Katika maisha kuna malengo na matamanio ambayo mwanadamu huyaweka ili kuyatimiza ndani ya kipindi flani lakini maisha yana mambo mengi waswahili husema mipango sio matumizi, unaweza kupanga vingi na ukashindwa kuvitimiza. Wengine hupanga mipango kuhusu mahusiano wengine ujenzii...
  6. JamiiForums Tanzania Tarehe 30 mwezi wa 9 kila mwaka ni siku ya utafsiri duniani. Hivi hapa ni vitabu kumi vilivyotafsiriwa zaidi duniani na nchi kumi zinazotafsiri zaidi

    Siku hii ilianzishwa kumuenzi St. Jerome. Huyu alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kutafsiri biblia. Tarehe 30/9 ni siku yake ya kufa. Utafsiri umechangia sana katika kusambaza maarifa duniani. Hata vitabu maarufu na vilivyopendwa na wengi Tanzania kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Abunuwasi, Mashimo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna kanisa hujiungi hadi usome mwaka mzima na ufaulu mitihani

    Hili kanisa lenye makabila 12 ya Israel Wapya wa Kiroho, Kanisa la Mlima Sayuni ni kanisa pekee duniani ambalo hujungi mpaka usome mwaka mzima na kufaulu mitihani mitatu kwa ufaulu wa zaidi ya alama 95%. Maelfu wakifanya mtihani
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukomo wa mara ngapi mtu ana fall in love kwa mwaka

    How many times would a man fall in love in his life time?
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Milioni 50 kwa Mwaka

    Habari za Wakati huu; Uzi huu ni Maalum kwa ajili ya kujadili Namna ambavyo unaweza kutengeneza Milioni 50 kwa Mwaka kulingana na mahali ulipo,Ujuzi na uzoefu wako pamoja na shughuli zako za kiuchumi.Karibuni tujadili kwa pamoja.Nitaweka kwenye Comments Namna mbalimbali kwa kadiri ya Mahali...
  10. JamiiForums Tanzania Mawazo binafsi: Kwanini Tanzania tusiahirishe Uchaguzi Mkuu wa 2025 hadi mwaka 2026 ili kupata Katiba mpya?

    Serikali imepanga kutoa elimu ya katiba. Inaonyesha hadi mwaka 2025 katiba Mpya itakuwa haijapatikana kwa sababu elimu itakuwa inaendelea kutolewa. Sasa, kwanini Uchaguzi Mkuu usiahirishwe Ili ufanyike mwaka 2026 tukiwa na katiba Mpya?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Tazama orodha ya Makanisa duniani na mwaka wa kuanzishwa kwake!

    Wadau hamjamboni nyote? Sabato njema Nimeweka Orodha ya Makanisa duniani kwa kuzingatia mwaka wa kuanzishwa na jina la muasisi wake. Nimevutiwa kuona kanisa langu limeasisiwa mwaka 1844 Karibuni tujadili na tupate elimu Kama Kuna makosa yeyote kwenye takwimu hizo basi tunaomba muwe huru...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

    Historia ya Serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui. Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua Serikali ya Mwl Nyerere. Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA kwa sasa ikishiriki chaguzi yoyote hapa nchini inaweza kupata ushindi mkubwa tofauti na Mwaka 2020 ilipokuwa imepuuzwa na wananchi

    Wakati tunaingia kwenye uchaguzi wa 2020 kila mtanzania alishawapuuza CHADEMA. Walionekana wanasideline na watu wasioipendea mema Tanzania. Maana kila kitu walipinga . Na kauli mbiu ikawa hawataki Megastructures bali wanataka maendeleo ya watu. Sasa hivi wamerudi kivingine baada ya kuona hata...
  14. JamiiForums Tanzania Kagame: Nitagombea Urais tena mwaka 2024, Wananchi bado wana imani kwangu

    Akizungumza na Jarida la Jeune Afrique, Rais wa Rwanda, Paul Kagame amethibitisha kuwa atawania nafasi hiyo kwa mara ya 4 kwasababu Wananchi bado wana imani naye. Kagame aliulizwa anachukuliaje uamuzi wake kwa kulinganisha na Mapinduzi yanayoendelea katika Nchi za Afrika Magharibi, ambapo...
  15. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 330,000 Wa Shule za Sekondari & Msingi Wameacha Shule Mwaka 2022 Pekee. Kanda ya Ziwa Yatia Fora

    Aisee pamoja na Juhudi za Serikali kupanua Elimu ila school dropout inazidi kuongezeka Wanafunzi takribani 330,000 ni wengi sana kuacha shule Kwa mwaka mmja tuu. https://www.jamiiforums.com/threads/kigoma-nusu-ya-wanafunzi-hawajafanya-mtihani-wa-darasa-la-saba-utoro-watajwa.2138803/ Hali ni...
  16. JamiiForums Tanzania Kufutwa kwa leseni ya utafiti wa madini pl/6973/2011 iliyokwisha muda mwaka 2020, baada ya agizo la Doto Biteko kupuuzwa

    Wananachi wa Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, kwa ujumla wao, wakishirikiana na wachimbaji wa madini wadogo wanaomba Mh Waziri wa Madini kupitia Tume ya Madini , kuifuta leseni ya utafiti PL 6973/2011 inayomilikiwa na kampuni ya Dondoro Minerals Limited. Leseni hiyo ya utafiti...
  17. JamiiForums Tanzania Nimeghairi kula tunda baada tu ya kuniambia ameishi njombe zaidi ya mwaka

    Kuna demu nimemtongoza akaeleweka lakini aliponiambia tu amewahi kuishi njombe zaidi ya mwaka mmoja, stimu zimekata kabisaa, hii ni kutokana na story ninazozisomaga humu jf kuhusu njombe Asanteni
  18. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kutinga makundi mwaka 1998, iliwachukua miaka mingapi Simba kutinga hatua ya makundi CAFCL?

    Hawa jamaa kutuwa kujisifia kutinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika (CAFCL) unadhani walianza kushirika hatua hiyo miaka mingi sana huko nyuma wanasahau wakati Yanga anatinga hatua hiyo mwaka 1998, wao walikuwa na miaka mingi tu hawajafikia tena hatua hiyo. Sasa watuambie , miaka...
  19. JamiiForums Tanzania INAUZWA Sea Piano sp-1002 full box, ilinunuliwa mwezi wa 1 mwaka huu 201

    Habari wandugu , Nauza. SEA PIANO (as seen) from pictures.. Mwaka wa manunuzi ni 2023 , inauzwa , full box..... BEI 150,000/= Bei NOW. 120,000/= Inapatikana moshi. Mjini mtaa wa shana Mawasiliano. 0672701329
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2004 nilikatwa mapanga na vibaka mkoani Geita nikisotea kazi Mgodini mpaka leo sijatoboa nauza Kangala tu

    Baada ya kumaliza kidato sikupata chuo. Migodi mikubwa ndio ilikuwa imeanza kufunguliwa nchini. Mimi nikaona isiwe tabu nikaenda Kakola mkoani Kahama kusotea kazi. Kazi zilikuwa ngumu sana kupatikana. Kama huna konection unasotea huku ukiishi kwa kuvunja magoti wanaotinga. Nilivyooona Mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…