mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama Valentino Mashaka wa Simba akianza form 1 mwaka 2013, Inakuwaje hadi Leo 2024 ana miaka 18

    Nimemsikia akihojiwa kwenye redio Moja ya Mwanza, jembe fm kuwa alianza form 1 huo mwaka Nikajiuliza alisoma akiwa na umri Gani shule ya msingi. Hakika udanganyifu wa umri Africa hasa kwenye michezo ni mkubwa. Nina uhakika yule kijana hakosi miaka 26
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ni Chama kipi cha Upinzani Kilishinda Uchaguzi wa Jimbo moja mwaka 1962?

    Wakuu Jana usiku nilikuwa Nasikiliza hotuba ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambayo aliitoa 16 AUGUST 1990 sehemu ya hotuba hiyo alisema kwamba mwaka 1962 wakati wa uchaguziTANU ilishindaviti 77 na kukosa Kiti kimoja tu ambacho alishinda mgombea wa upinzani, ambaye anadai alikuwa chama cha...
  3. JamiiForums Tanzania Dokta Mwaka: Wanawake kufungua Miguu tu pekee haitoshi, jiulizeni na nyie mmewafanyia nini Wanaume? Acheni kutaka kufanyiwa kila Kitu

    "Na isitoshe pamoja na kufanyiwa kila Kitu na Wanaume ikiwemo hadi Kuridhishwa maradufu bado tena Wanaume hao hao Wanawajibika katika Kuwatunzeni lakini pamoja na yote haya utakuta Wanawake wao hawarudishi Uwajibikaji huo kwa Wanaume na wanadhani Kufungua Kwao Miguu kila Siku ndiyo Upendo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Nauza Macbook Pro za mwaka 2018 bei ya jumla

    Wadau wa graphics,gaming,na video production nauza macbook Pro za 2018 kwa bei ya jumla Specs: Macbook Pro display Retina Iris display 13.3' RAM: 16GB Storage: ssd 500GB Processor intel core i 5 3.1.Ghz Touch pad bar. Graphics: Intel Iris Plus Graphics 650,1536 bought from USA asking price ~Tsh...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Arusha, ingiza milioni 9 kwa mwaka ya uhakika kwa kufanya ivi

    Kuna dili nimepewa ila nimekosa Hio pesa, Kuna nyumba ipo arusha inauzwa milioni 100, Ina wapangaji kampuni ya wahindi ambayo imesajiliwa wameikodi Hio nyumba, Wana zaidi ya miaka 8 wamekodi Hio nyumba, wanalipa Kodi milioni 9 Kila mwaka na wanalipa kwa mkupuo Kama Kuna mtu anataka kuinvest...
  6. JamiiForums Tanzania 2025 mwaka wa Mapinduzi, Biden & Co. Out!

    kwa aliyefwatilia mdaharo wa jana D.Trump vs biden atakubaliana na walio wengi kwamba D.Trump is the next President of USA and Tim Scott first (real) black VP of USA. sasa hivi democrats wanafikiria kumbadilisha biden kabla ya uchaguzi kwa maana wameahaona hatoboi, biden ataondoka na wadhaifu...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA mmejipangaje na wabunge 19 wa viti maalumu kutorudi bungeni tena mwaka 2025/26?

    CHADEMA mna mkakati wowote wa kuwazuia wabunge wa viti maalumu waliopo bungeni wakati huu kutorudi bungeni wakati na baada ya uchaguzi wa mwaka 2025? Mtawazuiaje ikiwa mtaona wao ndio wamepewa fursa ya kugombea na wanapeperusha bendera ya CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka 2025? Mtawazuiaje...
  8. JamiiForums Tanzania Chama akienda Uto nipigwe ban la mwaka

    Kila mwaka Uto bin KABWILI wanamsajil mwamba wa lusaka Ccc chama aliyewanyanya uto miaka 4 mfululizo alimstaafisha beki kisiki ninja alimpa mateso makali juma Abdul na kaseke Metacha ndyo atak kabisa kusikia jina la chama alimchomfanya mpka leo jicho lake halioni vizur Chama na Simba ni...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Rose Cyprian Tweve Akichangia Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    MBUNGE ROSE CYPRIAN TWEVE Akichangia Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Nampongeza Mheshimiwa Rais kwa kuendelea kuwa Imara na mwanamke ambaye hajatikisika kuhakikisha anaendelea kuliongoza Taifa hili. Nampongeza Mhe. Mwigulu na Mhe. Mkumbo kwa namna ambavyo...
  10. JamiiForums Tanzania Vyeti vya Elimu ngazi ya chuo Vitofautishwe Sababu za Kurudia Mwaka na Kuahirisha Masomo, Itasaidia kujua yupi ni kilaza au alipitia ugumu wa kimaisha

    Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda mrefu wa masomo yao, hii itasaidia kuepusha mkanganyiko kuhusu uwezo wao wa kitaaluma na changamoto...
  11. S

    JamiiForums Tanzania ahadi za uwongo kuhusu ajira za kada ya afya na elimu zinazotolewa na TAMISEMI kila mwaka

    TAMISEMI imekua na mtindo wa fake promise kuhusu ajira kila uchwao na hakuna kutekeleza yani hakuna ajira. au wakiajiri basi wataajiri idadi ndogo kuliko waliosema. mwaka huu walisema wataajiri lakini hola wanacheza na akili za wasomi kirahisi tu haLafu watu wasomi wamelala. kwa sababu ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ninapenda kufahamu kwa mwaka nchi ya Tanzania inatumia tani ngapi?

    Ninapenda kufahamu kwa mwaka nchi ya Tanzania inatumia tani ngapi?. Je viwanda vya ndani vinazalisha tani ngapi kwa mwaka?. Je gap sugar kwa mwaka ni tani ngapi?. Kuna mantinki gani gani Mhe. Waziri wa Kilimo kuipa Kampuni binafsi kibali cha kuleta tani 410,000?. Je sukari itakayozalishwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Wapuuzi wachache wanaenda kufanya tuaibike Mwaka 2027

    Mwaka 2027 kutakuwa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)ambayo yatafanyika katika mataifa 3,miongoni mwa mataifa hayo na Tanzania ikiwemo. Kila nikijaribu kuangalia na kutazama namna mambo yanavyoendeshwa kwenye hii nchi na watu ambao tuliwaamini kiukweli nakosa majibu na napata...
  14. JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    SUBARU FORESTER Mwaka 2011 Rangi Red Wine Engine 1990cc Mileage 75,000km Bei 27.5m Remote key Winker Mirrors ☎+255626682228
  15. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 hawa watu tuwaweke chini ya Mti Mkavu

    Hawa wabunge na Mawaziri kiuhalisia hawakupaswa kuendelea kuishi hivi kisiasa. walipaswa kabisa wawe ni marehemu kwa huu uhuni wanaotufanyia. walipaswa kisiasa wawe maiti wao na kiongozi wao. wakutwe na political death. yes. nipo serious. wafe kisiasa. mwaka 2025 tusipepese macho. ni kuwa nyoa...
  16. JamiiForums Tanzania Wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) nimewamisi sana tokea mwaka 2009, ila Mungu akipenda 2024 hii nakuja Kuwa nanyi na Kutambika pia

    Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana. ONYO Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara...
  17. JamiiForums Tanzania Tonombe Mukoko akisajiliwa Simba SC kwa mwaka Mmoja tu nitafurahi na atatusaidia kwani anacheza ile Midfield yangu enzi hizo ya Kazi Kazi daima

    Kama tulithubutu Kumsajili Babu Ntibazokiza mwenye Miaka 51 sasa kwanini tushindwe kwa Mukoko mwenye 19 sasa?
  18. L

    JamiiForums Tanzania China na Tanzania zazindua Mwaka wa Utamaduni na Utalii wakati zikiadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia

    China na Tanzania mwaka huu wa 2024 zinaadhimisha miaka 60 tangu zianzishe uhusiano wa kidiplomasia. Kupitia maadhimisho haya nchi hizi mbili sasa zinatarajia kupanua uhusiano wao wa kiutamaduni na kiutalii na kuimarisha mawasiliano kati ya watu wa pande mbili katika sekta mbalimbali. Hivi...
  19. JamiiForums Tanzania Ukubwa wa club sio mwaka wa uanzishwaji bali ni ukubwa na ubora wake katika bara lake

    Hapo vip! Ukubwa wa club yeyote Dunia sio kuwa ya kwanza kuanzisha bali ni ukubwa na ubora wake katika bara lake na nchi yake...tukiangalia kigezo cha uwazishwaji hata huku mtaani kuna timu nyingi za shuleni na vijijini vilianzishwa kabla ya yanga basi tungesema hizo ndio timu kubwa,mfano...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Mataifa 10 tajiri sana duniani kwa mwaka 2024.

    Marekani, China, Ujerumani, Japan na India ndizo nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani kwa mwaka wa 2024, kulingana na data zao za Pato la Taifa. Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…