mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mnaelewa maana ya genocide kweli? Idadi ya wapalestina imekuwa kwa asilimia 2.02% tangu Oktoba 7th mwaka jana

    Wakati madai ya uwongo ya "mauaji ya kimbari" yanazunguka, idadi ya watu wa Gaza iliongezeka kwa watu 43,000 katika wiki chache tu. Mara ooh Israel anaua watoto kila siku, blah blah
  2. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uovu WA CBE kampasi ya Dar mwaka 2024

    Katika mwaka 2024, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es Salaam kimekumbwa na changamoto kadhaa ambazo zimeleta malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wadau mbalimbali. Makosa haya yameathiri kwa kiasi kikubwa uzoefu wa wanafunzi na ubora wa elimu inayotolewa. tuanze na 1. Uchaguzi...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wanawake waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 ni wazuri zaidi ya miaka ya nyuma??

    Nimekutana na mtu akatoa hii hoja binafsi niliipinga lakini alitumia nguvu kubwa na mifano ya watu wetu wa karibu kushinikiza hoja yake, je ana hoja au apuuzwe??
  4. JamiiForums Tanzania Siku zinayoyoma kwa kasi sana kwenye huu mwaka wa kufosi au hii hali ni kwangu tu?

    Habari wakuu, nianze kwa kuwapa pole kwa janga la kariakoo ni janga zito sana Mungu awatie nguvu wahanga wote katika kipindi hiki kigumu. Nirudi kwenye mada, wakuu siku zinakwenda spidi sana nadhani nanyi mnalipitia hilo, kuna jambo nilipanga kufanya november nna utaratibu wa kuweka reminder...
  5. JamiiForums Tanzania Nchi tano kushiriki Uhuru Open Squash kwa Mwaka 2024

    NCHI tano zinatarajia kushiriki Uhuru Open Squash Tournament yanayotarajia kuanza Desemba 6-9, 2024 Jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Chama cha Squash Tanzania (TSA), Marwa Busigara nchi shiriki ni pamoja na wenyeji Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia na Zanzibar. Busigara alisema...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mbolea gani ya kunyunyizia (Foliar fertilizer) inayofaa kwenye shamba la nanasi?

    Nimepanda shamba la nanasi. Huu ni mwaka pili. Nimeshaanza kuvuna. Nahitaji kuongeza/kuweka mbolea ya kunyunyizia [Foliar fertilize]. Ni ipi inayofaa?
  7. JamiiForums Tanzania Car experts, hii ni gari aina gani na tolel la mwaka gani?

  8. D

    JamiiForums Tanzania Je naweza kupata bajaji 3 M iliotumika mwaka mmja tu?

    Je naweza kupata bajaji kwa 3 M iliotumika mwaka mmja tu
  9. JamiiForums Tanzania Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

    Wakuu… Naombeni mnifahamishe huyu Mkuu wa Kamandi ya Wana Maji, Meja Jenerali Ameir Hassan ni Komando? Nimeona ana bawa katika gwanda lake?
  10. JamiiForums Tanzania Zipi ni historical series au historical single movie kwa mwaka 2023- 2024?

    Wadau wa series na single movie kwa upande wangu Mimi ni mpenzi wa historical series na historical single movies .. Kama kuna unazozifaham za mwaka 2023-2024 unaweza list ili ambao hatuja watch nasisi tupate uhondo
  11. JamiiForums Tanzania Naomba Usharuri Mimi ni kijana wa Mwaka wa Kwanza Computer Science Nina shauku ya kutoka na GPA kuanzia 4.5 mpaka 5 Je nizatie jambo gani na gani?

    Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
  12. JamiiForums Tanzania Kuna utaratibu wa kufanya ukaguzi wa hali ya majengo marefu, walau kwa kila mwaka?

    Najiuliza kama kuna utaratibu huo kwa upande wa mamlaka za uhandisi nchini, kukagua majengo na kutoa certificate za ubora.
  13. JamiiForums Tanzania CHINA yawa nchi ya kwanza kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka

    Nchi ya China imekuwa nchi ya kwanza duniani kufanya uzalishaji wa magari ya umeme 10mln kwa mwaka.
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3 waanza malalamiko ya chini chini kisa kubadilishiwa makazi yao bila kushirikishwa

    😁😁😁😁😁, Unajua nacheka Kwa nini, hii ni maajabu! Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu wameanzisha malalamiko ya chini chini kupinga utaratibu unaotumiwa na uongozi wa chou wa kuwahamisha sehemu (blocks/mabweno) walikokuwa wanajihifadhi. Wanafunzi wanadai kuwa wanapangiwa sehemu...
  15. JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaume! Hakuna mahusiano ya kweli yanayo anza mwisho wa mwaka

    Wanaume heshima kwenu. WANAUME NI KUSANUANA,UKIENDEKEZA GENYE ZAKO UMELIWA. Haihitaji Utafiti lakini kwa uzoefu wangu katika kipengele hiki sasa hivi kila binti ama mwanamke ni mrahisi ajabu hata hapo awali alikuwa mgumu kiasi gani. Wanajirahisha ili wakupige boom apate hela ya sikukuu pendwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ramani ya Tanzania mwaka 1956

    Ramani ya Tanzania ya mwaka 1956 ikionyesha Makabila. Kama huoni kabila lako tafadhali tafuta vibali vya kuishi nchini.😂 i
  17. JamiiForums Tanzania Vintage Toyota Carina mwaka 1973

    Kama Toyota Carina mwaka 1973 ilikuwa hivi nini kilitokea kwa matoleo recent TOYOTA CARINA 1973 TOYOTA CARINA 2001
  18. JamiiForums Tanzania Story ya msanii ya mwaka 2087 hii hapa

    Msanii huyu alikua mkubwa sanaa anapesa nyingi kumpa mwanamke gar ya thaman kwake ni kama kumnunulia kanga Kuna muda alikua anapita tu mitaa ya kariakoo sasa hiv imebadilishwa jina inaitwa appoh street bas huyo msanii alikua anagawa tu pesa au akipita mtaan asipokupa hela hasikii hela yaan...
  19. JamiiForums Tanzania Historia fupi ya mwaka 2006-2008 Mpenzi wangu Akiwa analea Mtoto Akawa Anafanya Uzinzi

    Kwa wale mnaokumbuka miaka hio kulikuwa na sakata la Barclays bank kwenye ishu za mikopo na upotevu wa pesa, wakati huo nikiwa mwajiriwa idara fulani hivi ya Serikali kabla ya kujinasua na kuwa mjasiliamali wa pori kwa pori. Basi bhana nyakati hizo nilipata boom la kimtindo nikatimba ifakara...
  20. JamiiForums Tanzania "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT.

    "Baada ya kumaliza chuo 2019 nakusota bila ajira mwaka huu nikaona nitumie cheti cha JKT kuomba ajira ya ulinzi Suma JKT nikalinda sehemu ya kwanza ilikua Golden Tulip ambako security officer alinitaka niingie kila siku kwa mshahara wa laki mbili. Ilikua changamoto kutoka kigamboni paka masaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…