mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Al-Shabab walitumia dola milioni 24 kununua silaha mwaka jana

    Kundi la Al-Shabab nchini Somalia lilitumia dola milioni 24 mwaka 2021 kununua silaha, kulingana ripoti ya Taasisi ya Hiraal lenye makao yake Mjini Mogadishu. Ripoti hiyo pia inadai kuwa Al-Shabab ambao wana ufungamano na Al-Qaeda, ina kusanya mapato ya karibu dola milioni 180 kila mwaka...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China yaweka majukumu ya kustawisha maeneo ya vijiji mwaka huu

    China imetoa Waraka wa Serikali Kuu kwa mwaka 2022, ambao umeweka majukumu makuu ya kusukuma mbele kwa pande zote ustawi wa maeneo ya vijiji mwaka huu. Ikiwa ni taarifa ya kwanza ya kisera kutolewa na serikali kuu ya China kila mwaka, waraka huu unachukuliwa kama kiashiria cha vipaumbele vya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa bidhaa za photovoltaic za China nje ya nchi wapanda kwa asilimia 60 mwaka 2021

    China imeshuhudia uuzaji mwingi wa bidhaa zake za photovoltaic (PV) nje ya nchi mwaka jana wakati dunia inaongeza juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda na TEHAMA, mwaka 2021 uuzaji nje wa bidhaa za PV za China ulipita dola za kimarekani bilioni 28.4...
  4. JamiiForums Tanzania Sababu za Kisayansi kwanini Tundu Lissu alikuja Tanzania kugombea Urais mwaka 2020

    It was a part of his healing process. Alikuwa ana fanya therapy ya kuiponya nafsi Na akili yake Kwa trauma ya tukio la Septemba 7.(Eidha Kwa kujua au Kwa kutokujua) Kwa kutaja madudu yote ya serikali ya awamu ya Tano, kutamka hadharani Nani aliye toa amri ashambuliwe Kwa risasi, Lissu...
  5. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wachezaji wa Mtibwa ambayo ilitwaa Ubingwa wa Tanzania Bara mwaka 2000

    Huu uzi ni kwa wakongwe tu, wadogo zetu njooni mle maarifa Mimi naanza na Alphonse Modest, endelea na wewe
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Bajeti ya Mwaka Mmoja tunaweza kuziunganisha Tanganyika na Unguja kwa barabara

    Iko hivi, umbali mfupi kati ya Tanganyika na Unguja ni karibia Kilomita 40 ambazo ni sawa na kutoka pale Makutano ya Mataa ya Magomeni Hospitali mpaka Kibaha kwa Mathias. Uchimbaji na Ukwanguaji wa kisasa wa miamba chini ya bahari kwa kutumia TUNNEL BORING MACHINE inayoweza kukwangua karibia...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo 12 Ya Msingi Kuhusu Usimamizi Bora Wa Nyumba Za Kupangisha Mwaka 2022

    Maana Ya Usimamizi Bora Wa Nyumba. Usimamizi bora ni hatua pekee za kuhakikisha kuna kipato endelevu, usalama wa uhakika, mahusiano mazuri, kutii sheria na taratibu za mtaa na nchi yako na kukufikisha kwenye uhuru wa kifedha. Hatua hizi zinaweza kufanywa na mmiliki wa mali, au kampuni maalumu...
  8. JamiiForums Tanzania Kuelekea maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha Hayati JP Magufuli

    Wakati maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha JP Magufuli yakikaribia, ni vyema tukaangazia miradi yake aliyotekeleza na inayoendelea kutekelezwa / kukwamishwa kwa sasa.
  9. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango azindua sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021

    MHE. DR PHILIP MPANGO, MAKAMU WA RAIS WA JMT KATIKA UZINDUZI WA SERA YA TAIFA YA MAZINGIRA YA MWAKA 2021. Makamu wa Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Philip Mpango Ashiriki katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Mazingira ya Mwaka 2021 iliyozinduliwa leo 12 Februari, 2022 Jijini...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua idadi ya Madarasa yaliyojengwa wilayani Ngorongoro mwaka 2021/2022. Baada ya hapo mtajua mwekekeo

    Hali wadau wa JF, habari zenu. Naomba kujua idadi ya Madarasa yaliyojengwa huko wilayani Ngorongoro. Ni kwa upande wa elimu ya Msingi na secondary. Ikumbukwe hivi Sasa Kuna fukuto la kuwahamisha wananchi wa huko kwenda maeneo mengine. Lengo ni kuokoa hifadhi ya Crater ya Ngorongoro. Lengo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tujielimishe: Ni Wakati gani polisi walibaini Kuna njama za Ugaidi kwenye kesi ya Mbowe? Ni mwaka 2020 au 2021?

    1. Watuhumiwa watatu kwenye hii walikamatwa mwaka 2020 na kuhojiwa Kisha kufunguliwa mashtaka yasiyo ya Ugaidi. 2. Watuhumiwa watatu baada ya kutoa maelezo Yao mwaka 2020 walipokamatwa awakuwahi kurejea uraiani walipelekwa mahakamani Kisha mahabusu,hivyo awajawahi kupata dhamana Wala kuhojiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hili la Job Ndugai kutoonekana hadharani lazima liwekwe wazi yasije kutokea yaliyotokea mwaka jana

    Mara mwisho ni pale alipoonekana akiwa amepiga picha na Rais Samia Suluhu Ikulu ya Chamwino Dodoma. Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa. Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job...
  13. JamiiForums Tanzania Hata Yanga waliwahi kugomea mkataba wa AZAM tv na TPL board mwaka 2013

    Kifuatia sakata la GSM aliyekuwa akiitwa mdhamini mwenza wa NBC Premier league kuvunja mkataba na TfF lwa kisingizio cha ukiukwaji wa mkataba baina ya pande mbili, hasa hasa kifuatia klabu ya Simba kugomea nembo ya kampunil iyo. Naomba niwakumbushe ya kuwa Ata Yanga mwaka 2013 chini ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto amezidi kuwachefua Watanzania

    Nakumbuka kabisa alifanya usaliti mkubwa sana kukivuruga CHADEMA kikiwa na nguvu kubwa kiasi Cha kutaka kukamata dola. Akawa anakula rushwa na kuvuruga chama Kwa kufanya uzandiki. Leo hii anatumika kuhujumu Watanzania wasipate katiba mpya kisa tu ACT Wazalendo ni vibaraka wa CCM na yeye...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kuwa Mwekezaji Kwenye Viwanja Na Majengo Mwenye Mafanikio Mkubwa Mwaka 2022

    Takwimu zinasikitisha sana linapokuja suala la wawekezaji wenye mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na nyumba. Si zaidi ya asilimia kumi ya wawekezaji wote waliojenga mafanikio makubwa sana kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Sababu kuu ya wengi kushindwa kujenga utajiri...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ukistajabu ya Odinga kujiapisha kuwa Rais wa Kenya mwaka 2018, utayaona ya Zitto na Baraza Kivuli nje ya Bunge.

    Hiki ni kituko kingine au anaota u-KUB ( Kiongozi wa Upinzani Bungeni). Mhe. Zitto kutangaza Baraza la Mawaziri umetukumbusha tukio la kujiapisha kuwa Rais wa Kenya. Unatangaza Baraza la Mawaziri waiotambuliwa na Bunge au wasiokidhi vingezo la kwani Tanzania kwa sasa hatuna Kambi Rasmi la...
  17. 5

    JamiiForums Tanzania Biden aweka record ya ajira 6.6 milioni ndani ya mwaka 1

    Ndivyo nilivyosoma kupitia ukurasa wa CNN asubuhi hii, Biden amevunja record ya ajira kwa 6.6 million added kuliko marais wote waliowahi kushika madaraka marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja toka aingie madarakani. Kuna watu humu walijaribu kutaka kulinganisha utawala wake na aliyepita Bw Trump...
  18. JamiiForums Tanzania Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

    Nawasalimia wana JF wote. Katika mwendelezo wangu wa kuwafundisha na kuwafungua macho watu, leo nimeonelea nilete siri iliyomo katika kufunga. Kwanza kabisa nawaomba muelewe kwamba, kuna namna nyingi sana ya kufunga lakini nitaongelea namna tatu:- 1. Kufunga kwa malengo 2. Kufunga kwa mujibu...
  19. JamiiForums Tanzania Tarehe 2 Februari mwaka 1971 Idd Amini alijitangaza kuwa Rais wa Uganda

    Siku kama ya leo mwaka 1971, jitu la Miraba minne Idd Amin alijitangaza kuwa Rais wa nchi ya Uganda na hii ni baada ya kugutuka kwamba Milton Obote alikuwa akipanga kumkamata kwa matumizi mabaya ya fedha za jeshi, Awali, Amin alichukua mamlaka kwa kufanya mapinduzi ya kijeshi tarehe 25 Januari...
  20. JamiiForums Tanzania Tathmini: Uongozi wa Rais Samia Suluhu ndani ya mwaka mmoja

    Anaandika, Robert Heriel Taikon wa Fasihi. Hii ni tathmini ya uongozi wa Mama Samia Suluhu tangu alipoingia madarakani mwaka Jana 2021 mwezi machi, zikiwa zimebaki siku chache kukamilika mwaka mmoja. Tathmini hii ni kulingana na mtazamo wangu, Uelewa wangu, na vile mambo niyaonavyo. Dondoo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…