mvua za el nino

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Huduma ya Umeme kuendelea wakati wa Mvua za El Niño

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewatoa hofu wananchi kwa kueleza kuwa huduma ya nishati ya umeme itaendelea kupatikana kama kawaida katika kipindi chote cha mvua za El Niño, kwani hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kunyesha kwa mvua na kukatika kwa umeme. Kauli hiyo imetolewa leo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu apunguze mvua za El Nino au tumshukuru kwa maji ya kutosha kwa kilimo cha umwagiliaji

    Nimewasikia baadhi ya viongozi wa dini wakiandaa maombi ili Mungu aepushe madhara ya mvua kubwa zinazotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Kwa nini tusimshukuru Mungu kwa neema hii na tujenge miundombinu bora na tuvune maji ya kutosha kuepuka uhaba wa maji na kufanya kilimo cha umwagiliaji kipindi cha...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mtendaji Mkuu TARURA awataka Mameneja wa TARURA Wilaya na Mikoa kukagua madaraja, makalavati kabla ya mvua za El Nino

    Mameneja wa mikoa na wilaya wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wametakiwa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa miundombinu ya barabara ikiwemo madaraja na makalavati ili kuhakikisha inabaki salama wakati wa mvua za El Nino. Akizungumza mwishoni mwa wiki na Menejimenti na...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe azitaka Wilaya, Halmashauri zote kujiandaa kukabiliana na athari za Mvua za El Niño

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezielekeza Wilaya na Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinafanya kazi ya kuzibua mitaro na mifereji ya maji ili kujiandaa na kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais aagiza hatua za haraka kujiandaa kukabiliana na athari za mvua za El Niño

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza Mamlaka na Taasisi zinazohusika kuchukua hatua za haraka kujiandaa ili kuzuia na kupunguza athari zinazoweza kusababishwa na mvua za El Niño zinazotarajiwa kuanza mwezi Oktoba 2026. Makamu wa Rais ametoa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Ndejembi: Tuchukue hatua kwa haraka, kuna maeneo vifusi vimetelekezwa, mvua zikija barabara zinakuwa kero

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akizungumza na Viongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Wizara ya Ujenzi pamoja na Taasisi zilizo chini ya Wizara hizo, katika kikao cha maandalizi ya namna ya kukabiliana...
  7. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

    Hapa waliojiajiri wanachekelea tu, wale wa online business fresh tu, waliojenga fresh tu, una wifi Yako ndani fresh tu, una pisi au brazamen fresh tu, vyakula vya tahadhari umejanza ndani, fresh tu sijui we UMEJIPANGA vip
  8. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania TMA: October kuna mvua za El Nino zinakuja

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa mvua kubwa zinazohusishwa na hali ya hewa ya El Niño kuanzia Septemba na kuendelea hadi Oktoba, Novemba na Desemba 2026, huku athari zake zikitarajiwa kuendelea hadi mwanzoni mwa mwaka 2027. Akizungumza na...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Sh Bilioni 55 kukarabati barabara zilizoathiriwa na mvua za El Nino Morogoro

    Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali itahahakisha inasimamia Utekelezaji wa ujenzi wa miradi ya barabara na madaraja iliyopo katika Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020-2025 pamoja na kurejesha miundombinu iliyoathiriwa na mvua za El nino. Rais Dkt. Samia ameeleza hayo...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba nchi ilikuwa na barabara nzuri muda wote mvua za El Nino ndio zimekuja kuharibu?

    Katika kipindi cha maswali na majibu, wakati maswali yakielekezwa kwa Naibu Waziri, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ndg. Deogratius Ndejembi, wabunge wote wanauliza nini mpango wa serikali baada ya barabara kuharibiwa na mvua za El Nino. Yaani ni kama huko...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Umeweza kufanya shughuli zako vizuri katika kipindi hiki cha mvua?

    Wakuu, Shughuli zako za kila siku zimeweza kufanyika vizuri bila tatizo lolote? Una la kuwaambia serikali kuhusu hali ya miundombinu kipindi hiki cha mvua? Hali iko shwari huko ulipo? Maji yanapita bila shida yoyote?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania wanasemaje kuhusu mvua za El Nino?

    Weatherman wa Kenya wamesema kutokana na data za satelaiti, Mvua za El Nino zinazotarajiwa hazitakuwa kubwa kama ilivyotabiriwa hapo awali. Je, upande wa TMA wao data zao za satelaiti zinaonesha nini maana matangazo yao hayana ukweli bali pata potea. Tunaona halmashauri nyingi wapo busy...
  15. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Nini husababisha mvua za El Niño duniani?

    Nini husababisha mvua za El Niño duniani? Mvua za El Niño husababishwa na mabadiliko katika joto la bahari la Pasifiki Mashariki. Kawaida, upepo huvuma kutoka mashariki kwenda magharibi juu ya eneo hilo la bahari, na hii husababisha maji yenye joto kujilimbikiza upande wa magharibi wa Pasifiki...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania kukumbwa na mvua za El Nino

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imethibitisha kwamba nchi hiyo inatarajiwa kukumbwa na El Nino ambayo huambatana na mvua kubwa kutokana na ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki katika bahari ya Pasifiki. Meneja utabiri wa Mamlaka hiyo, Dr. Mafuru Kantamla amesema ...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania TMA: Kuna uwezekano wa kuwepo Mvua za EL Nino kwa 60%

    TMA inasema Kuna uwezekano wa kuwepo Kwa mvua za EL Nino Kwa 60% . Hii nakubaliana nayo maana ni mwezi wa 5 Sasa Bado mvua ni nyingi licha ya mazao kukomaa hivyo yanaanza kuharibika.. Tujiandae Kisaikolojia --- MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema inafuatilia mifumo ya hali ya hewa...
Back
Top Bottom