mungu

  1. M

    Mtafuteni Mungu siyo miujiza!

    MTAFUTENI MUNGU SIO MIUJIZA; Maombi ya Asubuhi 🔥 Zaburi 98 1 Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Kwa maana ametenda mambo ya ajabu. Mkono wa kuume wake mwenyewe, Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu. 2 Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake. Sisi wana wa Dunia...
  2. Tuwe wazi, kupata mtoto mwenye ulemavu au magonjwa ya kuwa tegemezi maisha yake yote ni zawadi kutoka kwa Mungu?

    Wewe hapo unaesoma uzi huu ukipata mtoto ama tayari unae: Haoni na hasikii Hajitambui Utindio wa ubongo Ugonjwa wa kumfanya ahudumiwe kila kitu Kwako wewe kutoka moyoni mwako, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu?
  3. Asante Mungu nimelishinda tena hili jaribu

    Iko hivi, kuna siku kuna mteja kijana alikuja hapa ofisini kwangu nimtengenezee simu kama miezi mitano imepita hivi, ilikuwa ni smart ya kubadili kioo. Sasa nikamtengenea akarudi kuchukua kesho yake. Akaondoka baada ya wiki moja akarudi na ile simu ikiwa imepoa battery hivo nikampa simu moja ya...
  4. Ndoa ya mke mmoja ni maagizo potofu ya mwanadamu, sio Mungu. Ukweli huu hapa

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuchelewa. Kuoa wake wengi ninaamini ni sawa kwa utamaduni wa mababu zangu na kwa dini zote za asili ya Abraham maana hakuna ilipozuiwa. Nitakuwa mwendawazimu sana nimezalizaliwa na mke wa pili kwa baba na kisha nimezeshwe dhana ya uongo tu na mchungaji au...
  5. Z

    Uadui Kati ya Myahudi na mpalestina / mwarabu ulitengezwa na Mungu mwenyewe hivyo atamaliza mwenyewe kwa sababu hatukumjua Mungu kupitia Yesu kristo

    Mungu aliamua kuwapa wayahudi nchi ya Kanani ufalme wenye nchi zaidi ya Tano baada ya kuwa wenyeji wa nchi Ile walikuwa wakiabudu mizimu. Pale ilitengenezwa uadui mkubwa na hasa kosa la Wana Israel waliambiwa na Mungu kuwa wawafutie mbali Yale makabila yenye kuabudu miungu mingine . Mungu...
  6. Z

    Tunahitaji kumwelewa Mungu kwa undani zaidi, makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui kati ya Israel na Palestina

    Makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui Kati ya Israel na palestina.Makosa haya ya babu zetu hatuitaji kuyashikilia nabkusababisha uadui usiyokuwa wa maana . Ibrahim aliaahidiwa na Mungu kuwa angempa nchi ya kanaani na kuwa urithi wake .Kanani ilikuwa ni nchi( au ulfame) kubwa yenye mikoa...
  7. MTU anaaweza akapigwa juju mambo yake yakasimama? Tiba kuu pamoja(kisuna) na Dua kwa mungu. Naomba msada wenu wa kitaalam

    Jamani hii dunia Ina mengi. Hujafa hujaumbika, ukiwa juu Leo kesho unaweza kushuka chini. Unaweza ukawa na cheo Leo,kesho ukamaamuma(backbencher) , uwezo sio jambo la univunia ni kushukuru na kuwa moderate. Nirejee kwangu, Sina kipato kikuuubwa Sana. Na Wala sikiwa na kipato kidichi, ni...
  8. Kuna Mtu aliwahi kuniambia kuwa Tanzania ni nchi ya Mungu na Kiimani Watanzania wana Baraka nyingi za Mungu na Anawalinda mno

    Miaka kadhaa Kijiografia Tanzania ilitakiwa ikumbwe na Tetemeko Kubwa na la Hatari la Ardhi ila Watanzania walifunga na Kumuomba Kweli Mwenyezi Mungu na nchi ikawa Salama. ( Asante Mungu ) Kwa Taarifa za Kijiografia GENTAMYCINE nilizonazo na nilizokuwa ni kwamba hadi tarehe hii ya Leo ( 14...
  9. Unapokosea lazima Mungu akuhukumu ili kuleta haki kwa viumbe wake

    Yaani wewe uue wenzako Mungu akuache tu! Yaani wewe uonee wenzako Mungu akuache tu! Kwani wewe ukiwa umejifugia kuku wako huwezi kuwachinja? Kwani kama kuku mmoja ana mdomo wa kula mayai ya kuku wengine, utakuwa unamwacha tu aendelee kusababisha madhara? Mungu ndio hakimu wa viumbe vyake...
  10. H

    Uwepo, biashara na Uwekezaji

    UWEPO MWENYE ENZI MUNGU akaiumba DUNIA. Hakika katika Dunia MWENYE ENZI MUNGU akawaweka VIUMBE wengi sana na akampa mamlaka makubwa ya UFAHAMU kiumbe Mmoja tu BINADAMU. Binadamu wamepita wengi sana huko nyuma na leo hii UPO WEWE na ndo maana hukuwepo mwaka 500 upo SASA hivi 2023. Sasa...
  11. Mungu wa kwenye Biblia ameua watu wengi kuliko shetani. Shetani kaua watu 10 tu

    Ukisoma Biblia utaona kuwa mungu wa biblia sio mungu wa amani anayetaka watu waishi bila shida. Ni mungu wa mauaji na mateso. Kuna analysis ilifanywa na wataalamu wa statistics kuona kati ya mungu na shetani, nani ameua watu wengi kwenye biblia. Kwenye biblia nzima, kuanzia kitabu cha mwanzo...
  12. Afrika tunaomba Mungu wa Israel atulinde. Israel inalindwa na mitambo ya teknolojia ya hali ya juu kuzuia mashambulizi ya anga

    Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui. Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa...
  13. Vita Ukanda wa Gaza: Msimamo wa Tanzania wakati wa Rais Nyerere, Magufuli na sasa

    Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na msimamo wenye kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala mataifa ya Waarabu hayawezi kukiambia kikundi cha Hamas kuja na kauli ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel na Gaza wangefanya kitu...
  14. Kama kweli Mungu anaangalia moyo tu na sio mavazi, kwanini basi watu wasitembee uchi tu?

    Kumekuwa ni mtizamo tofauti kuhusu mavazi hususani kwa wanawake katika jamii zinazoamini katika Mungu, mahususi kwa waamini wa kikristo. Moja ya mtizamo unaokuwa kwa kasi ni wanawake kutaka kuvaa mitindo yoyote ya mavazi pasipo kuzingatia staha na heshima kwa hoja kuwa Mungu haangalia mavazi...
  15. Migogoro inayoendelea duniani inathibitisha kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye aminiwa kuwepo

    Kwa hii migogoro mbalimbali inayo endelea kuwepo duniani inathibitisha bila shaka kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye amini kuwepo. Kauli ya Karl Marx kuhusu dini mpaka sasa bado inasimama wima. Kiranga na kundi kubwa la atheists mpaka sasa hoja zao zina simama wima kwa haya yanayo endelea duniani...
  16. Usikipe sifa ya utukufu chochote, mimi ni Mungu mwenye wivu!

    Wana JF, naombeni mnipe tafsili ya ni nn kinachowafanya baadhi ya watu wavipe utukufu vitu hivi: 1-Mapinduzi "matukufu"! 2-Bunge "tukufu"! Hivi ni viashiria vipi ambavyo vinatoa utukufu kwa hivi vitu? maana isije kua tunabeba laana kwa kukubaliana na semi hizi. Ni kama kulikua na bia XYZ...
  17. Je, ushoga na mapenzi ya Jinsia moja haiturudishi Sodoma na Gomorrah tukakumbwa na hasira na Mungu (Wrath of GOD)?

    Wengi wetu tunakumbuka historia ya kwenye vitabu vya Dini kuhusu Sodoma na Gomorrah, uovu mkuu uliotawala katika miji hiyo ulikuwa ni Uzinzi na Ushoga ambayo leo tunatafsiri kama mapenzi ya jinsia moja. KATIKA BIBLIA Historia ya Sodoma na Gomora inapatikana katika Kitabu cha Mwanzo (Genesis)...
  18. N

    Kuvamiwa kwa Israeli, mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mwenyezi, inaashiria nini kwa dunia?

    Hello JF, kama kichwa cha thread kinavyoeleza....Isreali kutokana na maandiko matakatifu ni taifa linalofahamika miongozi mwa mataifa yote duniani kama mzaliwa wa kwanza wa Mungu Mkuu (the first born of God), je hili linaloendelea la kuvamiwa na magaidi linaleta taswira gani kwa dunia? karibuni...
  19. Sababu 4 kwa nini ni vigumu masikini kuuona ufalme wa Mungu?

    1: Mungu sio masikini. Siku anaumba mtu alimpa vitu vingi akamzuia kimoja. Hii inamaanisha mtu akiwa na katika uwepo wa Mungu atakuwa na vingi na kupungukiwa vichache. 2: Umasikini ni fikra. Mkristo anayejitambua fikra zake ni zakitajiri hata kama hana 100. Maana kuwa mkristo ni unarithi vitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…