mungu

  1. JamiiForums Tanzania Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?

    Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo. "Atheist" atalichukuliaje tukio hilo? Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi. Video hiyo hapo. Sheria inasemaje...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

    Habari Tanzania, Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer. Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu ya Arise & Shine au kwakimombo " INUKA UANGAZE" ( Isaya 60:1 ) yaliyoko Kawe jijini Dar es...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

    Ni taarifa ilyotumwa hivi punde,waraka rasmi kutumwa kwa makadinali Dunia nzima,.......tushuhudie vidume wakivalishana mashela kanisani huku nyomi la wakatoliki mashabaab wakipiga vigelegele wanaume wenzao kwenda kupigana miti baada ya kanisa kutoa Sacramento takatifu! --- ROME (AP) — Pope...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiota ndugu yako amekufa usikurupe kufanya chochote bila kumshirikisha Mungu kwanza

    Nianze kwanza kwa ku kutoa wenge. Ndoto moja inaweza kuwa na tafsiri zaidi ya elfu moja. Lakini watu wanao jiita watumishi wa leo wanakuwaga na tafsiri moja tu ya kila ndoto ambayo huwakaririsha waumini wao. Kwa mfano ukiota umerudi utotoni basi tafsiri yao huwaga ni moja tu : kuna mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Wale wasio na maokoto Mungu anawapa ndoa madada shtukeni;;;

    Nilikuwa naangalia baadhi za ndoa hivi karibuni ukweli halisi Sio wale ..madada wanaowataka wenye maokoto nisingependa muongezeke bila ndoa nkaona tushtuane kama ndugu amkeni jamani msisubirie wenyee maokoto mtasubiria Sanaa muanze kumlalamikia Allah ombeni Mungu awapemnaofanana naooo weekama...
  6. R

    JamiiForums Tanzania COVID 19 iliyotufanya tuwahudumie wapendwa wetu kama wanyama, unapitisha chakula chini ya mlango kukwepa maambukizo. Tunamshukuru Mungu

    Tunapotafakari mwaka 2023 yatubidu kumshukuru Mungu kwamba tuliishi kama binadamu. Kuna kipindi hapo miaka ya nyuma tulikatazwa kuwazika wapendwa wetu, kuwahudumia na hata kuongea nao. Tulikatazwa kwenda kijijini desemba kwa madai kwamba tunapeleka magonjwa, wazee wetu wakawa na hofu kubwa juu...
  7. JamiiForums Tanzania Saa zingine ukiona unagombana na mpenzi wako ni sauti ya Mungu, tii na uondoke haraka

    Hapo vipi? Kuna miaka fulani hivi, limwanaume mmoja tahira bora angekuwa mti wa mapera..yaani yeye kuna demu sijui anampenda sijui ndio kulogwa. Ipo hivi, kuna kuna siku huyo demu anampiga anamuambia toka kwangu sikutaki huyo jamaa kin'gang'anizi hatari, halafu jamaa anakopa mpaka pesa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ewe mwenyezi Mungu hii mvua sasa imetuchosha.

    Mungu sikia kilio chetu hii mvua sasa imezidi tunaomba uiondoe KWA amri nguvu na uwezo wako. Amen
  9. JamiiForums Tanzania Scars haaamini kwenye uwepo wa Mungu lakini anaomba dua na kufanya maombi

    Huyu jamaa ni mtu wa dua na maombi lakini anasema hakuna Mungu. Ninaamini alipitia changamoto za kimaisha hadi akamchukia Mungu lakini deep down anafahamu uwepo wake. Scars
  10. JamiiForums Tanzania Mambo Manne ya kukusaidia. Kwanini Mungu anataka ulinde ubongo na mfumo wako wa fahamu kabla ya chochote

    Mungu anawasiliana na wewe kupitia ubongo na mfumo wako wa fahamu. Hili ni eneo ambalo ibirisi amelitafiti kwa Muda mrefu na amekuzungushia vitu vingi kushusha uwezo wako wa kusikia sauti ya Mungu. Mit 4:23 SUV Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima...
  11. JamiiForums Tanzania Natamani Israel apigwe hadi amrudie Mungu wake aliye hai JEHOVAH

    Sijui itatokea lini, ila mimi natamani sana wayahudi wachapwe kichapo kitakatifu hadi wamtii Mungu wao aliyewatoa Misiri utumwani kwa ishara za ajabu yaani (JEHOVAH) Ichi ambayo imekuwa na ukaribu na Mungu tangu kipindi cha Ibrahimu, Ichi ambayo kipindi cha Musa, Mungu alifanya maajabu mengi...
  12. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Makamu wa Rais si Mungu, ukiumwa sema, ukisafiri kikazi sema

    Makamu wa Rais nakusalimu. Wewe sio makamu wa Rais wa familia yako.Wewe ni Makamu wa Rais wa Nchi.Watu wanapofuatilia taarifa zako wako sawa asilimia 100. Ukuonekana kwa muda mrefu na serikali na ofisi yako wakawa kimya,watu wakaanza huko wapi? Tena ni jambo jema kwako,nilifikiri ungefurahi...
  13. JamiiForums Tanzania Narudisha shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu baada ya kumuona Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa mzima wa afya njema

    Mwenyezi Mungu asifiwe sana. Hakika anastahili sifa, utukufu, heshima na adhama kwa matendo yake makuu. Leo ninefarijishwa sana baada ya kumuona Makamu wa Rais Dr. Phillip Mpango akiwa ni mzima wa afya njema na akiwa na furaha tele machoni pake. Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja mheshimiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

    Nyinyi manabii mnao vaa visuluali vimebana, manabii mmesuka rasta, manabii mnawapiga mateke wagonjwa, manabii mnawalisha majani waumini, manabii mnawanywesha mafuta ya taa waumini, manabii mnataka sadaka kuazia elfu Tsh 30,000 na kuendelea, je ni kweli hizo nguvu/mamlaka mmepewa na Mwenyezi...
  15. JamiiForums Tanzania Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

    Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi. Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa Mungu. Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk. Ni ingie kwenye point. Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake. Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nimegundua makazini, watu wengi wanaogopa bosi wao, kuliko wanavyomwogopa Mungu

    Habarini, Yaani mtu kabla ya kuongea chochote, let's say kwenye group la Whatsapp, mtu anawaza mara tatu tatu ndiyo aongee, mtu anakua veeery careful kuhusu anachoongea. Utakuta unaona changamoto fulani kwenye idara, iliodumu kwa muda mrefu kiasi, na kuna uwezeoano mkubwa ikiendelea itaenda...
  17. JamiiForums Tanzania Nimepona bawasiri; Asante Mungu

    Hakuna gonjwa baya kama bawasiri. Ni ugonjwa unaokera sana. Yale manyama yanavyochungulia kwenye shimo la ikweta yanaleta ukakasi mkubwa sana licha ya madhara mengine mengi. Ukichuchumaa linyama linafumuka. Ukienda kukata gogo linyama linafumuka. Unakuwa kama mama aliyejifungua. Shimo la...
  18. JamiiForums Tanzania Waliozaliwa tarehe zifuatazo wengi wao huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists)

    Watu waliozaliwa tarehe zifuatazo ndiyo mara nyingi wanakuwa atheist Waliozaliwa kati ya 1. Januari 20 mpaka February 18 2. May 21 mpaka juni 20 3. August 23 mpaka September 22 4. December 22 mpaka January 19 Hawa mara nyingi huwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu (atheists) Kama wewe ni...
  19. JamiiForums Tanzania Haya Mambo mawili yatakusaidia sana ukiyazingatia ikiwa unamuamini Mungu

    1: Thubutu mambo makubwa kuliko uwezo wako. Tofauti yako na wasiomuamini Mungu wewe unafaida ya zaida ta kupewa uwezo ulio nje yako (Nguvu za roho mtakatifu). Hivyo ni dhambi kuwa na fikra mgando, finyu na zembe. Fikiria makubwa, thubutu makubwa. 2: Anza kidogo kwa mtazamo mkubwa. Hata kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…