Je, Mungu ni muweza wa yote?
Kama jibu ni ndiyo, basi tukubali mema na mabaya yote yake, yote mema na mabaya yanayo endelea ulimwenguni kote yeye ndio muhusika.
Ukiona unamchagulia yapi anafanya na yapi hafanyi kwa kutazama mazuri na mabaya basi tambua huyo Mungu sio muweza wa yote bali wa...