mungu

  1. JamiiForums Tanzania Mchungaji aliedai Corona ni kagonjwa kadogo mbele ya Mungu, amefariki kwa Corona

    Mchungaji Bishop Gerald Glenn wa kanisa la New Deliverance Evangelistic Church huko Virginia Marekani ambae alidai corona ni kagonjwa kadogo mbele ya Mungu amefariki sababu ya corona. Mchungaji huyo alikua akisisitiza watu kuomba na wasiogope ugonjwa wa corona kwa sababu si chochote wala lolote...
  2. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naisi dunia imenizonga ila kama mungu ndio huyu mitihani yake imefika mwisho kwangu!

    Kama kichwa habari dunia imenizonga kwakua inawezakana nilipata furaha ya wazazi kwakua naambiwa baba yangu alifariki nikiwa na miaka 4 napata akili namuona mama angu na kwenda kabulini kwa baba na mama ila hisia maelezo naambiwa nimefanana na mzee!kwa kifupi baada ya kufariki mzee maisha...
  3. JamiiForums Tanzania Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!.

    Wanabodi, Heri ya Pasaka. Naangalia Live ya Pasaka kwe Wasafi TV, kipindi kinaendeshwa na Mtangazaji mahiri Lilian Mwasha ila kiukweli somo la social distancing bado halijaeleweka. Kama hii ndio media iliyopaswa kuonyesha mfano wa social distancing, lakini wao ka Studio kadogo wanarundikana watu...
  4. JamiiForums Tanzania Nawatakia heri ya Sikukuu ya Pasaka Wanachadema wote duniani kote, Mungu awabariki sana

    Hizi ndio salamu zangu za Sikukuu ya Pasaka kwenu nyote , Wanachama , Wapenzi pamoja na viongozi wote popote mlipo duniani , nyinyi ndio nguzo ambayo watanzania wameichimbia ili nyumba isibomoke , juhudi zenu zinatambulika , vikwazo mnavyopitia ndio ile " njia nyembamba " inayotajwa kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent. Kufuatia Local Transmission ya Corona. Je, Sasa Tushinikize Watu Wasalie Majumbani Mwao, ila Sadaka Ndio Itumwe Kwa M-Pesa?

    Wanabodi, Leo katika kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, nimezungumza kidogo na Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndugulile kuhusu local transmission ya virusi vya Corona, na umuhimu wa mikusanyiko isiyo ya lazima, kiukweli kabisa kuna vitu serikali inavijua lakini hatuvisemi kwasababu...
  6. JamiiForums Tanzania Swali kwa Rais Magufuli: Ni kweli kwamba Mungu yuko Mbinguni?

    Rais Magufuli Kuna video ndogo inazunguka mitandao ya whatsapp. Inamwonyesha Rais Magufuli akihutubia watu wasioonekana akiwa amesimama kwenye jukwaa fulani. Kuna nembo ya Bibi na Bwana jukwaani, hilo jukwaa likiwa limepambwa kwa Bendera ya Taifa la Tanzania kulia kwake na Bendera ya Rais...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hati hati watumishi wa Mungu kukosa sadaka

    Kutokana na janga hili la korona lililo ikumba dunia limeleta athali kubwa sana katika nyanja zote za kiuchumi, kijamii na kisiasa. Viongozi wa makanisa na taasisi zingine za dini ziko katika hatari kubwa ya kukosa sadaka kutoka kwa waumini wao. Kwani pamoja na Mhs. Raisi wa jamuhuri ya Muungano...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ningemshangaa sana Mungu

    Ndugu zangu kwa muda nimekuwa nikijiuliza hivi kweli Mungu yupo? Ni kwa sababu naona muda unavyokwenda binadamu wanaigeuza dunia watakavyo, wanaenda tofauti na kusudi lake mwenyezi. Mfano wako wanaooana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake, wapo wanaonyanyasa wenzao, wapo wanaoua wenzao...
  9. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii yatuhumiwa kutumia Tsh. 2.5B kuanzisha chaneli ya Urithi Festival nje ya Bajeti iliyopitishwa na Bunge

    HAYA ANAYOONGEA HUYU MBUNGE YANA UKWELI? Na Thadei Ole Mushi Mbunge wa Chadema Catherine Ruge amesema kuwa wizara ya maliasili na utalii imetumia bilion 2.5 kuanzisha televesheni ya Urithi Festival. Kwa madai ya Mbunge huyu Ni kuwa Chanel hiyo pesa yake haikupitishwa na bunge..... Kama ni...
  10. JamiiForums Tanzania Wageni bado wanatimba tu nchini mwetu, ee Mungu tunusuru na Corona

    Kinachofanywa na Tanzania leo, kilifanywa na Trump siku chache zilizopita ila leo amekuwa mtu wa kulaumu kila eneo. Imewagharimu wamarekani zaidi ya elfu 13 kuzikwa huku asilimia 70 wakiwa wamarekani weusi. Hili gonjwa la COVID 19 limeenda mbali na sasa linagharimu hadi wanyama wa mwituni...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali: Wagonjwa watano wathibitika kuwa na Virusi vya Corona na kupelekea kuwa na idadi ya wagonjwa 19 (Machi 30, 2020)

    Waziri Ummy Mwalimu akitoa taarifa juu ya mwenendo wa Virusi vya Corona nchini amesema leo asubuhi wamepokea vipimo vya wagonjwa watano kutoka maabara ya taifa, watatu wanatoka Tanzania Bara na wawili wakitokea Zanzibar. Idadi imefikia 19 akiwepo mgonjwa mmoja aliyetangazwa na Waziri wa Afya wa...
  12. JamiiForums Tanzania Corona Mungu ametuchoka

    Ni hivi karibuni Dunia yote ikiwemo South Africa wamehalalisha Ndoa ya jinsia moja China, Irani uhuru wa kuabudu ni sefuri!! USA amehalalisha SODOMA na GOMORA na hata South Africa acha tufe waje kizazi kitakachofata Mungu anataka nini!! Hata Kizazi cha Rutu kiliangamizwa kisa kupenda mambo hayo...
  13. JamiiForums Tanzania Huku kujitenga kuepusha maambukizi ya corona ni Mungu tu atusaidie

    Ninaishi Kwa Mtogole, nyumba tunayoishi tuko familia tano, wastani kila familia ina watu watano. Wote tunatumia choo kimoja. Mlango wa chooni ni gunia. Mimi ninafanya kazi za kusafisha mji, mume wangu dereva wa daladala. Anaokutana nao huko anajua mwenyewe na mimi ninaokutana nao nikiwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Matatizo: Je, ni uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mungu?

    Habari za wakati huu! Katika maisha, kumekuwa na nyakati ambapo tunawaza na kuwa na wasiwasi juu ya uwepo wa Mungu. Uwepo wa matatizo mbalimbali kama matatizo ya kiuchumi, matatizo ya kiafya, matatizo ya kijamii, matatizo ya kisiasa, n.k. umechangia kwa kiasi kikubwa hali hii. Ukweli mchungu...
  15. JamiiForums Tanzania Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

    Mtoto wa Mbowe anaeitwa James Mbowe amesema kuwa ugonjwa wa korona ni janga la kitaifa na halipaswi kufanyiwa mchezo wala mzaha. Amesema kitendo cha Mh. Makonda ni kitendo cha kushangaza kwa kuwa amejivika usemaji wa familia ya Mbowe kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa ugonjwa wa korona umepiga...
  16. JamiiForums Tanzania Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Poleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundikano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa...
  17. JamiiForums Tanzania Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

    Wakuu, Kwa taarifa nilizo nazo, ni kuwa muda si mrefu Rais Magufuli atalihutubia Taifa. Kama hii itatokea, itakuwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani kuhutubia Taifa. Tutarajie nini? Stay tuned... ======= LIVE: VIDEO: Rais Magufuli anasema; => Baada ya kuibuka Ugonjwa wa Corona...
  18. C

    JamiiForums Tanzania OMBI: Serikali idhibiti bei kwenye vifaa vya kujikinga na kupambana dhidi ya Virusi vya Corona

    Tatizo kubwa hapa nchini ni kwamba pale inapotokea janga, mlipuko wa ugonjwa basi wafanya biashara hutumia nafasi hiyo kujinufaisha. Kuna vifaa kama hand sanitizer, medical face masks vimekuwa katika uhitaji mkubwa sana kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona. Serikali kupitia waziri wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mpaka sasa Tanzania (Bara&Visiwani) hatuna mgonjwa wa Corona. Nawasihi watanzania kuchukua hadhari

    Rais Magufuli ameishukuru serikali ya Germany kwa msaada walioutoa kujenga karakana hiyo ya kisasa. Pia Rais Magufuli amempa balozi barua maalumu ya shukrani kwa counvillor Mikael wa Germany. Kadharika Rais Magufuli ametumia fursa hiyo kuwataka watanzania wajihadhari na ugonjwa huo hatari. Rais...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

    Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii. Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…