mungu

  1. JamiiForums Tanzania Vita Janga la Corona, Rais Magufuli Aanza Kusifiwa Duniani!, Jarida la The Economist 'Lamsifu' JPM Kumtegemea Mungu!, Ni Uamuzi Sahihi?, Utatuokoa?

    Wanabodi, Asubuhi ya leo, nimepata tena fursa, kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni makala za kuhamasisha uzalendo na huendeshwa kwa mtindo wa maswali, yakifuatiwa na hoja, kisha majibu uyatoe wewe msomaji mwenyewe. Mada ya leo ni kuhusu hatua mbalimbali...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Uzalendo na Ucha Mungu wa Rais Magufuli ni upi?

    Ninalalizimka kuandika uzi huu kulingana na mwendelezo wa tafakuri zitokanazo na hotuba pendwa ya mheshimiwa huyu hasa ya hivi karibuni tokea pande za kule Chatto. Katika hotuba yake Chatto mheshimiwa hakuwa na maneno mazuri sana kwa yeyote mwenye mtizamo wa kuwatenga watu katika kupambana na...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Sasa nazidi kuielewa kauli ya Rais “endeleeni kufyatua kwa kasi”, kama bado unaamini misaada toka kwa wazungu ni kwa sababu ya upendo

    Kama kuna mtu bado anaamini sera na misaada ya wazungu juu ya waafrika ni kwa sababu wanatupenda sana basi angalia hii video. Huyu mzungu alikuwa ni mtu wa ndani kabisa katika serikali ya kibeberu na anasema wazi kwamba misaada waliyotoa kuanzia mwaka 1990 hadi 2000 kwa Afrika ilikuwa ni karibu...
  4. JamiiForums Tanzania Pigo la vifo liliuleeza moyo wa farao, bado kitambo kidogo mtamwabudu Mungu kwa roho na kweli.

    Ilitokea zama za utawala shupavu wa misri. Pharao aliwatumikisha wana wa Mungu na kuwatesa, hakuwapa nafasi ya kuabudu sawasawa na matakwa ya Mungu. Hata walipoomba 'kutoka' Pharao aliwakatalia. Pharao alipigwa mapigo sita akayavumilia. Pigo la Saba ambalo liliua kila mzaliwa wa kwanza wa kila...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Sipingani na kuomba Mungu dhidi ya corona ila pia kuwa mwangalifu na haya

    Naamini sana katika uwepo na uwezo wa Mungu kama mtu anaweza kufanya mawasiliano sahihi na Muumba huwa anajibu maombi na kutoa msaada. Ila wengi wetu hatujui namna ya kuwasiliana ili kupata majibu. Sio nia yangu kuzungumzia hili kwa sasa ila natoa tahadhari/angalizo: Ulimwengu wa giza hutumia...
  6. JamiiForums Tanzania Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

    Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani. Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana. Serikali ya Rais John Magufuli...
  7. JamiiForums Tanzania Kampuni kama hii kamwe haiwezi kuacha Kubarikiwa na Mwenyezi Mungu kwa Matendo yake mema kabisa

    Mfanyakazi wa @Google akifariki, kampuni hiyo humlipa mwenza-wake 50% ya mshahara wake kwa miaka 10. Pia mtoto/watoto wako watapokea USD 1,000 (Tsh. Milioni 2.3) kila mwezi hadi watakapofikisha umri wa miaka 19 (au miaka 23 kama ni mwanafunzi). Makampuni ya Kitanzania ( Kibongo ) nanyi pia...
  8. JamiiForums Tanzania Maombi ya Siku 3 yalikuwa ya kumuomb Mungu atekeleze matakwa yenu

    Watu hawavai Barakoa wala kuepuka misongamano Watu hawavai gloves wala hawatekelezi maagizo yote ya wataalamu Halafu eo mnakimbilia maombi Are you serious?
  9. JamiiForums Tanzania Ejipii Mungu anakuona kama haya unayofanya ni haki

  10. JamiiForums Tanzania Dunia isingekuwa na changamoto yeyote binadamu asingeweza kumkumbuka Mungu.

    Habari kwa wote! Imani yangu wote ni wazima. Kabla ya yote naomba tufanye assumptions chache ili mada iwe nyepesi na tuzungumze vyema. Assumptions hizo kama ifuatavyo:- Dunia ni ideal. Ideal nikiwa na maana ya hakuna changamoto/matatizo kwa binadamu. Binadamu anaweza kufanya kitu/jambo lolote...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mungu amejibu maombi ya Watanzania, Kujifukiza katika mvuke kutawaponya wagonjwa wa corona

    April 16/4/2020 Rais John Magufuli aliandika ujumble katika ukurasa wake wa Twitter akiwaomba Watanzania kufunga na kuomba kwa kipindi cha Siku tatu aliandika, Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi...
  12. JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kuiweka Dar es Salaam kwenye “lockdown” ni sasa

    Tunaelewa umuhimu wa jiji la Dar es Salaam katika maisha ya Watanzania na nchi jirani. lakini kwenye hili suala la corona hakuna kuzubaa tena. Mamlaka husika iweke utaratibu mzuri wa kulibana hili jiji ili kuzuia na kupunguza kabisa kasi ya usambaaji wa covid19. KWANINI NIMEWAZA HIVYO...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mpya: Askari polisi wa kituo cha Mbalizi Mbeya wafanya Ibada kituoni kuomba Mungu atuepushie janga la Corona

    Askari polisi wa kituo cha Mbalizi mkoani Mbeya leo wamefanya Ibada kituoni hapo kutimiza maelekezo ya Rais Magufuli ya kufanya maombi dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Ibada hiyo iliongozwa na mkuu wa kituo afande Lusekelo na kuhudhuriwa na mkuu wa wilaya. Source ITV habari. My take; Tukio hili...
  14. JamiiForums Tanzania Alichofanya Eliya Mtishbi na Tukipasacho Kufanya Dhidi ya Korona: Baada ya Kumwomba Mungu

    Na. M. M. Mwanakijiji Tunaweza kumwomba Mungu atusaidie kutuepusha na janga la ugonjwa wa korona. Kama binadamu na watu wenye imani tunaelewa wazi kuwa mwisho wa siku mambo yote yako mikononi mwa Mungu. Tunapojiachilia katika huruma na wema wake tunakiri uwezo na uwepo wake lakini pia tunakiri...
  15. JamiiForums Tanzania Kama kweli tunamuamini Mungu katika majanga ni kwanini tulikatazwa kumuombea Tundu Lissu alipopigwa risasi?

    Tuli katazwa kukusanyika na kumuombea kiongozi na mbunge wetu alipopigwa risasi 16. Tulikatazwa kuvaa T-shirts za Pray 4Tundu Lissu. Ni Mungu yupi huyo anaechagua maombi. Hata kwenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitali lilikuwa kosa la jinai. Nchi imekuwa ya matabaka, viongozi wa upinzani...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je, Chadema wameachana na ile kaulimbiu " Tumeanza na Mungu Tutamaliza na Mungu"?

    Tangu mzee Lowassa ajitenge na Chadema baada ya kurejea CCM, kauli maarufu ya chama hicho ya " Tumeanza na Mungu Tutamaliza na Mungu " haisikiki tena. Ningependa tu kujua haya mabadiliko au ukimya umetokana na nini? Je, Chadema haimwamini tena Mungu? Maendeleo hayana vyama!
  17. JamiiForums Tanzania Hapa duniani kuna mbegu mbili; aliyopanda Mungu na ile aliyopanda Shetani

    Kuna andiko katika biblia sikumbuki mstari gani lakini nakumbuka yesu alikuwa anafundisha wafuasi wake akasema mpanzi alikwenda kupanda mbegu katika konde lakini zilipoota zikaota na magugu mwenye shamba alauliza mbona nilipanda mbegu nzuri magugu yametoka wapi? Yesu akawaambia yule mwovu Usk...
  18. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...

    Wanabodi, Humu jukwaani tuko watu wa fani mbalimbali na miongoni mwao ni sisi watu wa fani ya habari. Leo nimewakumbuka waandishi wa habari na kupotea/vifo vya kutatanisha, toka kwa Stan Katabalo, Ben Saanane, Azory Gwanda, Daudi Mwangosi, Josephat Isango, maajaliwa ya hatma za maisha yao...
  19. JamiiForums Tanzania Mwisho ama vifo vya Mitume na Manabii wa mwenyezi Mungu

    Uzi huu ni maalumu kuelezea kuhusu mwisho wa maisha ya Mitume na Manabii mbalimbali WA MWENYEZI MUNGU. Namna walivyo kamilisha safari Yao ya maisha Yao hapa duniani. Sababu zilizo pelekea vifo vyao. 1. YESHUA AMASHIACH ama YESU. Wakristo watanishambulia Kwa kumuweka katika moja na Manabii na...
  20. JamiiForums Tanzania Hata wababe wa Dunia wanapo kata tamaa ni Mungu pekee tu

    Putin akiri kuwa hali yazidi kuwa mbaya nchini Urusi Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kuwa hali ya Corona nchini humo inaelekea kubaya. Putin, ambaye alifanya tathmini juu ya coronavirus katika mkutano wa baraza la mawaziri uliofanyika kwa njia ya video, amesema kwamba hali katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…