Salaam Wakuu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki.
Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
chadema
corona
halima mdee
hotuba
inawezekana
jeshi
jeshi la polisi
lissu
magufuli
mimi
mpango
mungu
ofisi
picha
polisi
risasi
soma
taifa
tanzania
tundu lissu
urais
video
vyombo vya habari
watanzania
waziri
Niko nazunguka zunguka hapa JNIA, Kwenye shughuli zangu lakini pia niko naangalia mikusanyiko ya watu kama wapo sioni dalili ya mkusanyiko.
Maana yake mambo ya wahamasishaji wa mitandaoni kutokutii mamlaka za nchi zimepuuzwa wananchi wako kwenye msiba mzito na maombolezo ya Kitaifa.
Wananchi...
Wabobezi wa jukwaa hili naombeni mtoe maoni yenu hapa. Nina Mahusiano na wadada 2 wenye sifa tofauti.
1. Wa Kwanza ni mdada amebarikiwa shepu, sura ya kuvutia na mautundu ya kutosha kwenye 6 kwa 6. Hakika nimuonapo nafsi yangu husuuzika sana, na hata nikiwa naye barabarani najiona mm ndiye...
Nasikia Tafiti mbalimbali zinafanyika huko Mars ili hawa jamaa wahame huku Duniani, maana huyu Mungu huku Wamemkataa mpaka basi na anaonesha kuwazidi Nguvu. Wameshakubali huku Duniani inawezekana Kuna Mungu wa kweli sasa hili linawauma sana wao ndio wanataka wawe Miungu ya Dunia hii lakini sasa...
Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia.
Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani...
Kila nafsi lazima itaonja mauti, hilo lipo na litakuwepo siku zote, ila kuna wengine wakiondoka tunaachwa na maswali mengi sana na kuomba bora wangevuta muda kidogo, hata hivyo hatulaumu ila kumshukuru Mungu maana ndiye mwenye uwezo wa kutoa na kutwaa, muigizaji na mcheshi bwana Charles Bukeko...
Najua tukokatika kipindi cha mauzo.
Makundi kama waumini makanisani, bodaboda, wafanyabiashara ndogondogo,mashabiki wa muziki, timu za mpira et al ni rahisi tu kuuzwa kwa mwanasiasa fulani nyakati hizi.
Mfano: Mwaka 2015 Gwajima alimpa Lowassa waumini wake, na mwaka huu kampa Magufuli.
Pia...
Nimeona niwawekee sehemu ya kiapo cha mtu aliyeteuliwa na " kukubali" uteuzi wa kuwa mkuu wa mkoa.
Nimeupenda sana huu utaratibu unaotumiwa na Rais Magufuli wa Kata mti panda mti, watu wenye sifa ni wengi sana.
Maendeleo hayana vyama
Ningewashangaa kweli kweli wale ambao walipewa Dhamana ya Kumchagua na Kumpitisha Mrithi wa Rais wa Zanzibar Dkt. Shein kama wangefanya Kosa kubwa na la Kiufundi kabisa la Kutomchagua Mtu ambaye GENTAMYCINE nadhani si tu kwamba anafaa kuwa Rais wa huko Kisiwani Zanzibar bali naona kabisa kuwa...
Asilimia kubwa ya idadi ya watu duniani ni size ya kati ya miaka 14-55 ambao wengi ni Vijana! Hiki ni kizazi kilichotabiriwa kizazi cha nyoka ambacho hakitataka kuyasikiliza maneno ya Mungu! Ni kizazi ambacho haya ndo kinachoyafurahia.
1: Kumiliki pesa nyingi ambazo sio za jasho!
2: Kupenda...
Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya.
Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi Kulikuwa na kama Tv ikamuonesha Rais John Pombe Magufuli akiwasalimia waliohudhuria.
Ila Nyuma ya...
Kama umetazama kwenye Tv, umesikiliza kwenye redio au umehudhuria ibada ya leo at Arise and Shine utakuwa SHUHUDA wangu katika hili.
Kuna dada anaitwa NEEMA BAKARI anatokea Tanga, alikuwa mmoja kati ya waliosimama madhabahuni kutoa SHUHUDA zao.
Dada anaongea vizuri hatari. Yani anaongea mpaka...
Kwanini hamchukulii hatua shetani ?
Shetani ana nguvu kumliko?
Anafurahishwa na matendo ya shetani?
Wana lengo moja?
Hana njia yoyote ya kumzuia mpaka binadamu tumsaidie?
Kama Gwajima, Mwamposa kweli wanatoa mapepo/mashetani ndani ya watu yeye anashindwa nini kumtoa duniani kabisa?
Mbona...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu Watanzania huyu Habibu B. Anga (The Bold) Mungu ampe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate...
Kama ilivyokuwa kwa wana wa Israel ambapo Mungu alimtumia Mussa kuwakomboa kutoka utumwani nchini Misri,ndivyo vivyo hivyo Mungu amepanga kuwatumia CHADEMA na CUF kwa kiasi fulani, ili kupitia vyama hivi,watanzania wakombolewe.
Hii ni moja ya sababu ya hawa wenzetu kukosa maarifa(mungu...
Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.
Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.
Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la...
Tulikuonya mapema sana kwamba Shetani hajawahi kuwa na rafiki, ukatuona wajinga lakini taarifa za siri kutoka kwenye kikao cha CCM Zanzibar cha kuchuja wagombea wa urais wa Zanzibar, jina lako limekatwa kinyama bila hata kujadiliwa, wewe Jecha ndio mtu wa kwanza kufyekwa bila huruma.
Mwenyekiti...
Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe...
Habari wakuu!
Jana Askofu Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chama tawala na ametoa sababu nyingi tu kwa nn yy ni Askofu na anataka kuingia kwenye siasa! Mm kama mtumishi wa Mungu pia na mchambuzi wa Biblia natoa sababu kwa nini askofu gwajima hatakiwa kuwa kwenye siasa...