Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii
1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi
7. Leo Askofu anatangaza dua...
Mungu anajua sijawahi liua jitu hata siku moja lakini ikitokea lile jamaa likafa shauri yake na familia yake.
Mwaka jana nimeibiwa mara mbili nikahama mtaa.
Wiki iliyopita nimemkosa kidogo tu, ashukuru niliamka usingizini nikiwa na pombe kichwani na kupelekea kupiga kelele akasepa zake. Leo...
Mwenyezi Mungu, ulie na mamlaka yote mbinguni na duniani, tunaomba umalize huu uonevu unaoendelea kwa kuwaondoa wale wote wanaohusika katika kutoa baraka zao uonevu huu uendelee pamoja na wale wote wanaosimamia utekelezaji wake.
Wale wengine walipukutika wamebaki hawa hivyo tunaomba na wao...
Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi.
Silaa ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia...
Asalaam aleykum...
Tumsifu yesu kristo...
Mwana kondoo ameshinda...
Ama baada ya salamu
Mimi ni kijana wa kitanzania umri miaka 24 ni Mwajiriwa wa Selikari (Mtumishi wa Umma).
Nimekuja kwenu kuomba ushari kwa umri wangu huu wa miaka 24 ni umri sahihi wa kuingia kwenye ndoa
Yaani naweza kuoa...
JAMBO 1 KTK PESA
✍🏿 Leo naomba tugusie jambo dogo sana ktk pesa.
💧 Kinacho kufanya wewe kuwa Tajiri sio kiwango cha pesa ulicho nacho ila ni matumizi kwa kile unacho kipata.
🙏 Mfano : Kama unapokea laki 3 kwa mwezi na ukatumia laki 2 na 80 na ukatunza elfu 20 M-pawa. Baada ya miezi sita...
✍ KWA NINI HUJAFANIKIWA‼️
💧 Kwanza tambua jambo 1 mungu hawezi kukutoa hapo ulipo mpka akupe elimu ya kule unapo taka kwenda ( kila elimu inalipiwa )
Mfano: Kama wahitaji kufanikiwa kibiashara lazima uwe na elimu ya kufanikiwa hapa ndo utakuta mtu anataka kuwa kama Fulani ktk biashara ila...
Sina maana yoyote juu ya kupotosha imani ya mtu.
Umegundua mwisho wa kutafakari bila majibu ni Mungu anafuata?
Tumwachie Mungu
Mungu atatenda
Nk..
Ulistukaga anatajwa wakati unakwepa jukumu lako!?
Mfano:
Huna kazi. Wanatuambia tumwombe atupatie ajira.
Lakini ukweli ni mmoja tu.
“MUNGU...
1. Umasikini uliokithiri (CCM matajiri)
2. Viongozi wabovu (CCM wanarithishana uongozi)
3. Elimu duni (watoto wa wanyonge)
4. Afya mgogoro (vifo vya mama na watoto)
5. Katiba mbovu (ili CCM watawale milele)
6. Rushwa na ufisadi (kinga kutoshitakiwa hata kina Ndungai)
7. Lishe duni na...
Katika ngazi za Familia nyingi za Kiswahili utakuta Mtoto mwenye Mafanikio ya Kipesa kuliko Wenzake hata kama ni wa mwisho Kuzaliwa ndiyo anasikilizwa na Wazazi hata kama wale Wasiokuwa na Pesa ni Werevu na Wamesoma kuliko Yeye.
Katika Kamati mbalimbali za Jumuiya za Makanisa ( hasa langu la...
Leo nimeguswa sana kuleta neno la Mungu. Hii ituguse wote walioko CCM na wapinzani. Ujumbe ni wote.
Kwa muda mrefu sana kwenye haya maisha ya dhambi tumekuwa tukimlilia Mungu na kumuomba atupe hiki au kile. Wengi tunataka pesa, wengine hutaka mume/mke, watoto na vingine vingi. Sio vibaya kuomba...
Nlikuwa nataft principal ya economics hakika nmeipata"C",matokeo ya awal yalikuw n EDE,(hge),saivi naweza omba chuo na mkopo nikapewa 100%? Kwa kozi za biashara?, geog v economics(DC),naomben ushauri
Tunaoweka kumbukumbu sawa kwenye hii Video. Tunakumbuka hizi kauli zikitoka timu ya kampeni ya Hayati JPM, zikiongozwa na Nape Moses Nnauye na Abdulrahman Kinana chini ya mwamvuli wa Afya na uhai wa Rais atakayekuwa madarakani. Sihitaji kujua kama Msajili wa vyama vya siasa alikuwapo ama lah...
Habari,
Ndani ya miaka 6 ya Magufuli niliambulia annual increment moja tu ya November 2017, ambacho ni kiasi kidogo sana.
Kwa ufupi mshahara haujaongezeka katika kipindi chote hicho.
Miezi 3 tu ya Rais Samia Suluhu salary slip yangu pale juu imebadilika.
Watu wa imani tunaamini kuwa mateso...
Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo ...
Salaam wanajukwaa la Great Thinkers.
Nimekuwa nikitafakari umuhimu wa katiba mpya, na mapungufu ya Katiba iliyopo, ambayo inampa Rais madaraka makubwa ya kufanya anachotaka bila kuhojiwa wala kuwajibishwa na chombo chochote mpaka anakuwa na ukuu kama wa Mungu katika nchi yake.
Na hiyo...
Napendekeza hii salamu ifutwe tumurudie Mungu. Sababu nyingine ni hizi hapa.
1. Salamu ya Mungu inaliinua taifa. Mungu anakuwa karibu nasi siku zote hata kipindi cha Corona.
2. Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee inakosa consistency. Tutajikuta kila awamu tunabadili...
Mimi najiuliza tu,
Nchi yangu Tanzania, inakila aina ya rasilimali ya utakachotaka, Inazo rasilimali za kila aina, ajabu hakuna chochote tunajivunia licha ya kuwepo Rasilimali nyiiingi kiasi kwamba nyingine hazijawahi kuguswa tangu dunia iumbwe..!
Najuiliza pia, Ni kwa nini Mungu alitupa Hizi...
Nawasihi sana viongozi wetu kumtanguliza Mungu mbele katika vita dhidi ya corona. Msimwonee Mungu haya katika jambo hili. Usalama tulionao tofauti na mataifa mengine siri yake ni kwamba Rais wetu wa wakati huo alikuwa anaitisha maombi na kuhamasisha watu kumwomba na kumtanguliza Mungu mbele...