mume

Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.

View More On Wikipedia.org
  1. realMamy

    Rafiki wa Mume wangu............

    Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12 sasa hivi. Changamoto kubwa kwenye ndoa yangu ni kwamba mume wangu ni mtu wa kununa, kukasirika na kusikiliza sana marafiki. Ana rafiki yake mmoja ambaye tangu tuoane amekuwa akimsikiliza kuliko hata mimi mke wake. Mara nyingi tukigombana, hata tukikaa na...
  2. Alexido jz instagram

    MKE WA MSANII MR BLUE, KABAYSER WALIKUTANA NIGHT CLUB 2003, MPAKA SASA NI MKE NA MUME

    Mr blue alipo kua akihojiwa na ric msafii kafunguka mambo mengi kubwa zaidi ni inshu ya kifamilia amabapo amedai, mkewe yule shombeshombe, walikutana night club miaka hiyo kwa mara ya kwanza. Faida ya huyo mke wa Mr blue anadai kua mkewe ndio alien muachisha mambo ya kuvuta ma namna gani kwani...
  3. R

    Abadikishiwa mume kiaina

    Uswahilini na Pwani kuna vioja! Ina maana hapakuwa na kuchumbiana.. Ilikuwa mi papo kwa papo Itakuwa Mitaa ya mwambao wa Pwani
  4. Parabolic

    Tatu Senkondo: Mwaka mmoja umepita bila kumwona mume wangu aliyechukuliwa na watu wasiojulikana

    Deogratius Mushi *** Ukiwa umepita mwaka mmoja tangu zilipotokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tatu Senkondo, mkazi wa Mbezi jijini Dar es Salaam, anaishi katika maumivu na sintofahamu kufuatia kutoweka kwa mumewe, Deogratius Mushi, aliyedaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana...
  5. Manyanza

    Video: Mume alipia kodi ya nyumba miaka 14, nyumba ya mkewe

  6. Ziroseventytwo

    MAKUBWA: Senator amshukuru mume wake baada ya kushinda useneta...

    KUla chuma hicho.
  7. Frank Wanjiru

    Terry Bukuku: Mume wangu rudi nyumbani turudiane nimetambua kosa langu

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Terry Bukuku, kupitia video inayosambaa kwenye mtandao wa TikTok, ameomba msamaha kwa aliyekuwa mume wake, Juma maarufu kama Baba Ivone, huku akieleza kuwa anatamani warudiane na kuendelea kulea watoto wao watano. Katika ujumbe wake, Terry amekiri kuwa kiburi...
  8. Frank Wanjiru

    Mchungaji adai mume wa Zari bado yupo hai

    Mchungaji Mondo Mugisha ameibua mjadala mpya kuhusu kifo cha mfanyabiashara na aliyekuwa mpenzi wa Zari The Bosslady, Ivan Semwanga, baada ya kudai kuwa bilionea huyo hakufariki dunia kama ilivyoripotiwa mwaka 2017, bali bado yuko hai na amejificha. Kupitia video iliyosambazwa kwenye mtandao wa...
  9. OMOYOGWANE

    Mke na mume wakiachana hugawana mali zote! Je madeni ya mume yanaruhusiwa kugawanywa ?

    Hili ni swali kwa wana JF wote! Mume na mke wakiowana ikitokea wameachana mali hugawanywa sawa kwa mke na mume, swali je kama madeni yalihusika ktk utengenezaji mali yanaruhusiwa kugawanywa kwa mke na mume pia? Naomba nielimishwe
  10. N

    Amri ya Mungu inasema usitamani mke asie wako, haitaji mume

    Amri za Mungu zipo kumi. Mojawapo inasema usitamani mke asie wako...maana yake ni chukizo mbele za Mungu. Hata Daud mtumishi wa Mungu alipomtamani mke wa Uria ( I stand to be corrected) na kumpeleka mumewe mstari wa mbele ili afe amlale mkewe kwa nafas, Mungu alichukia sana. Lakini hakuna...
  11. McLaren

    Makonda: Rais kafiwa na mume wake kuna mjinga anaandika 'haonekani'. Mnapangia Rais lini atoke nje?

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema baadhi ya wanaharakati wamekuwa wakitoa hoja zisizo na msingi kuhusu Rais Samia Suluhu Hassan kutoonekana hadharani, akisisitiza kuwa watumishi wa serikali ni wawakilishi wa Rais katika kutekeleza majukumu yake. "Hasa nchi...
  12. M

    Mke wako azae mtoto mmoja na tajiri, Wewe mume ulipwe Bilioni 1 utamruhusu Mkeo?

    Wanaume, ukisikia mke wako anatongozwa na tajiri mmoja wa mji, tajiri akimtaka mke wako aingie naye kwenye mahusiano na kuzaa naye mtoto mmoja, ila wakati wa mazungumzo yanakuwa kama siri kwao wewe unayasikia tu kwa bahati mbaya. Ila yule tajiri anamwambia mkeo, ukikubali, nitawabadilishia...
  13. Alexido jz instagram

    Dada zangu wapenzi, usichukue mkopo bila kumshirikisha mume wako pliz pliz wata kukweka

    Inasikitisha sana, naandika huku kama nataka kulia kwa uchungu. Yule kijana wa morogoro amekaa zake dukani kapigiwa simu, kaka wahi kwako wanatoa vitu ndani watu wa mkopo, jamaa kafunga duka huyo nduki kwake akaone kunani, kufika watu wanabeba makochi sijui asset mbalimbali, kuuliza, JAMANI...
  14. M

    Kihasibu mwanamke anaelenga mali hawezi kufurahia mume kuugua asubiri afe. gharama za matibabu, jamii na ndugu vinaweza humfanya awahi kuomba talaka

    Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi: “Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.” Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
  15. Jidu La Mabambasi

    Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

    Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba. Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi. Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha. UPDATE...
  16. Yoda

    Msiogope, ni wanandoa au wapenzi wachache sana huwa wanauana

    Tanzania mauaji kati ya wanandoa, wapenzi au ndugu wa karibu kwa mwaka ni kama watu 300 tu nchi nzima, hiyo ni sawa na wastani watu 10 tu kwa mkoa mmoja kwa mwaka mzima. Ukiangalia takwimu hili ni jambo ambalo hata halipaswi kusumbua kichwa na kusababisha vijana na watu wazima kuandika nyaraka...
  17. haszu

    Mfano wewe mume ndio ungekua mke, ungekua mke bora kwa mume wako kama wewe unavyotarajia?

    Yani Akikufokea unakaa kimya humjibu kwa jazba na unamuomba msamaha hata kama kosa. Akikucheat humlipizii unapiga goti kumuombea kwa Mungu ambadilishe. Hata kama umechoka au huna hisia, akitaka penzi unampa na unatoa ushirikiano. Akichelewa kurudi unamsubiri na hukasiriki wala humuulizi huulizi...
  18. M

    Je, ni halali Mume wa Ndoa kutangulizwa Akhera ili hili litokee???

    Wanabodi, Naomba uchambuzi wenu katika hili. Nawasilisha
  19. O

    Bibi Aondoka Baada ya Siku 30, Mume Adai Refund ya Sh1.16M ya Mahari, Mbuzi, Chakula na Pombe

    Mwanaume mmoja wa Machakos aliingia kwenye ndoa ya Kamba customary akiwa ametumia zaidi ya Sh1.16 milioni, lakini ndani ya mwezi mmoja, ndoa ilikuwa imevunjika. Alienda mahakamani akitaka si tu divorce, bali pia refund ya Sh1,169,650 aliyosema alitumia kwa mahari, mifugo, chakula, sherehe...
  20. ChoiceVariable

    Tumemsikia Lissu akitoa Pole kwa Rais, Lakini Mbowe na Lema walipotoa Pole CHADEMA wamewashambulia; Kwanini wasimseme Mwenyekiti?

    My Take Nadhani kuna shida mahali Kwa nyumbu wengi wa Chadomo ambao wameshikiwa akili na Heche na Mange. Maboksi wao wameonesha utu hapa 👇 👇 https://www.instagram.com/p/DdPdRE-jKuC/?stkn=MXVlaW5mdDBqcjRrNg==
Back
Top Bottom