muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Ifike muda mindset zetu afrika zibadilike

    Kuna jambo Africa hua tunazingua kbsaa. Africa tunapenda kuonewa huruma kulalamika sana na ku pretend kua sisi ni wema kuliko mataifa mengine Siku hizi kuna wimbo wa ukoloni pamoja na mabeberu baadhi ya watu hutumia picha enzi za biashara ya utumwa ili kujenga chuki Wengi huona km mataifa ya...
  2. J

    Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa muda mrefu

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa Muda mrefu Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde leo ameshiriki na viongozi wa Kata ya Chigongwe kukagua zoezi la kufungua barabara yenye urefu wa kilomita 5.2 kutoka eneo la...
  3. CCM mpya mwacheni Rais Samia afanye yake, huyu ni Rais wa nchi sio wa CCM. Mlivyolivuruga Taifa inatosha, ni muda wa nchi kufufuka

    Wanajamvi Salaam, Tangu mama Samia apokee Kijiti cha kuwa Rais wa JMT. Binafsi sijawahi kuandika chochote humu ama kumpongeza ama kumkosoa Ila kwa yanayoendelea sasa,Sisi Wazalendo halisia kamwe hatuwezi kukaa kimya tena Lazima tuwajibu hawa waliojiita eti Wazalendo kwa kutafuna nchi. Leo...
  4. Wanyonge sasa muda wao na wao kuishi kama mashetani, sisi matajiri zamu yetu imekwisha

    Habari wadau..! Kipindi cha Magufuli wanyonge walikula bata ila ss nao wataishi kama mashetani mda si mrefu na kuna kila dalili hizo. Kuna dalili ya kwamba 1. Machinga kuondolewa kando kando ya barabara mda si mrefu 2. Wapo watakaopokonywa makazi yao na matajiri kwa propoganda za kwamba...
  5. Kuna muda huwa nashindwa kabisa 'Kuwaelewa' Dada zetu ( Wanawake ) hasa wa Kitanzania ( Kiswahili )

    Kila ukikutana nao utawasikia wakiisema hii Kauli yao wanayoipenda kuwa Wanaume wote ni Waongo ( Matapeli ) na kwamba Baba yao ni Mmoja. Kinachonishangaza sasa pamoja na Kuisema Kauli hiyo lakini Wakiendelea tena 'Kutongozwa' na Wanaume hao hao Matapeli ( Waongo ) bado tena huwa wanawakubalia...
  6. Jinsi ya kuboresha afya ya mbegu za kiume (sperms)

    Utengenezaji wa mbegu za kiume katika kiwanda cha kutengenezea mbegu katika mwili wa mwanaume (mapumbu) huchukua muda mrefu kuliko wengi wanavyodhani. Mfumo hutengeneza sperms kila siku, lakini mzunguko kamilifu wa sperm zilizokomaa kabisa unachukua kati ya siku 64 mpaka 74. Wakati wa mlolongo...
  7. P

    Rais Samia Mulika DAWASA, CEO wao hana uwezo, Wakandarasi na Wazabuni muda mrefu hatujalipwa

    Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne...
  8. Hatimaye Mahasimu wa Muda Mrefu Jay Z na Nas wamekutana tena kwenye Album ya Dj Khaleed

    Wimbo unaitwa SORRY NOT SORRY. Mpaka sasa nimeskiliza kipande cha Nas tu, navuta pumzi nimsikilize Jay. Licha ya bifu lao au mgongano kuisha toka miaka ya 2006 lakini hadi leo hii, wapenzi wa utamaduni na muziki wa Hip Hop hawaishi kuongelea msuguano huu uliotokea kwenye Album ya Nas...
  9. Muda wa Hersi Saidi na GSM kuulizwa uko wapi ubingwa,bado?!!!

    Kwa mwenendo wa ligi ulivyo ni dhahiri Simba Sc imeshakuwa bingwa wa VPL,tena amekuwa bingwa mara 4 mfululu. Ili Yanga awe bingwa inabidi Yanga afunge mechi zake zote 7 zilizobaki na Simba Sc apoteze mechi 4. Ni never ever. Sasa basi, wakati ligi inaanza Eng.Hersi aliwaaminisha wana Yanga...
  10. Ni muda muafaka sasa Rais Samia kuanza safari za Ulaya na Marekani

    Wakati wa kupigania Uhuru Nyerere ilibidi asafiri kwenda ulaya na Marekani kuhutubia umoja wa mataifa ili aaminiwe apewe uhuru. Kwenye njaa ya mwaka 1984 nyerere pia alipanda ndege kwenda kuomba msaada wa chakula na akapewa mahindi ya yanga. Uku nchini kwake akiendelea kuwaimbisha watu siasa...
  11. Kwa muda mfupi sana kiongozi wa Tanzania alipata maadui wengi sana

    Kwanza kabisa ni wanachama wenzake ambao walishazoea kupiga madili makubwa. Hawa walishazoea kukwapua mabil ya shilingi na wao huona kama wamekwapua shilingi elfu moja. Hawa walishamchukia sana kwa kuziba mianya yao ya upigaji. Pili ni wanasiasa wa upinzani ambao baada ya kusambaratisha vyama...
  12. Muda umefika sasa Tanzania na Zanzibar kuungana

    Habari wadau..! Msema kweli ni mpenzi wa Mungu licha ya ka degree kangu nilichonacho na kukalili vizuri Civics na History na kupata A bado Muungano sija uelewa. Binafsi naona kama Tanganyika na Zanzibar hazijaungana bali zina mashirikiano katika baadhi ya mambo. Nashauri sasa Tanzania (sio...
  13. Kimbunga Katrina kilikuwa na speed ya 174MPH, Kimbunga Jobo kitapiga kwa speed ya 30MPH, je , kuna haja ya kupoteza muda kukijadili?

    Ni ukosefu wa kazi za kufanya au ni nini? Picha ni kama zinavyojieleza hapo chini.. Update: https://www.jamiiforums.com/threads/updates-kimbunga-jobo-chafikia-kilometa-76-mashariki-mwa-mafia-chasafiri-kwa-kilometa-20-kwa-saa.1863353/...
  14. M

    Kuna muda huwa nashindwa kabisa kuwaelewa Waafrika dhidi ya Marais wao waliowaumiza na kuwaongezea Umasikini mkubwa walionao sasa (leo)

    Hivi Rais kama Idriss Deby wa Chad ( sasa Marehemu ) Kwanza amedumu Madarakani kwa miaka 30, Katesa na Kuua sana Watu, Kaharibu Demokrasia nzima ya Chad, kazaa na Wake za Wateule wake, alikuwa Mkabila na Mdini, kapendelea mno Kwao, wala hakujali Wafanyakazi wake kwa Kuwaongezea Mishahara yao...
  15. Chadema mlishapigwa bao la mkono waacheni akina Halima wale bata, kelele zenu ni kupoteza muda

    Kichwa cha hanari chajieleza. Maana kwa chama makini kabisa baada ya kuona katiba ikisiginwa basi ilikuwa ni muda muafaka wa kwenda mahakamani na kupinga kuapishwa kwao na wao kuwa wabunge. Mbowe na Mnyika walichukulia poa na kuliona hilo tukio kama la kawaida. Na kwa sababu walishazoea...
  16. H

    Kuvuka muda wa kuchoma dozi ya pili ya chanjo ya homa ya ini (hepatitis B)

    Salamu waheshimiwa. Nilipata chanjo ya homa ya ini (hepatitis B) dozi ya kwanza tarehe 26/3/2021, nikaambiwa nirudi kupata dozi ya pili baada mwezi mmoja yaani dozi ya pili natakiwa nipewe tarehe 26/4/2021 Kwa bahati mbaya sana nipo mbali na hospitali kwa sasa, ninauliza je nikichelewa wiki...
  17. Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

    Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi. Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya. Kifo...
  18. Mwendazake alitumia muda mwingi kuwatukana wengine, sasa ni malipo yake

    Heshima yenu wakuu Kinachotokea kwa sasa mitandaoni, bungeni na mitaani ni matokeo yaliyopandwa na mwendazake. Bungeni kuna mmyukano mkali, mitandaoni ndio hakufai. Wapo wanaomponda mwendazake na wapo wanaomsifia. Jambo moja la kuweka kichwani ni kuwa mwendazake alipokuwa hai wasifiaji na...
  19. Kuna muda unakata tamaa mpaka mwisho ila baadae unakuja kupata njia

    Natumaini ni wazima wa afya ndugu zangu, Apr 2016 zinatangazwa nafasi za jtk kwa kujitolea mjomba anauza ng'ombe mmoja kwa 600k anahonga unapata nafasi, unapangwa kikosi flan cha jkt. Unafika kikosini mnaambiwa as you where mrudi nyumbani mpaka pale itakapotangazwa tena. Unarudi nyumbani...
  20. Sioni faida ya Bunge hili kwa Wananchi, sio kwa uwakilishi wa kero zao wala kuisimamia Serikali, livunjwe tusipoteze muda

    Ni dhahiri hili bunge linaweza kuwa Bunge lisilo na tija kwa wananchi tangu nchi yetu imepata uhuru. Hata bunge la Chama kimoja enzi hizo wala halikuwa kama hili la sasa Kitendo cha kufanyia 'figisu' wapinzani na kuwabeba wagombe wa Chama kimeleta madhara makubwa sana kwa Taifa letu ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…