MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Mapovu ya keyboard warriors yamejaa mitandaoni baada ya tetesi ya kwamba Rais anaweza kuongeza muda wake kwa kuongoza awamu nyingine kupitia katiba inayoweza kupitishwa bungeni.
If that will Happen, MTAFANYA NINI ? 😂😂
Haya twendeni kazi wazee wa "tunalaani vikali" na wachimba mikwara kwenye...
Kocha wa Simba Steve Barker yupo mbioni kujiunga na msasanda Wana mamelod sundown.
Inasemekana
Msauzi Huyo kapata diili ndefu Sana so muda wowote anaweza kutimka
Baadhi ya vyombo vya habari vya s.africa vimeanza kuripoti taarifa
Wazee wa aina kama Mangungu, Aden Rage, Mzee Dalali, muda wenu wa kuiongoza Simba SC umeisha. Tunawashukuru sana kwa kuifanyia klabu mambo makubwa kwa wakati wenu. Sasa ni muda wa Simba kuongozwa kisomi.
Ni muda muafaka sana Simba SC kupata Mwenyekiti atakayeenda na wakati tuliopo, atakayekuja...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwatahadharisha CHADEMA na Lissu wao kuwa kama na ikiwa watajaribu Kukata Rufaa basi watakuwa wanajisumbua na kujipotezea Muda tu .
Kwa Sababu kwa Sasa Muda Siyo Mrefu Majaji Wataanza kwenda Likizo Ya Mwisho wa Mwaka ambapo kurejea kwao ni kuanzia 2027 mbele...
How to survive in Tanzania:
1. Sina
2. Sitoweza
3. Sitaki
4. Haitowezekana
5. Sijui
6. Asante
7. Sipo
Ukiweza kusimamia hii Utaishi maisha marefu yenye Furaha.
Wadau hii hali mpaka inanikera kabisa huyu mke wangu akiwa ndani muda wote anakuwa mtupu tu. Mtoto akienda kucheza na wenzake anavua na kubakia na pichu tu. Binafsi sipendezwi na hii hali nishamwambia aache hii tabia ila hasikii.
Muda mwingine umetoka zako kazini mara anakuja kukukalia daaah...
Mpaka muda huu roho yangu inaugulia maumivu makali sana ikiwa mti mbichi wameutenda kiasi hiki Tundu Lissu
Itakuwaje kwa mti mkavu kwa watanganyika wasiojulikana kimataifa kama Lissu?
Mmembambikia kesi ya uongo bado hata hamjali afya yake kweli Nduguru na wenzio ipo siku mtajuta kutumika, hata...
J
Kila siku, nyumba, ofisi, maduka, hoteli, shule na majengo mbalimbali yanahitaji kusafishwa. Baadhi ya wamiliki wanafanya usafi wenyewe, lakini wengine wanahitaji watu au kampuni zinazoweza kutoa huduma hiyo kwa malipo.
Hapa ndipo inapopatikana fursa ya biashara ya Cleaning Services, yaani...
Haipo kitikadi wala kiimani hili kundi dogo lililojimilikisha hii inchi limeshamua liwalo na liwe ukiwa ccm wanapita na wewe ukiwa mpinzani wanapita na wewe ukiwa mkristo au muislam au mpagani wanapita na wewe wanalinda maslahi yao siyo ya nchi tena kiufupi huu ni muda wakuwakabili kama kufa...
Toka mwanzo hakukuwa na kesi.
Pamoja na kwamba hawana akili, lakini wana akili za kutosha kutambua kuwa Lissu kawazidi akili.
Hivyo, hawawezi kupambana naye kwenye uwanja wa fikra na hoja.
Njia pekee ya kupambana naye ni kumzushia na kumbambikia kesi.
Hebu acheni hayo. Imetosha sasa. Hakuna...
Bodaboda aliyemgonga doctor Sokile pale Sayansi Dar es salaam siku ya 30-10-2026 na kumuua sijui anajisikiaje saa hii.
anazikwa leo 6-11-2026.
BODA BODA ASIYE NA LESENI ALIYEKUWA ANAKIMBILIA ABIRIA WA ELFU MOJA AMETTULIA MTU HUYU:1
Elimu ya Juu:
Ana Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Masomo ya...
Unataka waache kupakuana wakupakue wewe?
Juzi jamaa mmoja aliyefukuzwa kazi polisi nilikuwa tunapiga naye story na nikasema Mimi nimewahi kukwepa mitego kadhaa ya mashoga walitaka niwapakue.
Mashoga 3 live kabisa watu ambao huwezi kudhani kuwa kipa kahama golini. Na wengine huko mitandaoni...
Serikali ilijua hamna mvua ila kuna joto, kwanini waliamuru watoto warudishwe nyumbani mapema?
Kwanini waliamuru nyumba zibomolewa mabondeni na watu wahame?
Hizo bil 739 zinazuiaje joto?
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa maelezo kuwa "Wakazi wa eneo la Busenga wanahudumiwa kutoka vyanzo tofauti, wapo wanaopata huduma kwa uhakika na wapo ambao tunafahamu ipo changamoto ya kutofikiwa na huduma kikamilifu.
"Mamlaka tayari imepanga kutekeleza...
https://www.youtube.com/live/fgScnH9W6rA
TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) ULIOFANYIKA SEPTEMBA, 2026
UTANGULIZI
Katika Mkutano wake wa 173 uliofanyika tarehe 02 Novemba, 2026 katika ofisi za Baraza la Mitihani la Tanzania zilizopo Dar es Salaam, Baraza la...
Milipuko mitano imeripotiwa katika Kisiwa cha Qeshm nchini Iran, huku wakazi wakisema pia waliona ndege mbili zikipaa angani. Mamlaka za Iran bado hazijatoa maoni yoyote kuhusu taarifa hizo. Milipuko mingine imeripotiwa pia karibu na mji wa Bandar Lengeh, ulio karibu na Mlango-bahari wa Hormuz...
wanangu, hebu tusidanganyane hapa mtaani. Maisha ya sasa hayana pause wala rewatch, yanakwenda mbio kuliko sana. Unajikuta kijana unakomaa kutwa nzima kwenye vijiwe vya kahawa unajadili mipango ya mpira au unapoteza data kusubiri miujiza kwenye mitandao ya kijamii wakati mfuko wako unasoma zero...
Siku za hivi karibuni nilijikita kwenye kutongoza single mothers,hawa watu bana wana mahasira muda wote,yani mnaweza mkawa kwenye conversations za kawaida tu,Mara ghafla mtu anaanza kuwa mkali tu bila sababu za msingi.
Shida ni nini,kwa nini hawa watu wanakuwa na mahasira kiasi hiki?
Mimi ni mfanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu (Simiyu RRH), niliajiriwa miaka kadhaa iliyopita. Kwa muda ambao nimefanya kazi katika hospitali hii, nimekuwa nikishuhudia changamoto nyingi, ikiwemo tuhuma za wizi na upotevu wa mali na fedha za hospitali.
Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.