Wazee wa aina kama Mangungu, Aden Rage, Mzee Dalali, muda wenu wa kuiongoza Simba SC umeisha. Tunawashukuru sana kwa kuifanyia klabu mambo makubwa kwa wakati wenu. Sasa ni muda wa Simba kuongozwa kisomi.
Ni muda muafaka sana Simba SC kupata Mwenyekiti atakayeenda na wakati tuliopo, atakayekuja...