mtu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwani urais Tanzania unatokea kama zari? Kwa nini mtu akijiandaa nao anaonekana amekosea sana! Which is which, zai ka la jpm au kuniandaa?

    Hii tamadani inayojijenga tanzania siyo nzuri kabisa. Mtu akijiandaa kwa mda mrefu kwa ajiri ya urais ataundiwa zengwe mpaka ataonekana ni jambazi. Ninachofahamu mimi kila position huwa ina maamdalizi kwa anayetaka siyo kumlazimisha kama alivyolazimishwa jpm. Na ndo mana uongozi wake kulikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hapa nilipo mtu mwenye voda akinipigia simsikii, ila yeye ananisikia, tatizo hili lipoje? Natumia Airtel

    Tatizo ni mahali nilipo mnara wa Airtel unasumbua au wa Voda au nini? Mitandao mingine tunasikilizana vizuri.. Msaada
  3. JamiiForums Tanzania Naitaji mtu wakumsaidia kuwekeza kwenye soko la mbao

    Karibuni
  4. JamiiForums Tanzania Ndoto za kuwa mtu flani kwenye Tehama Tanzania

    NDOTO ZA KUWA MTU FLANI KWENYE TEHAMA Kirefu Cha neno Hilo ni Teknolojia ya habari na mawasiliano, taaluma AMBAYO Hadi mwaka huu 2024 hazija waingia watu wengi na waliyo nayo wengi nchini Tanzania ni wa binafsi wa maarifa na wenye kukatisha tamaa wale wanao taka kujifunza. Na hii ni sifa...
  5. JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Kila Mtu amlinde mtoto wake, kuna watu kwa tamaa wanawateka watoto

    Prof. Mkumbo Kufuatia hali ya sintofahamu iliyoripotiwa kutokea eneo la shule ya msingi iliyopo Mburahati Kata ya Mkurumla iliyopo Wilaya ya Ubungo kwa wazazi na walezi kukusanyika kwenye eneo la shule kutokana na hofu ya madai ya watoto kutekwa, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya kudokeza ulinzi wa Rais uimarishwe naona mtu kabadilishiwa majukumu, ni mkuu wa Misafara ya Rais

    Kuna jambo moja Hatari lilikuwa limepangwa dhid ya Rais Samia nikatoa angalizo, Ila baadae mliona ana msafara wa magari 120 na ulinzi mkali; ni pale ambapo walipanga kumfanyia mafia Naona ameamua amtoe muhusika wa ulinzi hadi kuwa RAS Kilimanjaro kutoka kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi wa Rais...
  7. JamiiForums Tanzania Usimpatie mtu kazi kwa kumuonea huruma

    Kama una ofisi yako au biashara, usimuajiri mtu kwa kumuonea huruma. Ajiri kwa kuwa ana uwezo wa kukuzalishia na kukuingizia faida, katika biashara yako. Wako vijana wengi wanaomba kazi kwa kigezo cha kuonewa huruma, atasema nategemewa na familia, mara mke, mara watoto nasomesha; sasa hayo yote...
  8. JamiiForums Tanzania Hela yote ya Dubai kaichukua, mtu kategwa kategeka mtego waaa!

    Hili jukwaa linaloheshimika sana ! Bwana mkubwa wa hapo beirut Kachukua maamuzi na ku freeze Pesa yooote ya Mauzi ambayo ilikuwa kwenye bank Dubai, account imekuwa freezed kwa maagizo ya Serikali ya Beiruti Nimekumbuka kwenye corridor fulan tulikuwa tunaongea kwa Makamu wa Ufalmeni hapo...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, CCM wanaweza kufanya hivyo 2025?

    Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, na Senior MCC Members in AZT nao wataweza Kumkataa Mtu 2025? Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024 Kwani wengi wao ukikutana nao Wanamkataa Mtu Fudenge kabisa ila mbele ya Mic...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu aamue Nini pale ambapo unapendwa sana na mtu usiempenda

    Unakuta mdada anapendwa sana na kijana ana mshawishi Kila siku ampeleke kwao kumtambulisha Ili taratibu zingine za ndoa zifuate lkn unakuta mdada hampendi kabisa huyo kijana lkn huyo mdada Mahali anapopapenda hapendwi Wala hakuna malengo lkn yeye ndio unakuta anaona ni mwanaume wa ndoto zake...
  11. JamiiForums Tanzania Mume wa mtu sumu kweli?

    Niwape story,niliwahi date na mume wa mtu ,tukaachana kwasababu tu ya kushift mkoa lakini tukawa tunaendelea na mawasiliano japo kwa mwezi tunaweza kuwasiliana Mara chache,uyu kipindi tunadate aliwahi omba picha za uchi,lakini sikuwahi mtumia!!!! Sasa si mnajua kuna kumisiana Leo kaomba tena...
  12. JamiiForums Tanzania Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa

    Nimejaribu kuwaza watu wanaochepuka na wake au waume za watu wanajitambua kweli? Hivi wanajua chemistry iliyojengeka kati ya mtu na mwenza wake? Hata kama wenyewe kwa wenyewe watagombana waache lakini usimvue nguo mke au mme wa mtu. Labda mwenyewe ajifunge kwa maneno yake na kujihakikishia kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nini ulijutia Baada ya Kufanya Ngono zembe?

    Hakika sitasahu Hii kitu, Nilijiamini Mimi Mwenywe Nikamuamini Na Huyo Mwanamke,Nikashiriki nae Tendo bila ya kutumia Kinga Nikawa wa moto kwenye Mechi Nachapa Miguu yote Mara Nashika dimba Mara Nafunga Magoli ya kichwa Mpaka la Mkono Nikaitendea vizuri Mechi Kumbe upandacho Ndio Uvunacho Bada...
  14. JamiiForums Tanzania Unawasilianaje na mtu msiyeelewana lugha?

    Ikitokea umekutana na mtu amabaye hamuelewani lugha kabisa iwe katika mambo ya kijamii, kazi, biashara au michezo na hakuna mkalimani huwa mnawasilianaje muelewane? Yaani kama unajua Kiswahili tu na umekutana na mtu anajua Kifaransa, Kiarabu, Kichana au lugha nyingine tu tofauti na Kiswahili...
  15. JamiiForums Tanzania Familia yenye 5 generations wote wapo hai.. kila mtu na mama yake. Bibi wa bibi unamwona yupo hai

    Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu. Kama hela ipo kuzaa mapema raha sana.. wote wamezaa wakiwa early 20s.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa kama hata Makonda naye aliteuliwa basi kila mtu anaweza.

    Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi. Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna mtu anatafuta mke yupo serious

    Kanitumia hivi HAbari dada naitwaa f natafuta mke wakuoa awe umri kuanzia 22 mpaka 25 ., awe maji yakunde , mrefu wastani, asiwe mnene wala mwembamba sana . Awe anaishi dar , awe anafanya kazi Awe yupo tayari kuwa mke. Ila asiwe mchaga. Muhitaji ni mwajiriwa , mkristo Ni mpenda kanisa . Mrefu...
  18. JamiiForums Tanzania Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

    Tupeane uzoefu , ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza, inasemekana mazingira unayokutana na mtu huwa yanatoa mustakabali wa penzi lenu na yanaeleza tabia ya mtu, kama ni mtaani, uswazi au ushuwani, Bar au kwenye nyumba ya ibada n.k. Je, ni kweli mazingira huwa yanafungamana na...
  19. JamiiForums Tanzania Kenya: Ilikuaje hadi mtu mmoja anaua watu 42 bila polisi kujua?? Je muuaji ni mwerevu kuliko vyombo vya usalama?

    Sakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa unagundulika ni wa kijana anaitwa…densel Omondi… raia wanadhan kua aliuawa na vyombo vya usalama...
  20. JamiiForums Tanzania Tuseme ndio umeenda lodge na mchepuko wako ghafla ukakutana na mwanandoa mwenzako nae pia ana mtu wake. Je utachukua hatua gani?

    Karibu wakuu, both ME na KE.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…