mtu

  1. JamiiForums Tanzania Je inawezekana kuijua ID ya mtu kwa kutumia screenshoot aliyoituma au link alizo share mtandaoni?

    Habari wakuu, Kwa mfano tupo kati kati ya mjadala fulani wa michezo nikaamua kuingia google nikaenda kwenye website ya mwanasport ni mfano tu lakini nikascreenshoot picha kama hii hapo chini Kisha nikaipost humu ili kunogesha mjadala Inaonyesha muda nilio screenshoot ni saa 12 na dakika...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu namwona huko Mkutanoni wala hasikilizi Hotuba za Wenzake bali anaandika andika tu huku akiwa anatetemeka vipi hatotoa Boko kweli?

    Niliyemuona ni Mimi peke yangu tu au? Sasa kama ana ya kuandika ADC wake na Wasaidizi wake wana Kazi gani? ANGALIZO Nimesema kuna Mtu na wala sijamtaja Jina, sasa Wewe jipendekeze au washwawashwa ukurupuke nami uyakoge.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au Sabato!

    Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo. Wadau hamjamboni nyote? Ukitaka ukosane na Ndugu zetu Wasabato wewe...
  4. JamiiForums Tanzania Viashiria 7 kuwa wewe ni mtu wa thamani kubwa

    1.Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwakosea heshima. Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwapandishia sauti. 2. Unaanza kujitokeza na kuondoka katika muda ulioupanga. Watu wanakufahamu kwa umakini wako wa muda. 3. Unaacha kuwahukumu watu kutokana...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewahi kupewa hukumu ya kufungwa katika rushwa ya ngono?

    Sijawahi kuona mantiki ya hizi harakati za kinachoitwa rushwa ya ngono, huu ni kama ubabaishaji, ujanja wa kujipatia kipato kwa harakati uchwara na kuipoteza muda tu jamii.
  6. JamiiForums Tanzania Nenda kokote uendako! Kipimo cha akili na utimamu wa mtu lazima akili na kuthibitisha kwa vitendo kuwa kuna Mungu

    Kumeibuka kwa Wimbi la watu wenye kiburi cha uzima wanajiita "atheist" na kujizolea umaarufu! Ukweli ni kwamba kama hujui kuwa kuna Mungu na hujawahi kumuona maishani mwako wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha juu! Kwa wakristo tunakumbuka Mithali 14:1 "Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna...
  7. JamiiForums Tanzania Leonardo aache kujiona msomi, kama ni degree kila mtu anayo

    Huyu dogo ni limbukeni sana analazimisha vichekesho vinavyohusiana na shule,higher kearning ili aonekane msomi, Mara ohh mama yangu ni mwalimu,so what??? Wengine mama zetu walikuwa malecturer, Wengine mavyeti yanajaa sanduku ila tumechill tu. Aache ushamba kama ni degree kila mtu anayo,tena...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye sunstone, kama unajua location au mtu. Zinahitajika

    Mwenye sunstone na uko Dar es Salaam, Morogoro karibu tuzungumze Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone. Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze. Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Mtu akikamatwa Ijumaa anapata dhamana Jumatatu? Hii imekaaje wasomi?

    Hivi dhamana si haki ya kikatiba? Why Police officer on duty denied to bail person presumed innocent ? Hii imekaaje, Wasomi reasoning ya kwamba ni weekend ina mashiko kweli?
  10. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na vijisenti vyako, unatongoza tongoza hovyo, unaishia kuwekwa mtu kati unalipa fidia ya ugoni.

    unaweza kuchukulia poa ila ukweli ni kwamba bwana na mke wake wanaweza panga njama za kula pesa zako. Hizi ishu zimeishafanyika sana sema tu huwa ni chini chini mtaani. Bwana anajua unatembea na mke wake alafu na yeye akiangalia hali yake apechi alolo na pesa ya kulipa mabaunsa wakufumue choo...
  11. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ni saccos ya mtu

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada mtiifu na Mzalendo kwa chama cha Mapinduzi na ambaye anajutia uamuzi wake wa kupoteza nguvu zake na muda wake wa miaka takriban 20 kuwa ndani ya CHADEMA. Amsema kuwa CHADEMA ni Sacco's ya mtu ,ambapo...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho hujawahi kujua ni gharama hadi ulivyokuwa mtu mzima?

    Kwa kuwa sasa nimekuwa mtu mzima, nimegundua kuwa nimekuwa na bajeti kali, hasa linapokuja suala la vitu vya kupikia. Nakumbuka zamani nilivyokuwa nikigombana na mama kuhusu matumizi ya mafuta ya kupikia; mara nyingi nilikuwa naweka mafuta mengi kwenye chakula, na kama yakizidi, nilikuwa nachuja...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wenye Tattoo ni waongo kinoma

    Anasema kuwa anajuta kuchora Tattoo kwenye mwili wake lakini cha kushangaza ni hataki kuzifuta hizo Tattoos. Wengine sasaivi wamegeukia upande wa dini lakini bado wanazo hizo Tattoos na hawataki kuzifuta. ACHENI UNAFIKI AISEE!
  14. JamiiForums Tanzania Mtu Gani humkubali humu kwa pigo zake?

    Mtu unajianzishia Uzi wako anakuja kucoment ilimradi akukere. Tag anyone you wish. Me naanza na Lucas Mwashambwa
  15. T

    JamiiForums Tanzania Uliishije baada ya kugundua huna nyumbani tena , wala huna mtu yeyote wa kusikiliza shida zako

    Wakuu kwema. Naomba tusaidiane huu uzoefu
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaamua kuwa na mahusiano au kuzaa na mwenza wako hakikisha ni mtu sahihi

    Habari! Leo mchana nikiwa ofisini kwangu somewhere in Dar amefika dada Mwenye umri wa miaka 24 Amekuja kwangu kimakosa alielekezwa aende kwa Afisa ustawi wa jamii wa kata yake kwani ana changamoto za kimahusiano na mwenza wake Kiukweli shauku ikanijia nikamuuliza kwanni unataka kwenda ofisin...
  17. JamiiForums Tanzania Kisheria ikoje ikiwa mtu ataahidi kufanyiwa kitu kubaya Kwa hiari yake

    Leo match kati ya Simba na Yanga Watu wamekuwa wakitoa ahadi mbalimbali ambazo Kwa sheria zetu ni kinyume kufanya lakini wengine wameahidi Kwa maandishi na wamesaini kabisa Mfano Mwijaki ameahidi Yanga akimfunga Simba basi mke wake ni halali yetu wanayanga Mwingine ameahidi akatwe kende...
  18. JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa/kuolewa na mtu mwenye changamoto ya usikivu/ulemavu?

    Kuna jamaa yang ana shida ya kutosikia vizuri, anasema tatizo alilonalo limemfanya awe anakosa mwenza (Anakataliwa). Ni kweli kuwa watu wenye changamoto ya ulemavu wanatengwa na jamii?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya Israel: Hamas imechagua mtu hatari zaidi kuongoza harakati hiyo baada ya Haniyeh

    Shirika la Utangazaji la Israel lisema kuwa uteuzi wa Sinwar unashangaza na ni ujumbe kwa Israel kwamba yu hai na kwamba uongozi wa Hamas huko Gaza uko imara, upo na utabaki. Kwa upande wake, mchambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati wa gazeti la Times of Israel, Avi Iskharov, amesema kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Simba Vs Yanga Ngao ya Jamii 08/08/24 anakufa mtu

    Hili ni Pambano jepesi kwa Yanga. Ushindi upo wazi kabisa wala hauna ukakasi. Wa magoli mangapi ndo hatujajua. Lakini zilikuwa ziwe 3 Yanga 0 Simba. Naona mpambano bado ni mkali. Nitaendelea kuwaletea updates hapa kuanzia muda huu. Makomandoo kwa hii siku ya leo 07/08 wapo Uwanjani kurekebisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…