mtu

  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa press hii, Polepole anakivuruga chama, atafutwe mtu mwingine wa kufanya press

    Uchaguzi na propaganda ukaa pamoja siku zote. Lakini propaganda zisivyopangiliwa vyema zinaweza kuwa mwiba kwa anayesimuliwa. CCM fanyeni maamuzi magumu, kubalini kuwa Polepole amepwaya kwenye hiyo nafasi, kubalini kuwa ni kipindi Cha kutafuta wabobezi waingie kazini si kuruhusu watu kama...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ukipitishwa kuwa mgombea Urais maana yake una sifa ya kuwa Rais. Acheni propaganda za mtu makini

    Watu wa chama Tawala jengeni hoja mkiwashawishi wananchi wawachague, wao wanajua Nani Ni makini na Nani siyo makini. Mkikosa kutambua sifa za mgombea Urais Ni zipi msitulazimishe kwa sifa ambazo azikuandikwa, sifa ya makini sijui mzoefu subirini iandikwe kwenye sheria lakini Kama haipo sisi...
  3. JamiiForums Tanzania Majaliwa: Kiti cha Urais sio mchezo, kinahitaji mtu makini

    MJUMBE wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa amesema kiti cha urais siyo cha mchezo, kinahitaji mtu makini. “Uongozi wa nchi siyo jambo la mchezo, linataka kiongozi makini, kiongozi anayetetea rasilmali na anayetetea wanyonge dhidi ya rushwa na ufisadi,” amesema...
  4. JamiiForums Tanzania Hiv mtu akisema yeye ni virgo, anamaanisha nini?

    Hiv mtu akisema yeye ni virgo, anamaanisha nini?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mtu mweusi maskini akipata hela nyingi anakuwa limbukeni

    Inakuwaje wanaJF! Ni ulimbukeni kujirokodi ama kupost I na mihela mingi. It is a very sad display and lack of humanity and dignity.
  6. JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, "mtoto wa Nyoka ni Nyoka"

    "MTOTO WA NYOKA NI NYOKA" Na, Robert Heriel Panya huzaa panya Paka huzaa paka Mbwa huzaa mbwa.,.....n.k Mtoto wa nyoka ni nyoka, wahenga walisema kisha wakaongezea, maji hufuata mkondo. Baadaye Yesu wa Nazareth akasema; huwezi chuma tini kwenye zabibu" Hii ni kusema, muembe huzaa maembe...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu anapouaminisha Umma kuwa atakuwa Rais bora kupitia hulka za mtu aliyesomea Sheria

    Kwanza nikiri wazi kwamba mtaji wa siasa ni maneno matamu, lakini siasa ni adui mkubwa wa ufahamu na nirafiki wa shetani, mwanasiasa si wa kumwamini 100% kwa sababu siasa ndio chanzo mabaya yote duniani. Tokea nimemfahamu mtu aitwaye Tundu Lissu nimejifunza kitu baada ya kufuatilia watu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Tume Huru, kuna mtu angekuwa anapiga magoti majukwaani hivi sasa

    Huyu mtu pamoja na kiburi alichonacho, hivi sasa anaishi kwa hofu na mashaka kwani anajua lolote linaweza kutokea Oktoba 28 na ndio maana mnamuona anahangaika kutoa kauli za kujaribu kurekebisha makosa yake ya Siku za mwanzo (kavurugwa). Ukweli ni kwamba, anajua uwezekano wa yeye kushinda ni...
  9. JamiiForums Tanzania Waafrika nani katuloga lakini?

    Hivi ni mimi tu pekeangu huwa najionea kwa hawa ndugu zangu weusi wakiwashangaa white people's! Akionekana muzungu anatembea iwe kwa miguu ama kwa gali wanamshangaa, akionekana mwarabu, mhindi ama mchina wanamshangaa ata kama wanaishi mji mmoja but watamshangaa tu,kana kwamba awajawai kuwaona...
  10. JamiiForums Tanzania Njia ya rahisi ya kumkamata mtu anayekudanganya/muongo

    Kwenye maisha ya kila siku tunakuwa tunakutana na watu mbalimbali kuna time tunahitaji majibu ya ukweli especial kwenye mahusiano. Hizi ni alama za kutambua kama mtu anadanganya. 1. If he raises his eyebrows when he says "How would I know", then he probably knows. 2. Ask him questions. If he...
  11. JamiiForums Tanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu yangu; Mtanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama wa taifa usifurahie wala kuchekelea. Hiyo sio sifa njema hata kidogo. Unaweza ukadhurika au kuuwawa kwa bahati mbaya (Mistaken Identity); Huko mtaani mnapoishi...
  12. JamiiForums Tanzania Kama kuna mwenye wimbo wa Munishi kuhusu CCM, naomba

    Habari wana JF! Please, kama kuna mtu ana kile kibao cha yule mwanamuziki Munishi kinachoitwa CCM naomba anipatie hapa. Yule jamaa yupo wapi siku hizi? "miss sana yule mtu"
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kampuni/ofisi yenu inahitaji mtu wa IT?

    Msaada, kazi yoyote inahitajika. Habari ndugu na poleni na michakato ya uchaguzi, kijana hapo chini anatafuta ajira lakini pia anaweza kufanya freelancing yaani kama una kazi ya mara moja unampatia kwa makubaliano. Elimu: Bachelor's degree(IT) Experience: 5 years. - Network and System...
  14. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Mtu aliyethubutu kumpinga Dkt. Mpango siwezi kumteua nafasi yoyote

    Rais amesema anashangaa sana kuona mtu anajitokeza kumpinga Dkt. Mpango, kwani kwa namna Dkt. Mpango alivyosimamia uchumi vizuri, hakupaswa kupingwa na mtu yeyote. Cha ajabu ni kwamba, muda mfupi kabla ya kusema hayo mheshimiwa alisifia ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.
  15. JamiiForums Tanzania Hatutaki kuongozwa na mfumo ambao kila mtu kwenye taifa anakuwa mateka

    Kwakweli Kama tunataka mustakabali mwema wa taifa Basi tufwate matakwa ya wananchi. Waacheni watu wachague wamtakae msiwachagulie watu Nani wa kuwatawala. Mfumo wa Sasa umemfanya kila mtu kuwa mateka (terrorised) society. Binadamu amezaliwa huru kabisa na mungu ametupa Uhuru toka day one...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo lakini akakupa ushauri wenye thamani kuliko pesa uliomuomba

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Hivi mnajua, kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo, lakini akakupa ushauri wa maana wenye thamani mara 3 zaidi ya pesa uliomuomba? This is my true story ========= Siku moja nikiwa chuo kikuu...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu mwingine anacharaza GUITAR kama huyu mwana mama?

    Kwanza nimeshindwa kuamini nilipo iona hiyo clip kwa mara ya kwanza Maana mkono wa huyo mama unatereza juu ya nyuzi za gita kama moja ya mikono ya wale viumbe walioumbwa pamoja na lusifa Sasa nisikuchoshe video ina dakika 2 na sekunde 42. Nina uhakika ukifika sekunde ya 58 utakuwa umeshakubali...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kuanzisha naye biashara

    Naitwa max Fernandez nipo DSM nahitaji mtu wa kushea naye biashara
  19. JamiiForums Tanzania Siku hizi kila mtu anataka kuwa developer, yaani any form of developer! kwanini unajisumbua?

    Haswa kwa wanaume, ila wanawake mnajielewa sana pongezi kwenu. Basi siku za hivi karibuni kila mtu anataka kuwa developer, oh! si dhambi, lakini inagharimu muda, pesa na nguvu. Mtu anashida flani inayohitaji developer basi anajifanya mjanja mjanja huku anataka solution bila kughalimia...
  20. JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananiomba niigize kama jamaa yake

    "Hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo. Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…