mtu

  1. JamiiForums Tanzania Mungu akitaka kukuokoa humtuma mtu yeyote yule

    Kaka mmoja anaishi Ughaibuni, alikuja likizo nyumbani. Siku moja akiwa matembezini alikutana na kijana wa miaka 15-16 amebeba mtoto mdogo wa mwaka mmoja. Mtoto yule alikuwa anaumwa sana. Yule kijana alikuwa anatafuta usafiri wa kwenda Mwananyamala hospital. Daladala zikiwa zimejaa na...
  2. JamiiForums Tanzania Niko na mtoto wa mtu tunakula maisha hapa Nairobi Kempisk hotel Westland

    Ni Toto moja la kimasai nimelipata sehem moja maeneo ya Kimara ,kwao geti kali sana,.juzi tukapanda pipa hadi arusha kwao then tukapanda Noah za namanga, tukafika mpakani wakasema lazima turudi arusha kupata Covid 19 certificate, tukakomaa kuhonga 500 ya Kenya wakatupa za kufoji, Tukaanza...
  3. JamiiForums Tanzania Ndani ya Tanzania hakuna mtu aliyewahi kuingia bungeni na akawa mzalendo kama Zitto Zuberi Kabwe

    Toka Richmond Epa Escrow Operations tokomeza Katiba mpya Funga zote ambalo hamna mwingine zaidi yake ni lile la kuchukua mshahara wake tu na kuagiza posho ziingizwe kwenye mfuko wa jimbo Hivyo aproximately ni kama majimbo yake yalikuwa yanapata 150M zaidi ya watanzania wengine kwa mwaka...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye kitabu hiki nakiomba

    Mwenye kitabu cha Evarist Chalali kinachousiana na Afisa usalama ni nani, naomba anisaidie. 🙏🙏🙏
  5. JamiiForums Tanzania 2020 GEORGIA BANK ROBBERY: Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Eti ndugu zangu watanzania; Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti? Polisi katika jamhuri ya zamani ya Soviet ya Georgia walikuwa wakimtafuta jambazi wa benki...
  6. JamiiForums Tanzania FACT CHECK: Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa CHADEMA katika Jimbo la Nachingwea, Dkt Mahadhi Mmoto hajauawa, yupo Mahabusu Gereza la Lindi

    Kuna taarifa zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai aliyekuwa mgombea Ubunge katika Jimbo la Nachingwea kwa tiketi ya CHADEMA, Dkt Mahadhi Mmoto ameuawa. Usahihi: Kwa mujibu wa Kiongozi wa CHADEMA katika Kanda hiyo, taarifa hizi si za kweli na zimesababisha panic isiyo ya lazima...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Sheria zinasemaje kuhusu Polisi kuvamia ubalozi na kukamata mtu bila ruhusa ya balozi husika?

    Kiutaratibu naona jeshi la Polisi ni kama wamefanya uvamizi nje ya ubalozi wa Ujerumani na kukamata mtu akiwa kwenye ombi la kuonana na balozi husika. Mbaya zaidi balozi wa Ujerumani nchini hakuwa na taarifa hizo. Sijui sheria zinasemaje ila nahisi jambo hili litazua hisia sana kutoka kwa pande...
  8. JamiiForums Tanzania Maandamano 2.0 - Yenye ufanisi, nchi nzima na haumizwi mtu

    Vurugu na ukatili wa Vyombo vya Dola ni sehemu muhimu ya Serikali za kidikteta katika kupambana na wapinzani wao kwa kisingizio cha kulinda amani na usalama. Kuna kila dalili maandamano yaliyoandaliwa leo yatajibiwa kwa nguvu kubwa ya dola ili kutisha wananchi, maana yakiruhusiwa yatawapa...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

    Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo. Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya. Matokeo ya uchaguzi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Afisa wa Umoja wa Mataifa hapa nchini akana gari zilizotumia namba za UN huko Hai kwenye tukio la kushambulia walinzi wa Mbowe

    Ni Zlatan Milisic ambae ni UN Resident Coordinator kwa hapa nchini na ameandika hivi kupitia twitter: Fake UN plates! I wish to clarify that cars with UN license plates reported in Hai today at more than one location have nothing to do with the UN. They are not UN cars; these are not official...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanakwepa kukiri kutoa haki kwa kila Mtanzania ila wanaomba kila mtu atunze amani?

    Kila mtu kwa mdomo wake awe tayari kusema nitatoa haki kwa kila mtanzania, haya ya kusikika amani ikiombwa itawale si jambo zuri sana, watu wegine wana tabia ya kudhulumu sana na si wana utayari wa kutoa haki. Kwanini imekuwa ngumu kwa wagombea kutuhakikishia Haki anapewa kila Mtanzania na kila...
  12. JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio Rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi...

    "Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi, kujimwambafai mwambafai kwingi, kujitutumua kwingi, kuona wengine hawana maana, lakini Dkt. Mwinyi hana hiyo, isitoshe ni mwana CCM ambaye imani yake haina chembe ya shaka"
  13. JamiiForums Tanzania Je ni sawa kumruhusu mume/mkeo kutolewa out na mtu wa jinsia tofauti?

    Wanabodi.. Je ni sawa kwa mkeo au mumeo kutolewa out na MTU wa jinsia tofauti? Yaani mkeo atolewe out na mwanaume ambaye anadai ni rafiki yake... Na mumeo nae atolewe out na mdada ambae ni rafiki yake. Kibongo bongo inawezekana hii yaani mkeo kwenda kwenye sherehe usiku unamruhusu/mumeo?
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mara ya kwanza CCM wamefanya kampeni kinyonge na bila agenda za chama bali agenda za mtu mmoja

    CCM mwaka huu wameonyesha walilala zaidi ya wapinzani kipindi chote siasa zilipokatazwa. Awakujipanga kuanzia juu Hadi kwenye tawi na kibaya zaidi hata UCHAGUZI wa serikali ya mtaa awakufanya bali waliteuana na walioteuliwa awakuwa chaguo la wananchi hivyo walijitengenezea kukataliwa toka ngazi...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kipindi gani ulisanuka "nimekua mtu mzima, ni muda wa kubadilika"

    Binafsi nakumbuka kuna kipindi maisha yangu hayakuwa tofauti sana na ndege, sikuwa na mipango kabisa, Nikiamka ndio ntajua cha kufanya na nlichofikiria kufanya kwa asilimia kubwa kilihusisha mambo ya upumbavu wa ujana kama kutilia nguvu kubwa ishu za madem, kubeti, kupiga stori ili siku iishe...
  16. JamiiForums Tanzania Einstein alisema hakuna uhusiano kati ya elimu na akili

    Sasa katika wakati kama huu utaona wanaojiita wasomi,watumishi,wakulima,na watu wengine ktk jamii wako ktk kampeni wanashangilia wagombea na hawawachiju ili kujua nani anaweza kuwa anaongea ukweli ,na kwa sababu ukweli haudanganyi na unabaki kuwa ukweli tu.Ndio maana ukisema mtu huyu ana Elimu...
  17. JamiiForums Tanzania Maana ya maendeleo ya nchi yaanzia kwa mtu mmoja mmoja

    Maendeleo ya nchi yanaanzia kwa mtu mmoja mmoja. Elimu, afya, dini, mila, ajira, mazingira anayoishi, na upatikanaji wa habari. Elimu ina beba mwongozo mzito katika haya mengine kwani elimu nzuri itamsaidia mtu kupata ajira nzuri, kuwa na uwelewa wa kutunza afya yake, kuboresha mazingira...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumtongoza mmama mtu mzima au aliekuzidi rika kimuonekano?

    Ni Ijumaa nyingine tena wadau bado tunaendelea kupambana na haya maisha tafu leo nimekuja na jambo apa mezani tulidiscuss kwa kina Unajua katika life hisia hazina adabu hata kidogo na kamwe siwez kushangaa kumwona babu anatongoza kidada nk lakini kwa bibi kumtongoza kijana hii haijakaa sawa...
  19. JamiiForums Tanzania Arusha: Kijana wa CHADEMA mbaroni kwa kutaka kuvuruga mkutano wa Dkt. Magufuli kwa kupigisha shoti vyombo vya umeme

    Kijana mmoja hapa Arusha anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kupiga short vyombo kwenye mkutano wa mgombea urais CCM.
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kupata uzoefu toka kwa yoyote anayetumia IGT Insurance

    Habari za leo wakuu, Napenda kupata uzoefu wa mtu yoyote ambae amewahi kutumia bima tajwa hapo juu Mimi natumia hiyo bima na nilipata ajari mwezi wa 12 - 2019 na mambo yote ya kesi yakaisha mwaka huu January. But mpaka leo October hiyo bima haijalipa kitu chochote. Waliagiza fundi wao akaja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…