mtu

  1. JamiiForums Tanzania Umewahi kumkimbia mtu mliyejuana mtandaoni ile siku ya kukutana, umewahi kum-block baada ya kukutana, tupe mkasa!

    Nakumbuka enzi hizo nilijenga yrafiki na binti mkali acha tu, ilikuwa ni mtandao wa facebook, tulikuwa marafiki, alafu tukaja kupeana namba, hapo ndipo nilitupia ndoano na ndipo tukaingia rasmi kwenye mahusiano. Sio siri mtoto alikuwa na kisauti flani hivi cha upole mixer aibu, akiniita mpenzi...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kila mtu kutaka kuwa Mwanasiasa ni dalili ya Taifa masikini lililokosa mwelekeo

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikijua kuwa dalili mojawapo ya Taifa masikini ni kuwa na wakulima wengi! Tanzania ina wakulima kati ya 65% hadi 80% katika population ya watu milioni 60, hivyo hili ni Taifa masikini sana! Marekani yenye watu zaidi ya milioni 300 ina wakulima wasiozidi asilimia 10%...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna wakati huwa najihisi kama niko tofauti na kila mtu

    Habarini za uzima. Mimi sijambo pia. Kama afya yako haiko katika utimilifu basi Mwenyezi Mungu akujaalie nafuu ya mapema ujisikie kupona. Moja kwa moja kwenye mada. Baada ya maisha yangu kuchukua sura mpya kwa Mwaka mmoja sasa, jana nimepata nafasi ya kujitathmini kujua iwapo niko sawasawa na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu anayeitwa Uchebe ni Msanii wa Sanaa gani?

    Last weekend nikiwa na washkaji zangu kiwanja flani hapa mjini,ghafla akatokea mtu mmoja kwenye meza yetu akajitambulisha kuwa yeye anaitwa Uchebe akawa anatuomba tumnunulie bia, tukamuuliza yeye ni nani akatushangaa tu imekuaje sisi hatumjui yeye na wakati ni mtu maarufu sana hapa Tanzania then...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kutairiwa mtu wa miaka 50

    Ndugu zangu naomba kujuzwa Kuna madhara yeyote ya kufanya tohara kwa mtu wa umri wa miaka 50? Kuna kikwazo chochote kwa hospitali kufanya hivyo? Kuna doctor anayeweza fanya hivyo kwa usiri ukizingatia umri huo? Nawakilisha.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo za COVID-19 zenye virusi hai (viral vector vaccines) hazisababishi mtu kupata CoronaVirus

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC) kimesema chanjo zenye viambata vya virusi hai (viral vector vaccines) havisababishi mtu kupata #coronavirus Chanjo hizi hutumia virusi visivyo na madhara ili kuchochea mfumo wa kinga ili kupambana na kile inachodhani ni maambukizi Karaha...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mamlaka: Kuwe na sehemu rasmi mtu akiokota kitu cha thamani apeleke

    Sijui kama utaratibu huu upo au haupo, natamani kungekua na sehemu rasmi au kama ni kituo cha polisi au kwingineko ikitokea mtu akiokota kitu ambacho hamjui mwenyewe aende kukupeleka au kukabidhi hapo. Apewe stakabadhi maalumu kuonesha kuwa kakabidhi. Hii itasaidia watu waliopoteza vitu vyao...
  8. JamiiForums Tanzania Johannes Rebmann: Mtu aliyegundua mlima Kilimanjaro

    Ni maajabu sana. Kulingana na machapisho mbalimbali mlima maarufu unaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 3 million iliyopita hakuna mkazi yeyote wa aliwahi kujua kuna mlima mrefu kaskazini mwa Tanganyika hata wale wakazi wenyewe hawakujua 😁. Johannes Rebmann. Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Hisia na mihemko havijawahi kumuacha mtu salama

    Mambo ni mengi, maisha yanazidi kwenda kasi sana, mfumuko wa bei, Tanzania ya viwanda vya mikopo tunazidi kusukuma gurudumu. Niende kwenye mada, Wanaume sisi ni viumbe wenye uthubutu sana, hatupendi kushindwa kupata kile tukipendacho, tutatumia nguvu nyingi, akili na muda mwingi, ili tu kupata...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Yani mtu uko freemason, halafu unaendesha Passo?

    Juzi kati nkipita mitaa ya posta, huku dar, maeneo karibu na benki kuu nikaona jengo jeupe limeandikwa freemasons hall, nkajisemea akilini, mitandaoni watu wanasema Freemason wanaabudu shetani na ukijiunga huko unapata utajiri, dooh nikaangalia vizuri ndani ya fensi ya ile jengo nkaona Passo...
  11. JamiiForums Tanzania Usimwite dada/kaka mtu ambae hujazaliwa nae

    Kwa manufaa ya baadae Mtu kama ujazaliwa nae hutakiwi kumuita kaka au dada. Kwanza mtu usiezaliwa nae unanzaje kumwita kaka, dada 🤔 ndo mana baadae mkikwama mnaishia kujilaumu ati mtu mwenyewe namwita kaka/dada tunaeshimiana sna. Utakuja kukosa mume au mke kwa ujinga wko. Kaka au dada ni yle...
  12. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe alitoa ushahidi wake. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ======= Jaji ameingia Mahakamani Kesi namba 16 ya Mwaka 2021...
  13. JamiiForums Tanzania Mwangasa: Kila mtu ana haki ya faragha, hadi pale mamlaka za uchunguzi zinapohitaji taarifa

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mtandaoni, Joshua Mwangasa amesema kila mtu ana faragha ya Mawasiliano hadi pale yatakapohitajika kwa ajili ya suala la uchunguzi. Chombo cha Uchunguzi hutakiwa kuandika barua kumuomba anayemiliki taarifa kama kampuni ya mawasiliano kupewa taarifa hizo. Katika...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam

    Anaejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam. Mtu wa Mkoani unanunua kupitia mtandao au vinginevyo na unatumia. Wakuu naomba kujuzwa, kama unajua Bookshop ya namna hiyo. Tafadhali naomba contacts zao.
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kufuta account ya mtu ambaye alishafariki Facebook?

    Habari waugwana wa humu, je salama!? Ok. Sasa bwana mimi nina shida moja kuna account ya mtu wangu wa karibu alishafariki alikuwa na account Facebook na mpaka sasa nikiwa napita kuona baadhi ya vitu lazima nikutane nayo. Je, naomba nataka niwaambie Facebook waifute nifanyeje msaada wenu
  16. JamiiForums Tanzania Maoni ya Wakili: Kumfunga mtu kwa kitu ambacho hakifanyi ni gumu sana, labda kwa amri

    Ndugu wanajukwaa nami kama wakili msomi ninaomba ku-share nanyi kwa uzoefu wangu wa kesi mbali mbali nilizowahi kuzisimamia huko Tz na mifano ya rejea katika kufundisha kwangu somo sheria huku ugenini. Kiufupi kumfunga mtu kwa tukio ambalo hajalifanya ni ngumu sana hata kama umemkamata na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mimba ya miezi miwili tu inaweza kumfanya mtu akawa na hasira na kiburi?

    Habari wapendwa? Nina mtu wangu ana mimba ya miezi miwili tu but amebadilika sana, kawa na hasira za ghafla na kiburi hatari. So nauliza,kwa umri wa hiyo mimba ni sahihi kwa yeye kuwa hivyo au analeta maigizo tu?
  18. W

    JamiiForums Tanzania Kushika tama kunaashiria nini kwenye utamaduni wenu?

  19. JamiiForums Tanzania Nina mashaka mtu anataka kuniteka nyara(kidnap)

    Saa tisa mchana nilikuwa Gongs kwenye kituo cha basi nasubiri daladala niende Chanika, ikaja gari pale aina,kama gari za Noah,watu ndani wanataka kunipa lift. Wakasemezena mle ndani,"Ati yule anaitwa nani vile"? Halafu wakaniita jina langu,wakasema njoo,twende. Nikakataa, considering it to be...
  20. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje pale mtu anapokutwa na hatia?

    Salaam Wakuu, Niende kwenye maada tajwa hapo juu. Nafahamu kwa sheria za Tanzania Mahakama ndiyo imepewa mamlaka ya kumkuta mtuhumiwa na hatia na si chombo kingine.Swali langu ni kuwa Mahakama baada ya kumpa kifungo huyo aliyekuwa mtuhumiwa kuna namna yoyote na kutunza mali anazoziacha kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…