mtu

  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Tuchukulie MTU ambaye amepewa dhamana ya kuwa Mkuu wa Kitengo/Idara anakuwa hivi, itatakiwa umchukuliaje?

    Kwenye hoja Moja Kwa Moja. Unakuwa na presha kamtu kanakupandisha presha nyingii mpaka unafikia hatua ya kutaka kuacha kazi. Inatukuta Sana na wengi hii tunaichukulia rahisi na kamtu uka-zoom na ukika-scan unaona haka kwani hakajui nafasi au cheo ni dhamana tu? Kwa wengine wanajitutumua...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sudan: Kondoo ahukumiwa miaka mitatu gerezani kwa kuua mtu

    Kondoo mmoja Nchini Sudan ya Kusini amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumuua mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 45. Mmiliki wa kondoo huyo ameamriwa kulipa ng'ombe watano kwa familia ya mwanamke huyo na pia kondoo huyo atatolewa...
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kusajili kampuni

    Habari wanaJF? Polen na kazi ya kujenga taifa letu, lengo kuja kwenu ni kuomba msaada kwa mtu au kampuni ambayo wanajihusisha na shughuli za usajili kampuni brela, nahitaji mtu ambae atanifanyia process za usajili wa kampuni kuanzia company name registration untill taratibu ya kufanya malipo...
  4. JamiiForums Tanzania Nimeumia sana kuona Mushimba Mugalu akibezwa na baadhi ya mashabiki

    Nimeumia sana kuona mchezaji (Mshambuliaji)wangu ndani ya kikosi changu cha Msimbazi KOPE MUSHIMBA MUGALU akibezwa na baadhi ya mashabiki wasiojielewa. Nani hajui mziki wa huyu jamaa? Nani hajui mchango wake kimataifa? Kwanini hamtaki kumpa hadhi yake huyu mkongomani? Bila shaka hiyo ni...
  5. JamiiForums Tanzania Ulitumia njia gani kumkwepa mtu aliyetaka kuzidisha mazoea na wewe?

    Hatimae nimepambana nimefanikiwa kupata buku la bando ili tu nilete huu uzi, Kwanza habari za humu wanaJF wenzangu. Natumai mko poa kabisa. Mada yangu kama inavyosema hapo juu, Mimi nakumbuka kuna mdada kipindi nimeajiriwa kazi ya duka, Alinikuta siku moja nakula nikamkaribisha tukala siku...
  6. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba na kiwanja vinauza kwa ajili ya mtu mwenye familia na anaehitaji eneo kubwa Njiro, Arusha

    Kama wewe ni dalali uliobobea unaruhusiwa kushiriki nasi. Hii inakuhusu. Nyumba na kiwanja kikubwa karibu na shule ya renea Njiro inauzwa. Ina kiwanja kinachojitosheleza kuendelea kuijenga au hata kuweka nyumba za kupangisha. Kuna Maji, umeme wa sola, na Nyumba ina vyumba viwili na sebule...
  7. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna mtu anamchagulia Rais Samia watendaji wa Serikali

    Kwa mtindo wa uteuzi wa watendaji wa serikali inaonekana Samia kuna watu wanamchagulia nani awe pale na nani asiwe pale. Inachoknekana Samia hana utashi wake wa uchaguzi nani awe mtendaji flani wa taasisi fulani, wanamchagulia. Ni jambo la kusikitisha kwamba Rais Samia chaguzi zake zote ni...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta Mtu anayeweza kunikopesha kwa kuweka dhamana ya camera

    Mimi ni Mjasiriamali, sasa kuna shughuli zimekwama kidogo nahitaji kama shilngi 70000 (elfu sabini). Dhamana yangu ni camera aina ya cannon iliyo katika hali nzuri na inafanya kazi ikiwa na lensi zake mbili, mic na charger. Nitakopa kwa muda wa siku 15 au 20 tu kwa riba tutakayokubaliana. Nipo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Simba hii ya Okrah tukipata mtu wa kukaba katikati

    Wapinzani wajiandae, MO anafanya kazi sasa naanza kuelewa. Tukipata mkabaji pale ktkt ***** aje na huyo manzoki pale mbele. BEKI QUTTARA achukue nafasi ya ONYANGO SIMBA ITAKUWA MOTOOOOOOOOOOOOOOOO
  10. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu ni mtu Hatari sana kwa Ustawi wa Taifa Staarabu. Ana Uhatari Mkubwa katika kauli zake

    Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi. Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Lary Fink: Mtu mwenye nguvu zaidi Duniani kwenye ulimwengu wa fedha

    Kampuni yenye nguvu zaidi Duniani na kwa bahati mbaya unaweza usiwe unaijua, kwa jina ni BlackRock. Hadi sasa Kampuni hii ina manage Mali zenye thamani ya Dola Trilioni nane( USD 8 Trillion) (hii ni kwa makadirio sawa na pesa za kitanzaninia Trilioni 18,400/-) moja kwa moja(Directly) na...
  12. JamiiForums Tanzania Kuzaa na mtu haikupi uhalali wa kuolewa naye

    Kuzaa na mtu sio ndoa, unaweza ukazaa na mtu na asikuoe pia na hata ukalalamika kwa wazee wake kama hata taka kukuoa hatakuoa tuu. Wasichana ujitunzi usizae tuu, na hata wazazi wako wakisema na kulalamika kwa familia ya mwanaume huyo mwanaume anaweza akakubali mtoto na asikuoe. Kuna kijana...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilikutokea baada ya kujifanya mjuaji kwenye kitu usichokijua

    Mimi bhana nakumbuka nikiwa kama house boy boss wangu alikuwa ananiamini sana hivo alikuwa na gari kama tano hivi Alikuwa na tabia ya kuniachia funguo za gari ambayo ni chafu ili niioshe Sasa bhana siku hiyo akaniachia funguo ya gari land cruise, alipo toka tu nikaenda kufungua gari na kutia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

    Nakumbuka huyu mzee mke wake alisafiri baada ya kupata msiba Mbeya sasa, hii nyumba yake ina vyumba vinne vya ndani na vina wapangaji, sasa kuna mpangaji mmoja wa kike anaishi singo, basi bhana mimi ninapolala napakana na chumba chake na mkewe, na havina ceiling board, basi nikasikia mlango simu...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa; matrillion ya pesa yanayokusanywa kwenye kodi ya ‘Fuel marking’ yanaenda serikalini au kuna mtu anabugia asali?

    Wakati najaribu kutafuta ‘uchawi’ unaotumika kufanya bei ya mafuta ambayo gharama zake zote hadi kuyafikisha bandarini Dar es Salaam ni 1,116/= kuuzwa kwa bei inayofika hadi 3,500/= baadhi ya mikoa (tofauti ya 2,500/= kwa lita), nilikutana na ‘kodi’ inaitwa ‘Fuel marking’ Katika kujaribu...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe viungo (organs) vya nguruwe vinashabihiana na viungo vya binadamu !! 😱.

    Wakuu hii threads haihusiani na masuala ya imani za kidini, ni katika kujiuliza tu; ni kwanini Wanyama hususani jamii ya nyani ambao ndio tunashabihiana nao sana, hawatumiwi sana katika tafiti za tiba kwa ajili ya kupata viungo vya kupandikizwa watu wenye mahitaji ya viungo kama; figo, moyo...
  17. JamiiForums Tanzania Ulimwengu then- Magufuli fights against Corruption , Inefficiency and lack of accountability!

    Hiyo hapo chini interview ya Ulimwengu baada ya Magufuli kuchaguliwa kuwa raisi wa Tanzania, kamwagia sifa kibao na kumponda Kikwete kwa kumuuzi Kagame, ukiangalia na kusoma vizuri utaona who is pulling the strings hapa Tanzania, jisomee mwenyewe hapo chini, Ulimwengu wa wakati Magufuli...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu anaenda 'Kuabishwa' na kutokuja kwa Aziz K Klabuni Kwake ambako amewadanganya kuwa amemalizana nae

    Yaani Klabu kama Berkane FC wamtake na Wewe na Vipesa vyako vya Dhuluma na Ukwepaji Kodi wa Ofisi yako ya Salamander Posta ndiyo umpate? Jiandae Kuumbuka tu Kudadadeki!!!!
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mtu gani umepotezana nae na unatamani hata sasa umuone tu hata mara moja?

    Ni mschana fulani hivi nilitokea kumpenda na yeye alitaka nimuoe ila mimi nilikuwa bado sina hata kitanda lakini mwisho wa siku alinipigia simu akiniomba ruhusa nimruhusu aolewe nilimkubalia ila sijajua kama kashaolewa tayari au la ila mimi nimeshaoa tayari
  20. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya unene na mtu aliyefanikiwa kimaisha?

    Kuna hii hali mara nyingi naiona kwa watu aidha hata wewe unaweza kuwa umekutana nayo unakuta mtu alikuwa mwembamba labda akaanza kunenepa basi watu hutokea sana kumsifia kuwa mambo yake yamekuwa mazuri. Je, unene ni kipimo cha maendeleo yako kimaisha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…