Kwa tunaojua boxing hii ni kawaida stunts kama hizi. Ila kibongo-bongo Mandonga kazidi mikwara. Kama una roho ndogo unaweza usitokee ulingoni.
Kesho sio mbali Mandonga Vs Kaoneka
Bila kuchoshana,someni wenyewe👇
''Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Dk Stergomena Tax amemteua Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Profesa Lughano Kusiluka kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma.''
PS3 yangu imepata hitilafu.
Naskia kuna mafundi wananunua PS3 mbovu ndio maana nimekuja hapa.
Ilikuwa inafanya kazi vizuri toka nilipoizima jana (27/07/22). Ila sasa leo nimeamka niiwashe, inawaka(inaonyesha kitaa cha kijani) bila kuonyesha picha kwa sekunde 30 hivi halafu inajizima yenyewe...
Moderator au wataalam wowote humu ndani naomba mnisaidie.
Frankly naamini kabisa Kuna mtu kadukuwa account yangu na anaifahamu vyema, obviously nimechukia sana hii issue, ni mtu wangu wa karibu sana It seems that kani-target na kafanikiwa kujua ID yangu humu maana sina MAZOEA ya Kulogout...
Serukamba, Hawa Ghasia, Vicky Kamata, Dr. Kafumu, Adadi Rajabu na Andrew Chenge, hawa wote walikuwa wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge 2015-2020 (isipokuwa Vicky yeye alikuwa makamu mwenyekiti)
Uchaguzi wa 2020 majina yao yalikatwa na jiwe pale Lumumba japokuwa waliongoza ktk kura za maoni...
Wakuu,
Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo.
Aidha, tunashauri...
Haya maisha kama ukiwa umezoea sana jambo. unaweza teseka sana. Mimi nimechelewa sana kuanza kutumia papa.siku nimeonja tu nikapenda sana... Nikajikuta nitafuata papa popote pale nile.
Natamani nioe ili niwe napata papa wakati wote. Sisi wa kanda ya Ziwa wengi tukija Dar basi ndo unakuwa ulevi...
Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchi katika septa ya michezo kumekua na porojo sana kuliko uhalisia wa mwelekeo wa mchezo wetu wa mpira wa miguu tumekua, tukiweka nguvu kubwa katika kuwahamasisha washabiki na kuwaaminisha kuwa uwepo wao uwanjani na upigaji kelele ndio chanzo kutuletea ushindi...
Habari JF,
Unajua uongozi ni mgumu sana sababu kubwa ni kwamba unaongoza mamilioni ya watu wenye akili na mitizamo Tofauti.
Kupitia mazingira hayo ndio tunaona viongozi wanaenda mbali na kufanya maamuzi magumu ambayo yanampa taswira mbaya.
Hivi mfano ukiwa Rais wa Tanzania mtu kama huyu...
Mtu umepata connection kisha umetoboa. Baada ya kufanikiwa kila mtu unamuona mvivu na mzembe. Kwa nini usielezee kwa kina jinsi ulivyofanikiwa, njia ulizopitia, ulipotoa mtaji, nani alikuelekeza na connection zote ulizotumia ili kufanikiwa.
GENTAMYCINE nimeshakugumia (kutana nawe kwa bahati mbaya) zaidi ya mara Saba (7) katika Loji na Gesti mbalimbali ukitoka Kubanduliwa na Wanaume tofauti tofauti na nikakuhakikishia kuwa usiwe na wasiwasi nitakutunzia Siri zako hizo lakini bado huamini na unahangaika kwa kila namna Kunitega ili...
Tokea mwaka 2005 hadi sasa ( Leo ) karibia 99% ya Watu wanaoteuliwa kuwa Mabalozi na Marais wa Nyakati hizo ( hizi ) ni Watu very incompetent, wana IQ ndogo na Failures pia katika Nafasi walizokuwa.
Halafu ni nani aliyetulisha Sumu ya Upumbavu na Ushamba kuwa kila Mtanzania anaweza kuwa Balozi...
Mtu kutofikia malengo yake(frustration) moja ya ishu kubwa inayochangia kushape tabia ya mtu.
Tabia nyingi tunazoziona kwa watu, na zingine tunaita magonjwa ya akili ni matokeo ya watu kushindwa kufikia malengo.
Kwenye uzi huu jinsi watu wanavyo react dhidi ya kushindwa kufikia malengo.
1...
Mwe Mughonileeeeee(Mtaelewa tu, mbona amapiano mnasikikiza).
Jana bwana nimetulia pale maeneo ninayoishi ghafla nikapokea simu toka kwa mshaji wangu ambaye tunaiva ile kinazi akiniambia muda si mrefu atapiga hapa kwangu na gari yake ataiacha hapa maana watu anaotakiwa kuonana nao hawatakiwi...
Wakuu kuna wakati ukweli lazima usemwe. Mambo ya kusema mtu aheshimiwe kwa kuwa alikuwa anatengeneza beats nzuri hizo ni heshima za uoga.
P Funk ambaye kiukweli zaidi ya kufanya production ya muziki na kupokea malipo hana jingine kubwa alilolifanyia bongofleva.
Kwa wasiofahamu wasanii wote...
Wakuu kama heading inavyoeleza mwanamke sio mtu haya sio maneno yangu kwa mujibu wa biblia kitabu cha mwanzo mungu alimuumba mtu ambaye ni Adamu.
Baada ya kuona Adamu amezubaa zubaa ndipo aliamua kumuumba mwanamke kwa kutumia mbavu na material mengine ambayo mimi na wewe hatuyajui
Kwa ajili...