mtu

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Ziara za 'Mtu' siku hizi ni za Kushtukiza, hatutangaziwi, ila akifika aendako ndiko tunajua?

    Ya kwa Mpiga Busu matata Msumbiji baada ya kutoka kupanda Dala Dala kwa Marehemu Mkoloni Wetu na hata ya sasa ya kwa Mwarabu wa Dubai ni mfano Hai wa ninachokiuliza.
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume akutongoze, kisha umfuate kwake kumkanya, kweli ulisikia wapi?

    Hii script inazidi kuwa unbelievable and untrustable zaidi ya bongo muvies zetu. Kitendo cha mwanamke ambaye ni Mamq Mchungaji kutumiwa meseji za mapenzi na Katibu wa Kanisa lao kisha ati amchukue mmama mwingine haraka haraka na kwenda kwa huyo Katibu kwenda kumuambia aache, badala ya kutoa...
  3. JamiiForums Tanzania Wizara ya Ulinzi na Usalama inahitaji mtu mahsusi, Bashungwa bado hajakomaa

    Napongeza uteuzi wa Tax. Ila bashungwa bado hajakomaa Kwa hiyo wizara, sijajua kwanini awamu hii ya sita inaogopa kufanya kazi na wakongwe, inawaondoa kwenye system watu mahsusi. Hizi ndio zilikuwa nafasi za watu aina ya kabudi ni wakomavu.
  4. JamiiForums Tanzania Namna ya kupata location ya simu ya mtu kwa namba ya Simu

    Hivi inawezekana kujua location ya mtu kwa kutumia namba ya simu? Hili ni swali ambalo nimeulizwa zaidi ya mara 10 mpaka sasa. Jibu ni ndiyo inawezekana kupata location ya simu ya mtu kwa kutumia namba ya simu anayotumia katika hiyo simu. Nilishaandika kuhusu “Kuona location, sms & calls za mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Sasa hivi kumkopa au kumkopesha mtu ni kutaka kuvunja urafiki

    Wajameni, hali ni ngumu. Nina ndugu, jamaa na marafiki amabo kila kukicha ni kutaka kunikopa. Tatizo ni moja tu, ukimkopesha mtu sasa hivi stress inahamia kwako. Kumfuatilia mtu uliyemkopesah ni shughuli pevu. Mara simu haipatikani, amekublock! Sasa tufanyeje wajameni , tuingie ugomvi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali: Hatumzuii Mtu kuanzisha Televisheni ya Mtandaoni

    Na Grace Semfuko, MAELEZO Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amesema Tanzania ni moja kati ya Nchi Duniani zenye vyombo vingi vya Habari na kwamba bado inaendelea kusajili vyombo hivyo ili viweze kuuhabarisha umma. Amesema lengo la Serikali ni...
  7. JamiiForums Tanzania Mtu unatoaje huduma ya gesti bila kondomu?

    Unapokea wageni mbalimbali kuwapa huduma ya gest. Wengine unapokea usiku kama huu. Halafu unaombwa kondomu huna. Si utaua watu? Hii sio sawa
  8. JamiiForums Tanzania Mapenzi yana raha bwana, asikwambie mtu!!

    Nakumbuka mafundisho fulani hivi niliyopewa mwaka fulani kwamba kila jambo lina kanuni au 'principle' zake, ukishindwa kucheza ndani ya hizo principle umekwisha 'kipopoma', vilio vingi vya mapenzi siku hizi watu tunajiendea tuu hatufuati 'principles' za association then matokeo yake ndio hayo...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania watu wa ajabu, wanapenda maendeleo lakini hawataki kugharamia hayo maendeleo kwa kodi

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Margaret Thatcher aliwahi kusema, serikali haina duka wala biashara au shamba. Serikali inaendeshwa kwa kodi zinazotozwa kwa wananchi wake. Wananchi hawakupenda sana kauli hiyo, lakini akawaambia hivyo ndiyo ilivyo kwenye free market economy. Hivyo ndivyo ilivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Tabia ya kumtext mtu au kuanza mazungumzo kurupu anasema nipange au niambie huwa inakera sana

    Moja kwa moja.. Huu mtindo umeshamiri haswa kwa vijana unakuta mtu ameanza kukutext au wewe umeanza kumsalimia baada ya kujibu text yake inayofuata "nipange "au "niambie" mimi mara nyingi hapo huwa mwisho wa kuchat isipokuwa kwa wachache ambao ninawajua kuwa bado Wana utoto. Leo hii mshikaji...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna mtu kasema niandike huu uzi

    Sifa za unique flower, Nahofu ya Mungu. Namiaka 30+years old . Mkoa niliopo sijui napia kazi yangu ni umbeya. Napenda kuogelea , navitu ambavyo ni vizuri. Napenda kusali, kusoma biblia na kuimba nyimbo za sifa .mf za dini Kuangalia filamu ,vichekesho na kujua vitu vipya . Haya nimekujibu...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kunifundisha Excel (complete), ntamlipa

    Kichwa cha habari cha husika!! Nahitaji mtu ataenipa shule ya vitendo ya excel!! Nitalipia!! Kwann sijaenda vyuo/Taasisi -Ok mm sina muda nafanya kazi kwaiyo siwezi kuendana na ratiba za huko nataka mtu ambae atanifundisha kwa muda wangu nikiwa na muda tusome sina basi hadi nijue Malipo...
  13. JamiiForums Tanzania Dodoma, soko la Machinga mnagawia mtu aweke baa. Hapo mnatengeneza nini?

    Kuna saa utafikiri tunawaza kwa kutumia makalio, soko la machinga unaanza kugawia muuza bar kwanza kabla ya machinga ili pombe zitangulie hapo mnatengeneza nini? Halafu mnakuja mnalalamika kwenye TV kua maadili yame momonyoka? Mna ya momonyoa wenyewe halafu mnalalamika wapuuzi kabisa. Hii...
  14. JamiiForums Tanzania Je, una mtu mwenye ujuzi wa 'Graphics & Video Editor' ?

    Graphics & Video Editing Your profile: Strong communication skills with the ability to discuss any issues with a wide variety of individuals and groups Capability to produce content on time, with attention to detail, and an emphasis on identifying and pitching to a target audience A...
  15. JamiiForums Tanzania TAJA SHULE ULIYESOMA YA MSINGI,ikiwemo mwaka uliyoanza na kumaliza,ili upate mtu uliyesoma nae hapa jamii mpige story....

    Kama kichwa kinavyojieleza.. Naanza nimesoma shule ya msingi sanawari primary school,shule ipo arusha. Mwaka (1998-2004)..nawakumbuka walimu waliokuwa wanachapa hatari sana,kuna mwalimu mdee,mwalimu mollel,hawa sitawasahau kwa kichapo heavy. Nawakaribisha tukumbushane ya zamani...
  16. JamiiForums Tanzania Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

    Kwema Wakuu! Kuna mtu alianzisha mada hapa akiuliza swali, je wanawake wanatamani Kama wanaume? Kabla hujajibu swali hilo unatakiwa ujue kuwa Mwanamke ni Binadamu Kama wewe Kwa 100%. Ikiwa mwanamke ni Binadamu Kama wewe basi jibu la swali hilo ni ndio, Wanawake wanatamani tena sio kidogo...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwa na mtu wa Employment opportunities kwenye kila college vyuoni

    Employment officer wa college. Habarini wanajukwaa. Najua tatizo la ajira kwa vijana wanaotoka vyuoni ni janga kwa taifa hili. Hii inatokana na sababu kwamba wahitimu wengine wanamaliza chuoni pengine hata bila kujua ni sehemu gani wanaweza omba nafasi za kazi ambazo marachache chache zinaweza...
  18. JamiiForums Tanzania Uchunguzi; Tatizo la walioajiriwa ni utegemezi; usimpe pesa mtu ambaye hajaitolea jasho

    UCHUNGUZI; TATIZO LA WALIOAJIRIWA NI UTEGEMEZI. USIMPE PESA MTU AMBAYE HAJAITOLEA JASHO Anaandika, Robert Heriel. Tatizo sio kuajiriwa, tatizo ni wategemezi, tatizo ni extended Family. Tofauti ya mtu aliyejiajiri na aliyeajiriwa IPO kwenye utegemezi. Waliojiajiriwa hawategemewi Sana...
  19. JamiiForums Tanzania Mwigulu Akiendelea kuwa waziri Basi ndie Rais ajae tutake tusitake. Atakuwa na timu Bora na zaidi ya Tillion 2 kibindoni

    Wanaomchukulia Mwigulu kirahisi rahisi wanakosea Sana. Siwezi zungumzia uadilifu wake lkn najua anavyojua kusaka pesa akiwa kwenye mamlaka. Alipokuwa naibu tu Wizara ya fedha kwa miaka 2 tu aliunda pesa za kutosha. Mwaka 2015 Akaanza kampeni za uraisi kirahisi Sana. Akalipia matangazo ya redio...
  20. JamiiForums Tanzania Mtu huyu alitunga post ya uongo kuipaisha Simba yake

    Aibu kwa mtu anaitwa platinum member eti sasa rasmi Simba haitaanzia preliminary Na Jamaa lingine akapost Matokeo yake tukaanzia preliminary Ma mods wa jf tusaidieni hizi post zisizoluwa na source
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…